Makamanda kadhaa wa HAMAS wajisalimisha kwenye hospitali ya Shifa

Nini walichofanikiwa kufanya hao diaper force zaid ya kuua watoto na wanawake
 
Ndio nini hii umeandika, mnaaminishana pumba sana, huko Masjid, viongozi wa, hamas wameshindwa kujitoa mhanga na kujisalimisha.
 
Kafiri ni yule alieukataa uislam. Muulize kisiri kisiri padri wako

Uislamu ukubaliwe kwa vigezo gani, muarabu akute watu na kubuni dini yake huko jangwani kisha muanze kulazimisha watu, wewe hapo hujiskii aibu kuvaa hizo dera/kanzu eti ufanane na muarabu.
 
Uislamu ukubaliwe kwa vigezo gani, muarabu akute watu na kubuni dini yake huko jangwani kisha muanze kulazimisha watu, wewe hapo hujiskii aibu kuvaa hizo dera/kanzu eti ufanane na muarabu.
Hujalazimishwa. Unatahadharishwa ukifa ukiwa sio muislam wewe basi utaenda kuunguzwa moto yaani maisha yako yote yatakuwa motoni.
Hapa jela unalia jee motoni vipi?
Uislam hakuhitaji wewe ndio unatakiwa uhiitaji Uislam
 
Gaidi la kiislamu mwisho wake mabikira??? Hehehe
Kafiri jifanye chizi. Ukifa ndio utajua kwanini ukawa kafiri. Sifa zako unazotaka upate jf zitakutokea puani. Pumzi ikikata tu
 
Gaidi la kiislamu mwisho wake mabikira??? Hehehe
Gaidi la kiislamu mwisho wake mabikira??? Hehehe
Neno kafir (Kafiri) hutumika kumaanisha mtu anayeukanusha Uislamu, anayeonesha kutoshukuru neema, anakuwa mbali, anakwepa na kufunika. Kama neno, linamaanisha mtu asiye na Imani.

Mtu anayekanusha Qur’an, Uislamu, na Hz. Muhammad anaitwa kafiri.
 
Kafiri jifanye chizi. Ukifa ndio utajua kwanini ukawa kafiri. Sifa zako unazotaka upate jf zitakutokea puani. Pumzi ikikata tu

Gaidi la kiislamu jiulize kwanini umefuata kwenda kuwa gaidi kwenye dini ya waarabu. Nani alikudanganya kuwa mungu wa waarabu ndiye , yule ni katili ambaye anasababisha mfe kwa kuwachonganisha na dunia.

Ndio maana mna maushetwani mengi...

Hamas ijajisalimishe? Huyo havai pampas ni kumpa mzayuni kipigo au kifo, hiyo ya kujisalimisha hakuna huo msamiani kwa hao wanaume.
 
Watu wali survive dhidi ya Hitler aliyefika Hadi mile 18 kutoka Kremlin unaenda kuwachokoza, are you serious?
Hiki ni kipimo sahihi kabisa kwa mtu anayewachokoza hawa jamaa....

Kama Hitler aliwashindwa, basi hakuna taifa lingine litawasumbua...

Kumbuka kipindi hicho Hitler alikuwa Super Power kwelikweli....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…