Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Hata wanaokutawala ni wale wale. Don't expect much from them.Sahihi na ndo nipo ivo kwangu wanasiasa wote kwangu ni wale wale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wanaokutawala ni wale wale. Don't expect much from them.Sahihi na ndo nipo ivo kwangu wanasiasa wote kwangu ni wale wale
Usikwepeshe HOJA, sababu ya maandamano ni Ugumu wa maisha.Umechanganya mambo ukaishia kupata viazi mbatata. Hapa chini bila kuweka source yako, ni chai ya tangawizi:
"Familia ya ODINGA inamiliki mashamba na ardhi Karibia ROBO ya nchi nzima ya Kenya."
Kwa msingi huo bandiko lako linabakia kuwa na maana hadi kwenye unaunga mkono maandamano tu.
"Natoa amri" -- Jaji Tinganga 🤣🤣.
Ili ufanikiwe inatakiwa upate Agenda ya kuwaunganisha watu watakao andamana. Halafu upunguze njaa.
Raila odinga wanoandamana ni wajaluo wenzake
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nakumbuka makamanda waliambiwa kwenye maandamano wakae mbele ili wamwagwe mkojo vizuri...tangia hapo wakapoteana mazima [emoji4][emoji4]
Viongozi wenu walizoea kutanguliza masikini kama chambo huku wao wanatafuna ruzuku wakakutanana na Chuma. No asali ni pumzi ya moto tu [emoji28][emoji28][emoji91][emoji91][emoji91]
Limbowe tapeli sana [emoji1][emoji1][emoji1]Inanikumbusha maandamano ya Ukuta, Polisi walipofanya tu mazoezi ya farasi na mbwa Mbowe akatimkia Moshi na kujifungia bandani.
Yaanii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Odinga hajakimbilia ubelgiji dubai wala canada kama kina fulani...amekaza [emoji28][emoji28]
Majinga sana haya machademaOdinga kapigwa mabomu lakini kaendeleza mtiti. Lissu alikimbilia ubalozi wa mabeberu kuomba escort akimbie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu mimi najitegemea mwenyewe. Sina utaratibu wa kumtegemea mtu katika maisha yangu.[/I]
Usikwepeshe HOJA, sababu ya maandamano ni Ugumu wa maisha.
Wangegawa ardhi wanayomiliki Kwa hao waandamanaji wangesave pesa ya kulipa Kodi hivyo kutatua changamoto ya Ugumu wa maisha.
Viongozi waonyeshe uongozi Kwa mfano.
Hatuna Cha kujifunza Kwa ODINGA na UHURU mabepari.
Umesikia Ruto, Gachagua au mkenya yeyote akisema pana ukabila hapo? Kalonzo, Karua, Wajakoya au Uhuru ni wajaluo? Ujaluo unaujua wewe Tandahimba huko?
Kulikoni kuonyesha umburula wako hivi m
Sasa povu la nini wewe Dada. Mimi nimetoa maoni yangu jinsi ninavyofikiria na ndio maana ya Uhuru wa kuongea wewe mchumba. Nimesema ukisikiliza kutoka hizo video clips utasikia maneno ya wajaluo. Mimi nimeishi na nimetoka Nairobi nina wiki moja tu bwege weweUmesikia Ruto, Gachagua au mkenya yeyote akisema pana ukabila hapo? Kalonzo, Karua, Wajakoya au Uhuru ni wajaluo? Ujaluo unaujua wewe Tandahimba huko?
Kulikoni kuonyesha umburula wako hivi mjomba?
UHURU Kenyatta na RAILA ODINGA wakiuza nusu ya Ardhi wanayomiliki au kuigawa Kwa maskini wanaoishi ktk SLUMS, ntakuwa wa kwanza kuungana nao Kwa maandamano.Mkuu Kenya ni taifa kubwa mno. Hii nyomi si ya kitoto:
View attachment 2560203
Na hili valangati si la wapumbavu kiasi hicho:
View attachment 2560204
Kwamba mwenye kumtambua Raila kuwa hafai ni wewe Nanjilinji Kilwa huko na si wakenya hawa?
