Makamanda tunayo ya kujifunza kwa Raila Odinga


Mkuu wanaokebehi wana majina yao:

"Hatuna haja ya kupoteza muda na vijana wa hovyo."

Hawana mchango wowote kwa taifa hili.

Hao ni mzigo. Hata Kwa Odinga wapo wengine ni walamba asali kama kina Gachagua.
 

Wewe ni nani kuwasemea hayo wakenya?

Your browser is not able to display this video.


Kwamba wewe ni mjuaji kuliko hawa.

Hivi hata kujihurumia wenyewe hakuna? Si ndiyo maana Yesu akasema msinililie miye bali mjililie wenyewe?

Zingatia hoja mojawapo pale:

8. Raila au wakenya katika Mapambano si wajinga wanayo hoja na wanakijua wanachokipigania.
 
Mtoto wa Mbowe anaitwa Dudley. Yeye utazama maandamano kupitia YouTube channel akiwa Dubai. Kisha anatoa inputs nini kiboreshwe na baba yake wakati huo hana hata fungu la panadol.
Mtoto wa odinga umemuona hapo au kwakuwa mnaupumbavu wa sukuma gang, by the way mbowe hawez kupigania wapumbavu wa sukuma gang.
 
Ndio maana nimeyaambia humu several times kuwa mbowe na lissu hawawez kuendelea kupambania mapumbavu ya tanzania kama yanafikir maisha ni magumu yaandamane yenyewe na mamazao nyumban kwao kama ambavyo huwaambia kina mbowe na lissu waandamane na watoto wao.
 

😅😅😂😂😂😅😅

Aiseee weee wacha tu.....ndugu yangu nimecheka lakini siyo ya kuchekesha .
Pole sana. Duh
 
chuma mavi anayeoza chato wajane mmebaki kujifariji ujinga na ikifika 2025 tunawafuta kabisa hata udiwan wa kupita bila kupingwa mtabaki kuuota.
Kwani ndugu zako waliokufa hawaozi?
 

Ndugu kwenye orodha:

7. Kwenye maandamano huwa casualties hawakosekani na anaweza kuwa awaye yote.

Maseno University student shot dead during anti-government protests

Kwa mawazo duni kama yako nchi hii isingepata uhuru.

Zingatia tunafahamu uwepo wa walamba asali, msoga boys na hata vijana wa hivyo. Tutegemee nasaha gani kutoka kwa magenge hayo?

"Hatuna haja ya kupoteza muda na vijana wa hovyo."

Tunamaanisha.
 
Chezeeni Serikali na Dola zake.....isitoshe karibia kila uzi majivu yenu ni kudai kuwa akwilina alifanyiwa uovu. Mnalia kila siku....
Sasa mnataka Kina Akwilina wengine kwa sababu zenu binafsi.

R.I.P Akwilina
Hawa watu ovyo kbs yaani
 
Mkuu yanakuchekesha haya?
Nimesema nimecheka jinsi alivyohadithia, ndio inachekesha. Lakini vilevile nimesema Jambo hilo silo la kuchekesha....we chagua litakalo kupendeza, mie najua kilicho toka rohoni mwangu na nina amani tele.

Asante kwa taarifa Braza J
 
Raila kaitisha maandamano yasiyokuwa na ukomo kuikomboa Kenya. Malengo yake hayana tofauti na yetu makamanda.

Uwanja wa mapambano Kenya na wetu uko sawa sawa. Sisi tunakwama hapa:

1. Raila anapigana vita hii kama mkenya, siyo kama ODM au Azimio la Umoja.
2. Raila anatumia lugha rafiki akiwaunganisha wakenya kutokea katika magumu yanayowagusa wote.
3. Raila hawanyooshei vidole Kenya Kwanza, mtu au chama chochote bali William Ruto.
4. Raila haondoki alipo kuelekea kwenye maandamano bila kuzungukwa na nyomi ya haja.
5. Raila hahangaiki na wasaliti au vijana wale wa hovyo.
6. Raila amewaandaa watu kufahamu kwenye mapambano kama haya: kukamatwa, kujeruhiwa au hata kufa kumo na hakuna mwenyewe.
7. Raila anapigana huku akiongea pia, ndiyo maana shughuli hii ni ya jumatatu Kwa jumatatu, Hadi kieleweke.
8. Raila yuko wazi mapambano yake ni ya amani.
9. Nk.



Makamanda tuendelee Kuongezea nyama ushindi ni hakika.



Tupigane tukiongea kitaeleweka tu:



Shikamoo Raila Amolo Odinga.
 
Acha kufananisha the king Raila na vitu vya kijinga mkuu

Ushauri wa muhimu sana kwa makamanda ni huu hapa:

5. Raila hahangaiki na wasaliti au vijana wale wa hovyo.

Unaoonekana kukuhusu moja kwa moja
 
Subirini matunda mle. Kwani lini yakipatikana huwa hamtokei kudai kumwuunga mkono Mama Kwa mnachoitaga kuwa ni ridhaa yake?

View attachment 2559517
Ukabila mtupu. Hapo "lafudhi" ni akina Okech, Odongo, onyau tupu. Kwetu tunabahati ukianzisha timbwili la kichaga dhidi ya wasukuma utakuta wanawake wa kichaga wameolewa usukumani na ma uncle kibaooo. Utatangqza ukuta watu wanakuangalia tu. Kwa hivyo mzee Nyerere alifanya jambo kubwa sana kutuunganisha watanzania. Hawa jamaa hawaendi hata hata kwenye bar, restaurant hata mabasi hawapandi ya kabila pinzani. Hii mbegu huwa haifi.
 
WAAFRICA ni WAJINGA sana.

Mimi kwangu kuandamana ni UPUMBAVU wa Hali ya JUU.

KWANINI USIKAE MEZA MOJA NA UONGOZI MKAMALIZA TOFAUTI???

naamini sana Meza ya mazungumzo.
Kama nyote mkiwa na nia Thabiti bila janja janja mazungumzo ni njia bora kabisa kabisa !! Maana hata Uhuru wa Nchi hii ulipatikana kwa njia ya mazungumzo tu !! It can be done ✔️ But no janja janja !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…