Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Kamanda tuheshimiane.Mataga mkubwa wewe
Kamanda unajichetua akili? Umesahau mnachokisifia sasa? Shati la kijani linakupendeza na hivi unakijitambi.Muuza face naona baada ya kupewa eneo la kuuigiza kama mwanacdm, naona uzalendo umekushinda hatimaye umejisahau na kukupigia debe chama chako cha majizi ya Kura.
Tafuta popote ninaposifia, au unadhani mimi ni bendera fuata upepo kama ww? Akina Polepole wanaona kabisa walikuanzishia hii Id mwaka jana ili ujifanye cdm, kwa bahati mbaya huna uwezo huo na saa hii umechafua picha. Ni ngumu mzee kama ww kwenda na kasi ya mitandao maana huku ni maeneo ya vijana.Kamanda unajichetua akili? Umesahau mnachokisifia sasa? Shati la kijani linakupendeza na hivi unakijitambi.
Kamanda CCM imebadiliaka, twendeni tukaipigie kampeni. Mama Samia yupo gado. Ila kwa kuwa una kitambi shati la Ccm linakupendeza.Tafuta popote ninaposifia, au unadhani mimi ni bendera fuata upepo kama ww? Akina Polepole wanaona kabisa walikuanzishia hii Id mwaka jana ili ujifanye cdm, kwa bahati mbaya huna uwezo huo na saa hii umechafua picha. Ni ngumu mzee kama ww kwenda na kasi ya mitandao maana huku ni maeneo ya vijana.
Kwani Haya Mataga PRO MAX yanashindana na vyama gani vya upinzani?Kumpigia mtu akatembelee V8 wakati ww unatembea kwa miguu hata IST mbovu huna huo tunaita ni MATAGA PRO MAX
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Hamtaki kwenda kumuunga mkono mama?Mataga mkubwa wewe
Kamanda hutaki kwenda tukamuunge mkono mama baada ya dhalimu wako kufariki?Muuza face naona baada ya kupewa eneo la kuuigiza kama mwanacdm, naona uzalendo umekushinda hatimaye umejisahau na kukupigia debe chama chako cha majizi ya Kura.
Kamanda hutaki kwenda tukamuunge mkono mama baada ya dhalimu wako kufariki?
Mkuu mbona hapa kila siku unasema baada ya dhalimu kufariki mambo sasa yako poa chini ya Samia!Ni lini niliwahi kumuunga mkono mwanaccm yoyote? Dhalimu ndio amenifanya niichukue ccm mazima.
Mkuu mbona hapa kila siku unasema baada ya dhalimu kufariki mambo sasa yako poa chini ya Samia!
Sasa kuna shida gani tukienda muhambwe kumuunga mkono kipenzi chetu Samia aliesawazisha mambo ya dhakimu wako?