Makamanda tunayo ya kujifunza kwa Raila Odinga

Usikwepeshe HOJA, sababu ya maandamano ni Ugumu wa maisha.

ODINGA na UHURU Wangegawa ardhi wanayomiliki Kwa hao waandamanaji wangesave pesa ya kulipa Kodi hivyo kutatua changamoto ya Ugumu wa maisha.

Viongozi waonyeshe uongozi Kwa mfano.

Hatuna Cha kujifunza Kwa ODINGA na UHURU mabepari.

Familia chache zimeshikilia Uchumi, zinatumia ukwasi wao kuhatarisha uhai wa maskini kama chambo kufikia Agenda zao kisiasa na kiuchumi.
 
Ili ufanikiwe inatakiwa upate Agenda ya kuwaunganisha watu watakao andamana. Halafu upunguze njaa.

Raila odinga wanoandamana ni wajaluo wenzake

Makosa makubwa ni kutumia viambishi "u".

"Tu" -- "ingependeza zaidi" -- Dr. Shika.

Vinginevyo labda kama unataka kujinasibu kuwa ni kijana wa hovyo tu.
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Mkuu Kenya ni taifa kubwa mno. Hii nyomi si ya kitoto:



Na hili valangati si la wapumbavu kiasi hicho:



Kwamba mwenye kumtambua Raila kuwa hafai ni wewe mtanzania uliye Nanjilinji Kilwa huko na si wakenya hawa?



Kwamba basi wenye maono, ni sisi watanzania? Ambao hata kusimika katiba nyingine zaidi ya ile ya 1977 imetushinda?

"Mbona tutakuwa tumerogwa na aliyeturoga tayari ni marehemu?"

Antidote tukaipate wapi Ya Rabi sisi?
 
Umesikia Ruto, Gachagua au mkenya yeyote akisema pana ukabila hapo? Kalonzo, Karua, Wajakoya au Uhuru ni wajaluo? Ujaluo unaujua wewe Tandahimba huko?

Kulikoni kuonyesha umburula wako hivi m

Umesikia Ruto, Gachagua au mkenya yeyote akisema pana ukabila hapo? Kalonzo, Karua, Wajakoya au Uhuru ni wajaluo? Ujaluo unaujua wewe Tandahimba huko?

Kulikoni kuonyesha umburula wako hivi mjomba?
Sasa povu la nini wewe Dada. Mimi nimetoa maoni yangu jinsi ninavyofikiria na ndio maana ya Uhuru wa kuongea wewe mchumba. Nimesema ukisikiliza kutoka hizo video clips utasikia maneno ya wajaluo. Mimi nimeishi na nimetoka Nairobi nina wiki moja tu bwege wewe
 
UHURU Kenyatta na RAILA ODINGA wakiuza nusu ya Ardhi wanayomiliki au kuigawa Kwa maskini wanaoishi ktk SLUMS, ntakuwa wa kwanza kuungana nao Kwa maandamano.
 
Kenya Wana mengi ya kujifunza Kutoka kwetu kuliko sisi kujifunza Kutoka kwao.

Kuwa NYUMBU ni uamuzi wa mtu binafsi.

Mimi natumia akili zangu. Tutaandamana Kwa Sababu maalum kama kudai KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA,

Bt Si kwa sababu Kenya wameandamana.
 
Mambo ya kumsifia Magufuli kwa ubabe na ukatili yaache maana ameshakufa..utasababisha marehemu atukanwe
 
Miye siyo dada yako dalili nyingine za kuendelea kuweweseka.

Uuone wewe ukabila usiosemwa na Ruto, Gachagua au genge lao la Kenya Kwanza na bado hujishangai.

Mwenye povu la OmO mbona ni wewe?

Ikushinde hoja hadi uanze kuita watu majina?

Ninakazia hawa jamaa si wajinga kihivyo:

Your browser is not able to display this video.
 
UHURU Kenyatta na RAILA ODINGA wakiuza nusu ya Ardhi wanayomiliki au kuigawa Kwa maskini wanaoishi ktk SLUMS, ntakuwa wa kwanza kuungana nao Kwa maandamano.

Bila source ulichoandika hapo ni chai yenye tangawizi Kali!

Cha kusikitisha ni kujidhania wewe kuwa mwerevu kuliko waliochukua risk hii:



Na bado hujishangai.

Kwa mwendo huu bado tungali na safari ndefu sana.

Kumbuka kukiri upungufu ni mwanzo wa kujikomboa.
 

Kwa hiyo kina Raila wajifunze kwa nani mkuu?

Mapesa, Zitto, Lipumba, Pole pole, au Kibajaji?

By the way:

Wapi umeambiwa uandamane? Achilia mbali kuwa Kwa sababu wakenya wameandamana?

Kwani wewe unadhani hawa hawatumii akili zao? Au kuwa unadhani wameandamana Kwa sababu za kijinga? 🤣🤣
 
Maandamano ni njia nzuri kufikisha ujumbe.

Bt kutatua changamoto ya Ugumu wa maisha Kwa KENYA wapambane na UBEPARI,

Ardhi ya makazi Kwa maskini inatakiwa Ipatikane, waufumue mfumo wao mbaya wa viongozi kupora ardhi kubwa na kujimilikisha.

Wakifanikiwa kumtoa RUTO akaingia ODINGA naye watamtoa tena.

Sababu kuu ni hiyo, Uchumi unatakiwa umilikiwe na wengi Si viongozi Wachache ktk kundi dogo.

Tanzania tupo vizuri ktk Hilo, tuwadhibiti viongozi walioanza UBEPARI wa kununua na kujimilikisha ardhini kubwa kubwa.
 

Mkuu unadhani wewe unaweza kuwa na mawazo mazuri ya suluhu za wakenya kuliko wakenya wenyewe?

Kwani suluhu za kwenu ngapi mmeshazipatia fumbuzi? 🤣🤣
 
adonga ametishwa na nan kuwa atauwawa, kapigwa risas ngapi au mnabwabwaja kama mmewekewa dudu mahala sukuma gang jiandaeni kufutwa mtake msitake.
Lissu alijiandalia watu wampige risasi hivi siniper tena muuaji alijifunza kutumia bunduki anapiga risasi 16 gari iliyosimama anapasua tu vioo na miguu?
 
Mkuu unadhani wewe unaweza kuwa na mawazo mazuri ya suluhu za wakenya kuliko wakenya wenyewe?

Kwani suluhu za kwenu ngapi mmeshazipatia fumbuzi? 🤣🤣
Kenya ndiko wanakoelekea,

Wataandamana na kwenda kupora na kujimilikisha mashamba ya matajiri Ili nao wapate Ardhi,

Maskini akipata ardhi, cost of living inatatulika pakubwa,

Nasisitiza KENYA Wana mengi ya kujifunza Kutoka kwetu kuliko sisi kujifunza machache Kutoka kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…