Calis10
JF-Expert Member
- Jun 27, 2020
- 406
- 1,165
Ila we jamaa wewe😂 hizi dini zisitupumbaze na pia usilazimishe kila mtu aamini unacho kiamini wewe.Kafiri bado upo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila we jamaa wewe😂 hizi dini zisitupumbaze na pia usilazimishe kila mtu aamini unacho kiamini wewe.Kafiri bado upo?
Naona putin anaipata fresh hukoFake News
Nini walichofanikiwa kufanya hao diaper force zaid ya kuua watoto na wanawakeKabla ya IDF kuingia Gaza magaidi ya Hamas yalikuwa yanarusha rockets 7000 kwa siku je baada ya kuingia Gaza mara ya mwisho Hamas kurusha rockets Israel ilikuwa lini? Ukipata jibu hilo ndio kigezo mojawapo Cha IDF kuwa jeshi Bora
#From the river to the mad all Hamas must end up dead.
Hacha ulongo. Hakuna Hamas hata mmoja aliyejisalimisha na haitatokea kitu kama hicho.
Kilichotokea hapo Shifa hosipitali ni mwendelezo wa propaganda za jeshi la Israeli. Ikumbukwe hii ni mara ya pili kwa jeshi la Israeli kuivamia hiyo hoipitali kwa madai kuwa hosipitali inatumika na Hamas kama operation center
Mara yakwanza wameivamei hiyo hospital hawakupata ushaidi wa madai yao waliokuwa wanayahubili,.
Ssahivi imewabidi waivamie tena baada ya juzi kati kupigwa na ambush ya kibabe karibu na maeneo ya hiyo hosipitali na kupelekea wanajeshi 17 wa IDF kulambishwa mchanga.
Sasa wameamua kuivamia tena hiyo hosipitali wakiamaini watawakamata makomandoo wa Hamas na kuambulia patupu. Kwa aibu wameamua kukamata raia waliokuwa wamejihifadhi hapo kwa vita na wagonjwa kwa minajiri ya kuwahoji zaidi
Kafiri ni yule alieukataa uislam. Muulize kisiri kisiri padri wako
Naona putin anaipata fresh huko
Wajukuu wa mudi changamoto sana
View: https://twitter.com/OCanonist/status/1771238014557007979?t=HTf0WZsMSQFd2_xA7RDVOg&s=19
Kafiri mwisho wake motoniHehehe gaidi la kiislamu bado upo?
Domo lako hilo halitakusaidia kuita mwanadamu aliyeubwa na Mungu kwamba KafirKafiri bado upo?
Hujalazimishwa. Unatahadharishwa ukifa ukiwa sio muislam wewe basi utaenda kuunguzwa moto yaani maisha yako yote yatakuwa motoni.Uislamu ukubaliwe kwa vigezo gani, muarabu akute watu na kubuni dini yake huko jangwani kisha muanze kulazimisha watu, wewe hapo hujiskii aibu kuvaa hizo dera/kanzu eti ufanane na muarabu.
Iko vipi hapo kremlinUnapenda iwe hivyo lakini haipo hivyo
Kafiri jifanye chizi. Ukifa ndio utajua kwanini ukawa kafiri. Sifa zako unazotaka upate jf zitakutokea puani. Pumzi ikikata tuGaidi la kiislamu mwisho wake mabikira??? Hehehe
Uislam umeanza tangu Adam na Hawa. Tanzania imeanza lini?Kabla uislamu haujaja Tanzania, babu zako pia nao ni makafir?
Gaidi la kiislamu mwisho wake mabikira??? Hehehe
Neno kafir (Kafiri) hutumika kumaanisha mtu anayeukanusha Uislamu, anayeonesha kutoshukuru neema, anakuwa mbali, anakwepa na kufunika. Kama neno, linamaanisha mtu asiye na Imani.Gaidi la kiislamu mwisho wake mabikira??? Hehehe
Kafiri jifanye chizi. Ukifa ndio utajua kwanini ukawa kafiri. Sifa zako unazotaka upate jf zitakutokea puani. Pumzi ikikata tu
Hiki ni kipimo sahihi kabisa kwa mtu anayewachokoza hawa jamaa....Watu wali survive dhidi ya Hitler aliyefika Hadi mile 18 kutoka Kremlin unaenda kuwachokoza, are you serious?
Tulia hivyo hivyo! Netanyahu alishaapa kula sahani moja na magaidi baada ya shambulio la Oct 7Best army in the world siku zaid ya 150 wameshindwa kujua mateka waliopo kazi yao kuua watoto tu huko gaza
kwann unawapangia muda wa kufanya kazBest army in the world siku zaid ya 150 wameshindwa kujua mateka waliopo kazi yao kuua watoto tu huko gaza