spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
To me sitakaa niwasupport hao watu nitaandamana siku maslahi yangu yakiguswa directly ila mambo ya kwenda kupambania watu waende white house siwezi fanyaHuko siyo kujificha mkuu. Huko ni kujipanga kwa mapambano ya muda mrefu.
Tofautisha kutokuogopa kifo na kukikimbilia au kukitafuta kifo.
Haina shida wala hakuna aliyeitwa au kuletwa na Fuso pale.To me sitakaa niwasupport hao watu nitaandamana siku maslahi yangu yakiguswa directly ila mambo ya kwenda kupambania watu waende white house siwezi fanya
Unajidanganya hawahawa makamanda.. Hivi kusoma hamjui hata picha hamuoni. View attachment 2560119
Upo wapi nikupitie twende magogoni kakaHaina shida wala hakuna aliyeitwa au kuletwa na Fuso pale.
Kutambua uwepo wa vijana wa hovyo wasiokuwa na mchango wowote kwa taifa mbona ni hatua njema sana?
Zingatia hiyo ni sehemu ya mafunzo kutokea kwa mzee Odinga.
Sio Tanzania kwingne labda.Hata Ruto, Gachagua na genge lao la Kenya Kwanza walikuwa na propaganda kama zenu. Waulize walipo sasa hivi:
View attachment 2560122
Jumatatu ijayo watakuwa na ugeni mwingine wasioupenda. Tofauti yake, utakuwa mkali zaidi kuliko wa jana.
Upo wapi nikupitie twende magogoni kaka
Sio Tanzania kwingne labda.
Sawa Kwame nkrumahHapa lilikuwa bandiko lako:
"To me sitakaa niwasupport hao watu nitaandamana siku maslahi yangu yakiguswa directly ila mambo ya kwenda kupambania watu waende white house siwezi fanya"
Sasa unipitie kwenda Magogoni kunywa chai?
Kutohangaika na vijana wa hovyo kama nyie msiokuwa na mchango wowote kwa taifa hili, ni moja ya masomo muhimu kutoka kwa mzee huyu.
Kwa mawazo kama yako hii nchi hii isingepata uhuru wakati wa Nyerere.
Sawa Kwame nkrumah
Hapana mimi simlaumu Mbowe mkuu kwa sababu mimi naamini Mbowe hajawahi kunipigania mimi mwananchi wa chini hata siku moja, bali huwa anapigania tumbo lake na masilahi yake yeye na chama chake.Mkuu usimlaumu Mbowe,tujilaumu wenyewe hata Mimi ninasapoti kabisa Mbowe bora ale asali-huwezi kuwaangaikia watu wasiojielewa.
Jamaa ameanzisha mavugu vugu mengi akakosa support ya watu inataka yeye afanyaje?
Wameanza na figo nadhani soon watakubali kuandamanaUthubutu, hiki kitu naona ndilo jambo la msingi zaidi, na linajengeka kulingana na tabia za wahusika hasa kutokana na matukio yaliyopita.
Hivyo, kama bado hapa kwetu hatujawahi kufanya maandamano, itatuchukua muda kuja kuyafanya, na pale itakapotokea tumeshafanya, basi hatutakuwa tunajiuliza tena nini tunajifunza kutokana na yanayotokea kwa majirani zetu, kwani tutakuwa tumeshapata experience.
Hata mabinti walikuwa Kwa maandamano.Wakenya nyie ni wanaumeee
ILLUSIONSSuccess is always built from a list of wishes.
Illusions to you, may not be so to others.ILLUSIONS
Ili ufanikiwe inatakiwa upate Agenda ya kuwaunganisha watu watakao andamana. Halafu upunguze njaa.Illusions to you, may not be so to others.
ANGLE HII IANGALIWE PIA.
Raila ODINGA ni mtoto wa kiongozi mpigania uhuru,
Familia ya ODINGA inamiliki mashamba na ardhi Karibia ROBO ya nchi nzima ya Kenya.
COST OF LIVING NI PAMOJA NA;
Bei ya CHAKULA, land rent, school fees, transport. nk nk.
Kama Kweli ODINGA amedhamiria kusaidia wananchi,
Kwann asiuze au kuligawa nusu ya ardhi waliyopora Kwa wananchi wa KIBERA na kwingine Wanaishi ktk SLUMS?
Jambo hili lingepinguza Ugumu wa maisha ktk Nchi Kwa kiwango kikubwa.
Naunga mkono maandamano, bt napinga viongozi aina ya ODINGA na Uhuru kutowajibika kuuza au kuwagawia maskini WASIONACHO utajiri wao Ili kusaidia Nchi kabla ya hatua zingine kuchukuliwa.