Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Mkuu hivi umesoma vizuri kweli nilichoandika? Rudia tena kusoma hapo chini afu ndo u comment.Unaamini umma ukiamua kuandamana kuna polisi atakayethubutu kuzuia?
Wote watakimbia kunusuru maisha yao mkuu.
Rejea nchi mbalimbali namna watawala walivyolewa madaraka wakaamini hakuna mbwa atakasogea barabarani kwakuwa watatumia jeshi kuwapa kichapo lakini siku isiyotarajiwa waliacha starehe zote walizozoea kuponda nakukimbia makazi yao ya kifahari.
Mi naona kama comment yako ilikuwa ni ya ku quote mtu mungine.
Tanzania hatuwezi kukubali ujingaa huu utokee mpaka pale wale wanaohimiza maandamano wawepo mbele ya mstari na familia zao.
I mean hauwezi kuandaa mandamano afu siku ya kuandamana ushinde kwenye TV na familia yako ukiwaangalia uliowarubuni wakila mkong'oto kutoka kwa polisi brutal.