Makamanda shime twendeni Muhambwe tukaipigie kampeni CCM kwa sasa inatufaa

Makamanda shime twendeni Muhambwe tukaipigie kampeni CCM kwa sasa inatufaa

Makamanda wenzangu twendeni Muhambwe tukajazane majukwaani tuhakikishe CCM inashinda kwa kishindo kikuu.

CCM ya sasa imebadilika ndio tuliokuwa tunaitaka. CCM ya sasa inatoa uhuru wa kujieleza. CCM ya sasa haina watekaji. Haina mafisadi Hii ndio tuliokuwa tunaitaka.

Shime makamanda wa kike na kiume mkavae madila na mashati ya CCM na kuipigia Kampeni maana hii ya sasa ni bora kuliko hata CCM yetu.
Ukiona aliyekuwa adui yako ghafla ameanza kujikomba kwako kuwa rafiki jua huko mbele kuna tatizo, kuna siku atakuwekea sumu kwenye chai
 
Back
Top Bottom