View attachment 2560205
Wenye maono, sisi watanzania hao? Ambao hata kusimika katiba nyingine zaidi ya ile ya 1977 imetushinda? Mbona tutakuwa tumerogwa na aliyeturoga tayari ni marehemu?
Antidote tukaipate wapi Ya Rabi sisi?
Mambo ya kumsifia Magufuli kwa ubabe na ukatili yaache maana ameshakufa..utasababisha marehemu atukanweNakumbuka makamanda waliambiwa kwenye maandamano wakae mbele ili wamwagwe mkojo vizuri...tangia hapo wakapoteana mazima [emoji4][emoji4]
Viongozi wenu walizoea kutanguliza masikini kama chambo huku wao wanatafuna ruzuku wakakutanana na Chuma. No asali ni pumzi ya moto tu [emoji28][emoji28][emoji91][emoji91][emoji91]
Miye siyo dada yako dalili nyingine za kuendelea kuweweseka.Sasa povu la nini wewe Dada. Mimi nimetoa maoni yangu jinsi ninavyofikiria na ndio maana ya Uhuru wa kuongea wewe mchumba. Nimesema ukisikiliza kutoka hizo video clips utasikia maneno ya wajaluo. Mimi nimeishi na nimetoka Nairobi nina wiki moja tu bwege wewe
UHURU Kenyatta na RAILA ODINGA wakiuza nusu ya Ardhi wanayomiliki au kuigawa Kwa maskini wanaoishi ktk SLUMS, ntakuwa wa kwanza kuungana nao Kwa maandamano.
Kenya Wana mengi ya kujifunza Kutoka kwetu kuliko sisi kujifunza Kutoka kwao.
Kuwa NYUMBU ni uamuzi wa mtu binafsi.
Mimi natumia akili zangu. Tutaandamana Kwa Sababu maalum kama kudai KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA,
Bt Si kwa sababu Kenya wameandamana.
Maandamano ni njia nzuri kufikisha ujumbe.Bila source ulichoandika hapo ni chai yenye tangawizi Kali!
Cha kusikitisha ni kujidhania wewe kuwa mwerevu kuliko waliochukua risk hii:
View attachment 2560216
Na bado hujishangai.
Kwa mwendo huu bado tungali na safari ndefu sana.
Kumbuka kukiri upungufu ni mwanzo wa kujikomboa.
Maandamano ni njia nzuri kufikisha ujumbe.
Bt kutatua changamoto ya Ugumu wa maisha Kwa KENYA wapambane na UBEPARI,
Ardhi ya malazi Kwa maskini inatakiwa Ipatikane, waufumue mfumo wao mbaya wa viongozi kupora ardhi kubwa na kujimilikisha.
Wakifanikiwa kumtoa RUTO akaingia ODINGA naye watamtoa tena.
Sababu kuu ni hiyo, Uchumi unatakiwa umilikiwe na wengi Si viongozi Wachache ktk kundi dogo.
Tanzania tupo vizuri ktk Hilo, tuwadhibiti viongozi walioanza UBEPARI wa kununua na kujimilikisha ardhini kubwa kubwa.
Lissu alijiandalia watu wampige risasi hivi siniper tena muuaji alijifunza kutumia bunduki anapiga risasi 16 gari iliyosimama anapasua tu vioo na miguu?adonga ametishwa na nan kuwa atauwawa, kapigwa risas ngapi au mnabwabwaja kama mmewekewa dudu mahala sukuma gang jiandaeni kufutwa mtake msitake.
Kenya ndiko wanakoelekea,Mkuu unadhani wewe unaweza kuwa na mawazo mazuri ya suluhu za wakenya kuliko wakenya wenyewe?
Kwani suluhu za kwenu ngapi mmeshazipatia fumbuzi? 🤣🤣