- Thread starter
- #181
The difference.
Risasi za moto (live bullets) zilipigwa kwenye hayo maandamano kama ilivyokuwa kwa Akwilina na Sheikh Ponda na assassination attempt ya Lissu? Kama hatuoni ujasiri kwenye hayo yanayotokea kwetu basi ujinga, unafiki na roho mbaya ndiyo jadi ya wengi wetu.
Nchi ina mazingira ya kisiasa ya ovyo sana, halafu wengi tunasherehekea tu na kuwakebehi wanaojitahidi kupambana kuyarekebisha. Eti watangulize familia na watoto wao wavunjwe miguu! Halafu tunalalamikia utawala mbaya na kuwashambulia wapinzani badala ya watawala kwa hali hiyo. Pathetic!
Mkuu wanaokebehi wana majina yao:
"Hatuna haja ya kupoteza muda na vijana wa hovyo."
Hawana mchango wowote kwa taifa hili.
Hao ni mzigo. Hata Kwa Odinga wapo wengine ni walamba asali kama kina Gachagua.