- Thread starter
- #201
Umesikia Ruto, Gachagua au mkenya yeyote akisema pana ukabila hapo? Kalonzo, Karua, Wajakoya au Uhuru ni wajaluo? Ujaluo unaujua wewe Tandahimba huko?Ukabila mtupu. Hapo "lafudhi" ni akina Okech, Odongo, onyau tupu. Kwetu tunabahati ukianzisha timbwili la kichaga dhidi ya wasukuma utakuta wanawake wa kichaga wameolewa usukumani na ma uncle kibaooo. Utatangqza ukuta watu wanakuangalia tu. Kwa hivyo mzee Nyerere alifanya jambo kubwa sana kutuunganisha watanzania. Hawa jamaa hawaendi hata hata kwenye bar, restaurant hata mabasi hawapandi ya kabila pinzani. Hii mbegu huwa haifi.
Kulikoni kuonyesha umburula wako hivi mjomba?