Makamanda tunayo ya kujifunza kwa Raila Odinga

Makamanda tunayo ya kujifunza kwa Raila Odinga

Kama hicho ndio msimamo wa sukuma gang endeleen kupigika na maisha au andamaneni na mamazenu.
Mbona hamueleweki.

Mara 'sukuma gang' wamefinywa mirija.
Mara tutawatoa katika uso wa dunia
Mara wakazikwe huko

Mara wameficha fedha China
Mara waondolewe kwenye nyadhifa

Halafu unakuja kuwapigia goti na kuwaambia wanapigika kimaisha? How?

mbona unaleta ya Lema hapa? Uwongo, Uchonganishi na kejeli lukuki
 
Chezeeni Serikali na Dola zake.....isitoshe karibia kila uzi majivu yenu ni kudai kuwa akwilina alifanyiwa uovu. Mnalia kila siku....
Sasa mnataka Kina Akwilina wengine kwa sababu zenu binafsi.

R.I.P Akwilina
Akili yako ya hovyo sana .
Sijui ulienda shule zipi, sijui ni hizi za kata ?!
 
Hakuna shetani anaekosa wafuasi. Kwahiyo huyo jamaa anaetukana bodaboda ana wajinga wake kina Dawa ya Uvccm wanamkubali na kumsikiliza sana hata akiwaomba kijambio watampa tu.
Tanzania imejaa wapumbavu wengi ambao huambiwa na wapuuz kuwa bodaboda ni kaz nzuri na wao kuamin huku watoto wa hao wanaowambia hawajawahi hata kuendesha pikipiki na lema kasema watoto wao waendeshe bodaboda ndio ataamin kuwa ni kaz nzuri badala yake wajinga wanasema lema kawatukana kisa wamejazwa ujinga kichwani
NB, Watoto wa kitila Mkumbo na Madelu wanafanya kaz BOT na TPDC.
 
Mimi kwenye kuandamana nitoeni siwezi kutumika kumpambania Mr big belly yoyote nitaandamana kama nyumba yangu itavunjwa
 
Makamanda wetu sisi ni wachumia tumbo tu, halafu wana njaakalihatari. Wakilambishwa kidogo tu asali, wanasahau maumivu yote waliyopitia.
Hao siyo makamanda wetu. Hao labda wenu katika lile kundi la vijana wa hovyo. Angalia wenye kukuunga mkono kwenye bandiko hilo.

Hili ni la muhimu sana kwetu :

"Hatuna haja ya kupoteza muda na vijana wa hovyo."

Kujifunza kwa akina Raila - ruksa!
 
Tanzania imejaa wapumbavu wengi ambao huambiwa na wapuuz kuwa bodaboda ni kaz nzuri na wao kuamin huku watoto wa hao wanaowambia hawajawahi hata kuendesha pikipiki na lema kasema watoto wao waendeshe bodaboda ndio ataamin kuwa ni kaz nzuri badala yake wajinga wanasema lema kawatukana kisa wamejazwa ujinga kichwani
NB, Watoto wa kitila Mkumbo na Madelu wanafanya kaz BOT na TPDC.
Wewe mbona unatumikishwa hapa JF na wanasiasa uchwara. Huku wanaokutumikisha watoto wao wakiwa Marekani wanasoma na kula bata bila kuingia humu kuwatetea wazazi wao?

Je unapata faida gani kutetea wazazi wa wenzako?
Inakuaje wazazi wako wazae afu wengine wakutumie?
 
Pambaneni na maisha yenu hakuna kamanda atakayepigania wapumbavu wasiojitambua.
Hao hao mnaowapigia magoti

Hao hao mnao watukana
hao hao mnao wachonganisha na Serikali yao?

Ati wakati 'sisi hapa tunasota' oh nimeenda polisi sana
Ati "hamkutokea" wakati tunasota magerezani

Halafu, kwa madai yenu wenyewe mnasema
Hakuna kamanda atakaye tokea kuwapambania?

Kwa nini tusiwaamini na hayo?
Kwamba hatujielewi na hivyo basi Makamanda wanajielewa....
Tunavyosema mnajali matumbo yenu, mnaumuka.

Asante kwa kudhihirisha yale Wananchi wanayo ogopa, nayo ni kuwapa Dola CHADEMA.

Msubiri CCM wawapatie mgao wa wabunge maalum, wizara tatu nne hivi, mnyamaze
 
Ni ujinga kufuata viongozi wajinga kwa kisingizio cha kukosa mkate.
Tatizo tumesahau maandiko matakatifu asili na tamaduni zetu na kukimbilia kwenye ushweitani wa kidunia.
 
Hao hao mnaowapigia magoti

Hao hao mnao watukana
hao hao mnao wachonganisha na Serikali yao?

Ati wakati 'sisi hapa tunasota' oh nimeenda polisi sana
Ati "hamkutokea" wakati tunasota magerezani

Halafu, kwa madai yenu wenyewe mnasema
Hakuna kamanda atakaye tokea kuwapambania?

Kwa nini tusiwaamini na hayo?
Kwamba hatujielewi na hivyo basi Makamanda wanajielewa....
Tunavyosema mnajali matumbo yenu, mnaumuka.

Asante kwa kudhihirisha yale Wananchi wanayo ogopa, nayo ni kuwapa Dola CHADEMA.

Msubiri CCM wawapatie mgao wa wabunge maalum, wizara tatu nne hivi, mnyamaze
Ni bora wizara tatu nne lakin hakuna kamanda atakayepambania wapumbavu ambao wakiambiwa kuandamana wanasema lissu atangilie na watoto wake, huko kenya mmeona mtoto hata mmoja wa Raila kwenye hayo maandamano? so nasema hivi hakuna kamanda atakayepambania wapumbavu mpaka mtakapojitambua ndio makamanda watawapambania.
 
hakuna kamanda atakayepambania wapumbavu kama mnamaisha magumu yaendelee kuwagonga tu si mliipenda wenyewe.
Kupitia haya maelezo yako, kama kuna Kamanda yeyote yule aliyekwisha tayari kulamba asali, halafu anataka kurudi zake "uhamishoni", ni bora akarudi tu.

Hakuna sababu ya msingi ya kuwatukana wapiga kura, Kamanda.
 
Wewe mbona unatumikishwa hapa JF na wanasiasa uchwara. Huku wanaokutumikisha watoto wao wakiwa Marekani wanasoma na kula bata bila kuingia humu kuwatetea wazazi wao?

Je unapata faida gani kutetea wazazi wa wenzako?
Inakuaje wazazi wako wazae afu wengine wakutumie?
Akirudi nyumbani hoi! Usongo bwelele. Anamwambia mme wake au sijui mke wake kuwa ana ajira....bora kuliko ya kufukuza upepo

img_20230314_215542-jpg.2558531
 
Mbowe alisema amehangaika sana mwishowe Mali zake zimetaifishwa na Serikali amechoka ngoja naye alambe asali arudishe Mali zake.
 
Back
Top Bottom