Makamanda tunayo ya kujifunza kwa Raila Odinga

Makamanda tunayo ya kujifunza kwa Raila Odinga

Huko siyo kujificha mkuu. Huko ni kujipanga kwa mapambano ya muda mrefu.

Tofautisha kutokuogopa kifo na kukikimbilia au kukitafuta kifo.
To me sitakaa niwasupport hao watu nitaandamana siku maslahi yangu yakiguswa directly ila mambo ya kwenda kupambania watu waende white house siwezi fanya
 
Unajidanganya hawahawa makamanda.. Hivi kusoma hamjui hata picha hamuoni.
20230318_181021.jpg
 
To me sitakaa niwasupport hao watu nitaandamana siku maslahi yangu yakiguswa directly ila mambo ya kwenda kupambania watu waende white house siwezi fanya
Haina shida wala hakuna aliyeitwa au kuletwa na Fuso pale.

Kutambua uwepo wa vijana wa hovyo wasiokuwa na mchango wowote kwa taifa mbona ni hatua njema sana?

Zingatia hiyo ni sehemu ya mafunzo kutokea kwa mzee Odinga.
 
Unajidanganya hawahawa makamanda.. Hivi kusoma hamjui hata picha hamuoni. View attachment 2560119

Hata Ruto, Gachagua na genge lao la Kenya Kwanza walikuwa na propaganda kama zenu. Waulize walipo sasa hivi:

FrqctdLXwAAuQ17.jpeg


Jumatatu ijayo watakuwa na ugeni mwingine wasioupenda. Tofauti yake, utakuwa mkali zaidi kuliko wa jana.
 
Haina shida wala hakuna aliyeitwa au kuletwa na Fuso pale.

Kutambua uwepo wa vijana wa hovyo wasiokuwa na mchango wowote kwa taifa mbona ni hatua njema sana?

Zingatia hiyo ni sehemu ya mafunzo kutokea kwa mzee Odinga.
Upo wapi nikupitie twende magogoni kaka
 
Upo wapi nikupitie twende magogoni kaka

Hapa lilikuwa bandiko lako:

"To me sitakaa niwasupport hao watu nitaandamana siku maslahi yangu yakiguswa directly ila mambo ya kwenda kupambania watu waende white house siwezi fanya"

Sasa unipitie kwenda Magogoni kunywa chai?

Kutohangaika na vijana wa hovyo kama nyie msiokuwa na mchango wowote kwa taifa hili, ni moja ya masomo muhimu kutoka kwa mzee huyu.

Kwa mawazo kama yako hii nchi hii isingepata uhuru wakati wa Nyerere.
 
Hapa lilikuwa bandiko lako:

"To me sitakaa niwasupport hao watu nitaandamana siku maslahi yangu yakiguswa directly ila mambo ya kwenda kupambania watu waende white house siwezi fanya"

Sasa unipitie kwenda Magogoni kunywa chai?

Kutohangaika na vijana wa hovyo kama nyie msiokuwa na mchango wowote kwa taifa hili, ni moja ya masomo muhimu kutoka kwa mzee huyu.

Kwa mawazo kama yako hii nchi hii isingepata uhuru wakati wa Nyerere.
Sawa Kwame nkrumah
 
Mkuu usimlaumu Mbowe,tujilaumu wenyewe hata Mimi ninasapoti kabisa Mbowe bora ale asali-huwezi kuwaangaikia watu wasiojielewa.
Jamaa ameanzisha mavugu vugu mengi akakosa support ya watu inataka yeye afanyaje?
Hapana mimi simlaumu Mbowe mkuu kwa sababu mimi naamini Mbowe hajawahi kunipigania mimi mwananchi wa chini hata siku moja, bali huwa anapigania tumbo lake na masilahi yake yeye na chama chake.

Ningemuona Mbowe, Zito na Lipumba wa maana kama wangeingia barabarani kupinga mishahara mikubwa wanayopokea wabunge, ruzuku nono wanayopeana wabunge nk.

Lakini tatizo la wanasiasa wetu huwa wanahimiza maandamano pale tu masilahi yao wenyewe yanapoguswa mfano kudai uchaguzi haukuwa huru, sijui katiba mpya ili iwasaidie wao katika mapambano ya matumbo yao nk.

