Makamanda tunayo ya kujifunza kwa Raila Odinga

Makamanda tunayo ya kujifunza kwa Raila Odinga

Bila machafuko hatutapata mabadiliko tutakayo. Huu utapeli wa maridhiano ni kupotezeana muda.
Nina Uhakika,na Sidhani Tundu Lissu au Aikael Mbowe wanaweza kukubaliana na wewe.

Isitoshe, kati ya Nchi kubwa ambazo zimefanya kumwagia mabakuli yetu Asali bwerere [na ruzuku zimo humo]hazita acha hayo yatokee! Na huo ndio Ukweli

Hawakuweza nyakati ya Hayati-kwa sababu ya umakini mkubwa wa vyombo vya usalama.

Na Hawataweza nyakati hizi-kwa sababu kuna hitajika usalama wa hali ya juuu kurudisha Investments.

Kawadanganye 'wana kimbari wenzako huko.
Maridhiano ni ya Mabosi wako.
 
Chuma alikuwa anaongea mara moja tu. Waganga njaa wa Chadema wanatii bila shurti ni kauli moja tu 😂😂😂
Ukombozi sio lele mama unataka asali alafu unaigiza mwana harakati.

Yeye chuma aliwahi kujitokeza mbele kupambana na waandamanaji ili tuone huo uchuma wake?
 
Nina Uhakika,na Sidhani Tundu Lissu au Aikael Mbowe wanaweza kukubaliana na wewe.

Isitoshe, kati ya Nchi kubwa ambazo zimefanya kumwagia mabakuli yetu Asali bwerere [na ruzuku zimo humo]hazita acha hayo yatokee! Na huo ndio Ukweli

Hawakuweza nyakati ya Hayati-kwa sababu ya umakini mkubwa wa vyombo vya usalama.

Na Hawataweza nyakati hizi-kwa sababu kuna hitajika usalama wa hali ya juuu kurudisha Investments.

Kawadanganye 'wana kimbari wenzako huko.
Maridhiano ni ya Mabosi wako.

Nani amekuambia machafuko yakitokea Mbowe na Lisu watahusishwa? Wao waendelee na maridhiano fake, subiri surprise la uhakika. Mbona majizi ya kura mtapoteana?
 
Watanzania ni wababe wa Keyboard .... Majirani zetu Kenya wametupita kwa kila kitu mpaka Ujasiri.
 
Nmeona umuhimu wa Maridhiano ya kisiasa under SSH, bila Hivyo kile kikundi cha VICOBA kingekinukisha😅
 
Baada ya uchaguzi wa 2020,

Siku hiyo ilikuwa jumamosi Lisu akawaambiwa machadema kwamba andamaneni nchi nzima kuanzia jumatatu yake kupinga matokeo!

Jumatatu ilipofika watu wakaendelea na mishe zao hakuna hata mbuzi aliejitokeza kuandamana,

Alipohojiwa na DW kwamba kwanini watu hawajaitikia wito wa maandamano na migomo ulioitisha? Akajibu kinyonge sana eti "nmegundua watz hawako tayari kwa manadariko"

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Raila hana hoja yoyote ya maana,ni upuuzi tu.......... Mahakama iliyotoa maamuzi ya urais ndiyo mamlaka ya mwisho kabisa Kwa Kenya.......anavuruga vuruga tu....Ruto hata mwaka hajaimaliza hizo bei za bidhaa sidhani kama zimebadilika sana tangu Uhuru atoke madarakani......hii mitoto ya wastaafu Kenya ilizoea kila wanapoenda ving'ora na kuwa treated VVIP Kwa hela za Umma,Saizi wanaona mabadiliko ndiyo wanajifanya wanawapenda sana wakenya........aandaamane Uhuru nafamilia yake wawagawie ardhi wakenya wanayohodhi kama anapigania maslahi kweli ya watu au tumbo lake
 
Baada ya uchaguzi wa 2020,

Siku hiyo ilikuwa jumamosi Lisu akawaambiwa machadema kwamba andamaneni nchi nzima kuanzia jumatatu yake kupinga matokeo!

Jumatatu ilipofika watu wakaendelea na mishe zao hakuna hata mbuzi aliejitokeza kuandamana,

Alipohojiwa na DW kwamba kwanini watu hawajaitikia wito wa maandamano na migomo ulioitisha? Akajibu kinyonge sana eti "nmegundua watz hawako tayari kwa manadariko"

[emoji23][emoji23][emoji23]
Yeye alikuwa wapi wakati anatangaza hilo?😀
 
Uwezi kupambana ukiwa na njaa. Chadema njaa ndio adui yenu mkubwa kuliko CCM
Hawa wanapambana Kwa sababu ya njaa:

Frq3YwTWwAERHew.jpeg

Wenye shibe kina Ruto, Gachagua, Mudavadi na wenzao hawapo hapo.
 
Back
Top Bottom