Uchaguzi 2020 Makamanda kulikoni huko Mbagala?

Uchaguzi 2020 Makamanda kulikoni huko Mbagala?

Hilo Jima linalotaka kuletwa lenye mgogoro mkt tusaidie ni jinsia ipi?
 
Viongozi msikubali wala kudharau mambo haya. Fuatilieni Mbagala mjue uhalisia wa hli jambo kabla hamjalifanyia maamuzi. Inawezekana ni genge la mpigiwa debe, ana hofu ya kupigwa chini hivyo anakomelea misumari, inawezekana ni wapinzani wenu wametengeneza kagenge ka kuwavuruga kwa kumowogopa mnayetaka kumpeleka, inawezekana ni kweli kwamba hawa ni wawakilishi wa wapipga kura wa Mbagala ila wamekosa adabu na subira. Na kama ni viongozi kweli walikwenda kupiga kura za maoni ndio hawa, kuna tatizo la kimuundo. Elimu ya uongozi na utawala inahitajika.

Mungu Ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom