Chezeeni Serikali na Dola zake.....isitoshe karibia kila uzi majivu yenu ni kudai kuwa akwilina alifanyiwa uovu. Mnalia kila siku....
Sasa mnataka Kina Akwilina wengine kwa sababu zenu binafsi.
Uthubutu, hiki kitu naona ndilo jambo la msingi zaidi, na linajengeka kulingana na tabia za wahusika hasa kutokana na matukio yaliyopita.
Hivyo, kama bado hapa kwetu hatujawahi kufanya maandamano, itatuchukua muda kuja kuyafanya, na pale itakapotokea tumeshafanya, basi hatutakuwa tunajiuliza tena nini tunajifunza kutokana na yanayotokea kwa majirani zetu, kwani tutakuwa tumeshapata experience.
Nakumbuka makamanda waliambiwa kwenye maandamano wakae mbele ili wamwagwe mkojo vizuri...tangia hapo wakapoteana mazima ππ
Viongozi wenu walizoea kutanguliza masikini kama chambo huku wao wanatafuna ruzuku wakakutanana na Chuma. No asali ni pumzi ya moto tu π π π₯π₯π₯
Tanzania hatuwezi kukubali ujingaa huu utokee mpaka pale wale wanaohimiza maandamano wawepo mbele ya mstari na familia zao.
I mean hauwezi kuandaa mandamano afu siku ya kuandamana ushinde kwenye TV na familia yako ukiwaangalia uliowarubuni wakila mkong'oto kutoka kwa polisi brutal.