Ndio maana watanzania toka tulipotambua hilo tukaamua tujiweke pembeni na maandamano ambayo yanaonekana wazi kuwa yanatumiwa kama daraja kuwajenga wanasiasa fulani wa upinzani.

Hali ikiwa mbaya (japo kwa tz hatujafikia huko) wananchi wenyewe wataingia au tutaingia mitaani bila kushauriwa au kuhimizwa na mtu yoyote kufanya hivyo. Hatuwezi kusubiri eti kiongozi wa chama akamatwe au ashindwe katika uchaguzi na kuandaa maandamano ya UKUTA huku akitarajia kujijenga kisiasa kupitia maandamano hayo afu sisi tumkubalie.

No hapana aisee.
 
Uthubutu, hiki kitu naona ndilo jambo la msingi zaidi, na linajengeka kulingana na tabia za wahusika hasa kutokana na matukio yaliyopita.

Hivyo, kama bado hapa kwetu hatujawahi kufanya maandamano, itatuchukua muda kuja kuyafanya, na pale itakapotokea tumeshafanya, basi hatutakuwa tunajiuliza tena nini tunajifunza kutokana na yanayotokea kwa majirani zetu, kwani tutakuwa tumeshapata experience.
Wameanza na figo nadhani soon watakubali kuandamana
 
ANGLE HII IANGALIWE PIA.

Raila ODINGA na UHURU ni watoto wa viongozi wapigania uhuru,

Familia ya ODINGA na Kenyatta inamiliki mashamba na ardhi Karibia ROBO ya nchi nzima ya Kenya.

COST OF LIVING NI PAMOJA NA;

Bei ya CHAKULA, land rent, school fees, transport. nk nk.

Kama Kweli ODINGA na Kenyatta wamedhamiria kusaidia wananchi,

Kwann wasiuze au kuligawa nusu ya ardhi waliyopora Kwa wananchi wa KIBERA na kwingine Wanaishi ktk SLUMS?

Jambo hili lingepunguza Ugumu wa maisha ktk Nchi Kwa kiwango kikubwa.

Naunga mkono maandamano, bt napinga viongozi aina ya ODINGA na UHURU kutowajibika kuuza au kuwagawia maskini WASIONACHO utajiri wao Ili kusaidia Nchi kabla ya hatua zingine kuchukuliwa.
 
Illusions to you, may not be so to others.
Ili ufanikiwe inatakiwa upate Agenda ya kuwaunganisha watu watakao andamana. Halafu upunguze njaa.

Raila odinga wanoandamana ni wajaluo wenzake
 
ANGLE HII IANGALIWE PIA.

Raila ODINGA ni mtoto wa kiongozi mpigania uhuru,

Familia ya ODINGA inamiliki mashamba na ardhi Karibia ROBO ya nchi nzima ya Kenya.

COST OF LIVING NI PAMOJA NA;

Bei ya CHAKULA, land rent, school fees, transport. nk nk.

Kama Kweli ODINGA amedhamiria kusaidia wananchi,

Kwann asiuze au kuligawa nusu ya ardhi waliyopora Kwa wananchi wa KIBERA na kwingine Wanaishi ktk SLUMS?

Jambo hili lingepinguza Ugumu wa maisha ktk Nchi Kwa kiwango kikubwa.

Naunga mkono maandamano, bt napinga viongozi aina ya ODINGA na Uhuru kutowajibika kuuza au kuwagawia maskini WASIONACHO utajiri wao Ili kusaidia Nchi kabla ya hatua zingine kuchukuliwa.

Umechanganya mambo ukaishia kupata viazi mbatata. Hapa chini bila kuweka source yako, inabakia kuwa ni chai kali, ya tangawizi:

"Familia ya ODINGA inamiliki mashamba na ardhi Karibia ROBO ya nchi nzima ya Kenya."

Kwa msingi huo bandiko lako linabakia kuwa na maana hadi kwenye unaunga mkono maandamano tu.

"Natoa amri" -- Jaji Tinganga 🤣🤣.
 
Back
Top Bottom