Yani Chuma aache kujenga mareli na madaraja aende kupambana na wakoswa akili wwnaokimbia juani eti kutafuta ukombozi ?! Chuma sio boya yeye alikuwa anatoa kauli ukileta ukamanda unapumua pumzi ya moto
Muda huo alikuwa kajificha kwenye balozi za beberu!Yeye alikuwa wapi wakati anatangaza hilo?[emoji3]
Naona Raila katimiza kile alichokisema
Mkuu nilichojifunza na yanayojiri Kenya....ni kuwa Serikali hazichezewi.Nani amekuambia machafuko yakitokea Mbowe na Lisu watahusishwa? Wao waendelee na maridhiano fake, subiri surprise la uhakika. Mbona majizi ya kura mtapoteana?
Basi sawaMuda huo alikuwa kajificha kwenye balozi za beberu!
Ila alihojiwa akiwa tayari kafika kwa amsterdam
[emoji23][emoji23][emoji23]Bila shaka hujapewa buyu la asali na kina mbowe!Bila machafuko hatutapata mabadiliko tutakayo. Huu utapeli wa maridhiano ni kupotezeana muda.
Oneni hili jinga. Wewe umewahi lini kuandamana? WahedMakamanda wetu sisi ni wachumia tumbo tu, halafu wana njaakalihatari. Wakilambishwa kidogo tu asali, wanasahau maumivu yote waliyopitia.
Qumerniner zakoChadema walitaka kuletea huu ujinga kipindi fulani
Qumerniner zakoNakumbuka makamanda waliambiwa kwenye maandamano wakae mbele ili wamwagwe mkojo vizuri...tangia hapo wakapoteana mazima [emoji4][emoji4]
Viongozi wenu walizoea kutanguliza masikini kama chambo huku wao wanatafuna ruzuku wakakutanana na Chuma. No asali ni pumzi ya moto tu [emoji28][emoji28][emoji91][emoji91][emoji91]
Umesema kweli mke wanguOdinga hajakimbilia ubelgiji dubai wala canada kama kina fulani...amekaza [emoji28][emoji28]
Naona chizi umeamka unaanza kutukana hovyo kama kawaida yako, haujakosea kuweka avatar ya mbwa maana ndio akili yako na mwenendo unashahabiana nae.Qumerniner zako
Matokeo yalikuwa wazi mno kwa kila mtu kuona kila kitu mwanzo hadi mwisho. Ndiyo maana mpaka sasa kuna utulivu mkuu nchi ni Kenya kulinganisha na chaguzi zilizopita zilikuwa zikiishia kwa kunyukana kwa sbb ya kutokuwepo na uwazi ktk mchakato mzima...
Kulikuwa na complete transparency ktk hatua zote za uchaguzi wa Kenya kuanzia uteuzi wa wagombea, kampeni, usimamizi, upigaji kura na utoaji matokeo hatua kwa hatua kuanzia vituoni hadi kwenye kutangaza rasmi..
Vyombo vya ulinzi na usalama vilikuwa completely neutral. Havikuingilia mwenendo wa process yoyote ya uchaguzi...
Hizo hapo Juu ni tathmini za Tundu Lissu!Vyombo vya ulinzi na usalama vilikuwa completely neutral. Havikuingilia mwenendo wa process yoyote ya uchaguzi...
Mbona unacheka cheka kama shoga mke wangu?Odinga kapigwa mabomu lakini kaendeleza mtiti. Lissu alikimbilia ubalozi wa mabeberu kuomba escort akimbie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umesema kweli mke wanguWatanzania tunajielewa. Tunajua nani ana tutetea na nani ni mpigaji. Mtu alipiwe madeni yake arudi kutukana bodaboda alafu ajifanye mkombozi tumuelewe labda sio wabongo
Usimsugue mtu mke wanguMbona unaandika ukiwa ndani na mumeo. Toa pua yako nje nikusugue kijambio.
Yule alikua kibaraka alitaka awatoe wenzie kafaraOdinga kapigwa mabomu lakini kaendeleza mtiti. Lissu alikimbilia ubalozi wa mabeberu kuomba escort akimbie ππππ