Makamanda tunayo ya kujifunza kwa Raila Odinga

Makamanda tunayo ya kujifunza kwa Raila Odinga

Odinga nae ni njaa na uchoyo wa madaraka hana jipya la maana!!, Huyu sio aliyelambishwa asali na kibaki?.

Afu Kenya ni Nchi ya watu hai sio watu mfu Kama ninyi Tz!!, Watu ambao sukari imetoka kuuzwa kwa kilo 1600 hadi 3000 huku mchele ukiuzwa Mara mbili ya awali!!. Unategemea Mbowe au Lema ambao wanaweza kuitwa ikulu wakahakikishiwa kila mwezi 20m+ ndio waingie barabarani kufanya maandamano huku kapuku anachekelea bila kujali!!.
 
Ni bora wizara tatu nne lakin hakuna kamanda atakayepambania wapumbavu ambao wakiambiwa kuandamana wanasema lissu atangilie na watoto wake, huko kenya mmeona mtoto hata mmoja wa Raila kwenye hayo maandamano? so nasema hivi hakuna kamanda atakayepambania wapumbavu mpaka mtakapojitambua ndio makamanda watawapambania.
Tuna waamini kwa hayo machache unayosema.

Na hivi wewe ndie Msemaji mkuu wa CHADEMA tutaweka akiba ya kauli zenu.
 
Kijambio nitasubiri wewe na mamako mumpe mkiwa pamoja kisha na mimi nitakubali.
Naona wanasiasa uchwara washakugeuza daraja. Kila mtu anakutumia katika shughuli zake na kukutelekeza.

Umekuwa mtu wa kucomment kila kitu unachoona kinawagusa wanaokutuma, huku watoto wa wale unaowapigania wakishinda kwenye computer zao wakijifunza mambo ya maana kuhusu future zao hapo baadae.

Afu eti mwenyew unajiona mjanja 😂😂😂 ama kweli nyani haoni kundule
 
Chezeeni Serikali na Dola zake.....isitoshe karibia kila uzi majivu yenu ni kudai kuwa akwilina alifanyiwa uovu. Mnalia kila siku....
Sasa mnataka Kina Akwilina wengine kwa sababu zenu binafsi.

R.I.P Akwilina
huna akili.
 
Kupitia haya maelezo yako, kama kuna Kamanda yeyote yule aliyekwisha tayari kulamba asali, halafu anataka kurudi zake "uhamishoni", ni bora akarudi tu.

Hakuna sababu ya msingi ya kuwatukana wapiga kura, Kamanda.
Narudia tena hakuna kamanda atapambania wapumbavu hasa sukuma gang, kuhusu sijui kulamba asali hio ni lugha aina ya misimu ambayo haina effect yoyote maana sukuma gang ndio wanahangaika nayo kwasababu walizoea kuuwa na kuteka watu so SAMIA kwa kiwa ni mcha MUNGU ameona ni bora aandae makaz ya mbingun vizur kwa kutokutumia madaraka hovyo kama alivyofanya mungu wenu wa chato.
 
Akirudi nyumbani hoi! Usongo bwelele. Anamwambia mme wake au sijui mke wake kuwa ana ajira....bora kuliko ya kufukuza upepo

img_20230314_215542-jpg.2558531
🤣🤣🤣🤣 yani dada yetu amekuwa useless kabisa. Ndio maana kwa aibu anabadilisha IDs kila siku.

Mara ajiite Mmawia, mara Dawa ya kijambio chake nk.
 
Uthubutu, hiki kitu naona ndilo jambo la msingi zaidi, na linajengeka kulingana na tabia za wahusika hasa kutokana na matukio yaliyopita.

Hivyo, kama bado hapa kwetu hatujawahi kufanya maandamano, itatuchukua muda kuja kuyafanya, na pale itakapotokea tumeshafanya, basi hatutakuwa tunajiuliza nini tunajifunza kutokana na yanayotokea kwa majirani zetu, kwani tutakuwa tumeshapata experience.
denooJ Tanzania ni bomu baya sana linaloweza kulipuka muda wowote. Ogopa sana sana wananchi wanaoonekana mazoba kama watanzania japo wanakandamizwa. Itakuja kutokea kitu kidogo sana eg bodaboda mmoja kuuawa na polisi na nchi yote itawaka moto. Ubaya wa kufikia kwenye hali kama hiyo ni kwamba amani hairudi mapema.
 
