Makamanda tunayo ya kujifunza kwa Raila Odinga

Makamanda tunayo ya kujifunza kwa Raila Odinga

Yani Chuma aache kujenga mareli na madaraja aende kupambana na wakoswa akili wwnaokimbia juani eti kutafuta ukombozi ?! Chuma sio boya yeye alikuwa anatoa kauli ukileta ukamanda unapumua pumzi ya moto

Madaraja na reli ziko ulaya boss, reli bongo?
 
Nani amekuambia machafuko yakitokea Mbowe na Lisu watahusishwa? Wao waendelee na maridhiano fake, subiri surprise la uhakika. Mbona majizi ya kura mtapoteana?
Mkuu nilichojifunza na yanayojiri Kenya....ni kuwa Serikali hazichezewi.
"Makamanda" na hapa naweza kusema ni watia vifua mbele wa CHADEMA, wana mengi ya kujifunza.....Braza J amegusia eneo moja linalo kinzana na yale mnayohubiri hapa kila siku.....mnaita maovu. Kifo cha Akwilina. R.I.P.

Hivi karibuni jumbe zenu zimejikita katika kuwafarakanyisha na kuwachonganisha wapiga kura(mnaotegemea)na Serikali.
Mmewaita masikini na wana laana, ili kuwatia hasira....hizo sio sera bali ni uharakati. Leo mnachutama mnawaita makamanda? mnaomba waingie barabarani kama inavyotokea Kenya? Kwa sababu zipi za msingi?
Manake kila kukicha mnadai SSH kageuza kila kitu, kuanzia haki, uchumi, siasa safi n.k .n.k na hakuna hata Kiongozi mmoja wa Chadema anazungumzia "Njaa" za mtaani, why?

Sasa, ni sababu zipi za msingi zitakazo wapeleka kuingia barabarani? kama sio kutaka kuchezea dhima ya Dola?
 
Yale maandamano ya Kenya yanatisha. Inawezekana kulikuwa na dosari kubwa sana kwenye uchaguzi wao wa mwaka jana. Wapinzani wanataka servers zifunguliwe ili ukweli ujulikane lakini Serikali imetia ngumu.
 
Niliacha kutumia nguvu 2015 palee biafra
Wenye nchi walikuja kukwala matokeo vimbele mbele sie tukajifanya wafata mkumbo et! Wazee wasiondoke na matokeo , ilikuwa mshike mshike hatari palee biafra

Zilipigwa njugu live na sio kupigwa juu unalengwa yaani live live bila chenga, wapo waliokamatwa palee wakaenda nyea debe, kuna jamaa alikanyangwa mguu na baada ya matibabu kushindikana jamaa alienda kukatwa mguu- kama kuna mtu ana kumbuka ataikumbuka hii

Mimi kuna asikari mmoja alinikimbiza yaani aliniungia mpaka kwenye kona ya chuo kikuu huria kutoka shule ya biafra , aliniacha kwenye ilee kona ya chuo kikuu huria yaani sikurudi tena wallah nilipofika magheton nikachota maji bombani nikaoga nikaenda kulala moja Kwa moja yaani
Matokeo ya misuko suko ya wengine nilisikia kesho yake

Na nna huhakika kuna watu wanalamba asali kwenye hizi inshu sisi vimbele mbele tutaenda jiuguza baada ya kujitia kimbele mbele- sitaki kabsa mambo ya kutumia nguvu na vyombo vya dola other ways kuna kitu napata.’

Jamaa aliyokatwa mguu yupo tu aangaliwi na yeyote yaani imemgharimu kizembe tu, maisha hayaa daaah nachukia siasa kinoma noma sitaki kusikia chama chochote kilee
 
Nakumbuka makamanda waliambiwa kwenye maandamano wakae mbele ili wamwagwe mkojo vizuri...tangia hapo wakapoteana mazima [emoji4][emoji4]
Viongozi wenu walizoea kutanguliza masikini kama chambo huku wao wanatafuna ruzuku wakakutanana na Chuma. No asali ni pumzi ya moto tu [emoji28][emoji28][emoji91][emoji91][emoji91]
Qumerniner zako
 
Matokeo yalikuwa wazi mno kwa kila mtu kuona kila kitu mwanzo hadi mwisho. Ndiyo maana mpaka sasa kuna utulivu mkuu nchi ni Kenya kulinganisha na chaguzi zilizopita zilikuwa zikiishia kwa kunyukana kwa sbb ya kutokuwepo na uwazi ktk mchakato mzima...

Kulikuwa na complete transparency ktk hatua zote za uchaguzi wa Kenya kuanzia uteuzi wa wagombea, kampeni, usimamizi, upigaji kura na utoaji matokeo hatua kwa hatua kuanzia vituoni hadi kwenye kutangaza rasmi..

Vyombo vya ulinzi na usalama vilikuwa completely neutral. Havikuingilia mwenendo wa process yoyote ya uchaguzi...

Vyombo vya ulinzi na usalama vilikuwa completely neutral. Havikuingilia mwenendo wa process yoyote ya uchaguzi...
Hizo hapo Juu ni tathmini za Tundu Lissu!

Tuambizane kulikoni?
 
Kinachotokea Kenya iwe fundisho kwa nchi. Za Afrika ipo siku wananchi watachoka na vitendo vitafuata
 
Back
Top Bottom