Makamanda shime twendeni Muhambwe tukaipigie kampeni CCM kwa sasa inatufaa

Ni lini niliwahi kumuunga mkono mwanaccm yoyote? Dhalimu ndio amenifanya niichukue ccm mazima.
Kamanda mama sio dhalimu wala sio mwizi wa kura,pia hajawahi kuteka mtu tangu aingie madarakani.
 
Mkuu mbona hapa kila siku unasema baada ya dhalimu kufariki mambo sasa yako poa chini ya Samia!

Sasa kuna shida gani tukienda muhambwe kumuunga mkono kipenzi chetu Samia aliesawazisha mambo ya dhakimu wako?
Kamanda mwenzangu hajitambui kiakili. Ni wale makamanda wanaokariri mambo na kukaririshwa.
 
Siyo dhalimu kama shetani ndiyo!

Sasa huoni kama ni wakati wa kwenda kumuunga mkono?

Maana mambo yote baada ya shetani wako kuondoka ni super.
 
Profesa Asad alishasema hakuna uchaguzi ni madudu tupu
 
Sawa kamanda usiechoka kwa hisani ya watu wa Lumumba!!
 
Kamanda mama sio dhalimu wala sio mwizi wa kura,pia hajawawi kuteka mtu tangu aingie madarakani.

Hata kama, lakini kwangu hicho chama cha ccm ni takataka kama takataka nyingine. Isitoshe mifumo ya uchaguzi ni Ile ile, huyo mama afanyie kazi hilo kama na yeye ni tofauti sana.
 
Bado kidogo utaanza kutoa jicho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo dhalimu kama shetani ndiyo!

Sasa huoni kama ni wakati wa kwenda kumuunga mkono?

Maana mambo yote baada ya shetani wako kuondoka ni super.

Mama sio dhalimu wala shetani, hilo liko wazi, lakini mifumo ni ile ile iliyompa nafasi ibilisi kutekeleza uhayawani wake. Mifumo ya uchaguzi na katiba mpya zipatikane ili awe na uhalali wa kutaka kuungwa mkono.
 

Utakuwa hujaelewa somo dalili za wazi za umburula. Tofautisha mama kuungwa mkono na CCM au mwendazake kuzodolewa:



Muhambwe anagombea mama au CCM?

Habari ndiyo hiyo.
 
"Tukaipigie ccm kampen Kwan ccm ya sasa ni bora kuliko ccm yetu" sasa HONGERA Mataga,naona njaa imeharibu akili
 
Kila Rais anakausha pesa mifukoni,ccm tunakwama wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…