Sahihi na ndo nipo ivo kwangu wanasiasa wote kwangu ni wale wale
Usikate tamaa. Piga kura kwa uangalifu 2025.
Hakika usipangiwe na mwanasiasa....panga wewe ni siasa gani unayoitaka na nani kati ya wanasiasa unaokwenda kuwapigia kura, wanaweza kufikisha ujumbe wako.
 
Wakenya awataki longo longo ata ruzuku za kufidia bei ya mafuta imebainika zilikuwa zinaingia kwenye mifuko ya watu tu aiendi kwenye mafuta.

Imagine Tanzania miezi mingapi serikali ilikuwa inadai inatoa cash billioni 100 ya ruzuku, wakati ata bei ya mafuta ikishuka duniani, Tanzania bei bado juu. Huku serikali inaendelea na utapeli wake ikidai inatoa ruzuku ya billion 100 cash.

Yaani kuna watu ata gas ya kupikia wanaogopa kutumia ni kwa ajili ya kusongea ugali tu jiko lake. Habari ya kuchemsha nyama au maharage ni mkaa kubana matumizi.

Bei yenyewe ya chakula ndio haishikikii mlo unapigwa pasi ndefu, halafu ndio kwanza waziri wa kilimo anakwambia tunalinda wafanyabiashara.

Maaandamano leo Africa ni nchi tano.
Kenya (cost of living)
South Africa (cost of living)
Senegal (Cost of living)
Tunisia (Cost of of living)
Nigeria (Cost of living + election).

Watanzania maskini hakuna wakuwasemea watu wanatoleana hasira wenyewe majumbani.

What a pity halafu viongozi walivyo na dharau, utawasikia aliewaambia wazae watoto wengi nani.
 
Naona wanasiasa uchwara washakugeuza daraja. Kila mtu anakutumia katika shughuli zake na kukutelekeza.

Umekuwa mtu wa kucomment kila kitu unachoona kinawagusa wanaokutuma, huku watoto wa wale unaowapigania wakishinda kwenye computer zao wakijifunza mambo ya maana kuhusu future zao hapo baadae.

Afu eti mwenyew unajiona mjanja 😂😂😂 ama kweli nyani haoni kundule
Mimi siko hapa kutafuta ujanja maana huko nilishapita na kuwaachia watoto, nilichokujibu ni kwamba nitakuwa tayari kutoa kijambio kama ulivyoandika nikiona wewe na mamako mnapigwa kisawasawa kwa wakati mmoja na chongolo au yule wa phd ya kununua msukuma.
 
Kupitia haya maelezo yako, kama kuna Kamanda yeyote yule aliyekwisha tayari kulamba asali, halafu anataka kurudi zake "uhamishoni", ni bora akarudi tu.

Hakuna sababu ya msingi ya kuwatukana wapiga kura, Kamanda.
Unapoteza muda wako bure kubishana na mtu ambae akili yake iko ndani ya mfuko wa suruali ya Mbowe.

Mbowe amekuwa na utaratibu wa kutembea na akili za nyumbu wake ili iwe rahisi yeye kuwadhibiti pale wanapotaka kufikiri nje ya box.

Ndio maana ni vigumu sana kukuta msukule wa Mbowe unaandika mambo ya maana kuhusu taifa, kwa vile mwamba anawa control kila kitu.
 
Mimi siko hapa kutafuta ujanja maana huko nilishapita na kuwaachia watoto, nilichokujibu ni kwamba nitakuwa tayari kutoa kijambio kama ulivyoandika nikiona wewe na mamako mnapigwa kisawasawa kwa wakati mmoja na chongolo au yule wa phd ya kununua msukuma.
Wewe umejuaje kama hao uliowataja ni wazee wa kijambio? Bila shaka umeshawahi kuwapa cha kwako.
 
Chezeeni Serikali na Dola zake.....isitoshe karibia kila uzi majivu yenu ni kudai kuwa akwilina alifanyiwa uovu. Mnalia kila siku....
Sasa mnataka Kina Akwilina wengine kwa sababu zenu binafsi.

R.I.P Akwilina
Akwilina alipigwa risasi ya moto, ndivyo ulivyokuwa uongozi wa dikteta Jiwe. Kuua ndiyo ulikuwa utaratibu wake kwa wale anaitofautiana nao kiitikadi matokeo ya amri zake za kuua watu hovyo kwa risasi ndiyo wakaua mpaka binti mdogo asiyehusika kabisa na siasa zenu.
 
Back
Top Bottom