- Thread starter
- #341
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina muda wa kuchezea. Maisha yangu hayaitaji mwanasiasa kuwa mazuri au mabaya. Najielewa sana.Kwa hiyo wewe umekaza au umelegeza? Kwamba wewe hii inakuhusu au ni Kwa wengine tu?
Zingatia maana ya vijana wa hovyo mkuu 🤣🤣.
Magufuli anatukanwa. Nyerere anatukanwa. Yesu anatukanwa. Mungu anatukanwa. Mimi siwezi mzuia mtu kutukana. Ila magu ni bad news waulize hao matapeli wa kisiasa walivyokuwa wanajamba cheche.Mambo ya kumsifia Magufuli kwa ubabe na ukatili yaache maana ameshakufa..utasababisha marehemu atukanwe
Sina muda wa kuchezea. Maisha yangu hayaitaji mwanasiasa kuwa mazuri au mabaya. Najielewa sana.
Zamu ya nini?Hii zamu ya Ruto
Raila hatatoboa braza, anahangaika tu ili aendelee kuwa relevant,,Zamu ya nini?
Kweli kbsRaila hatatoboa braza, anahangaika tu ili aendelee kuwa relevant,,
Binafsi nilitaka sana Raila ashinde, kama kura hazitoshi awe mpole
the difference is clear and very visible, anyone can see it through your post. that's why "huna akili" reflect you so well.nobody notices the difference [emoji23]!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Raila hatatoboa braza, anahangaika tu ili aendelee kuwa relevant,,
Binafsi nilitaka sana Raila ashinde, kama kura hazitoshi awe mpole
Zamu ya nini?
Mimi sijui labda ni mbashiri, nakumbuka 2011 humuhumu ilupianza ishu ya arab spring syria, tulibishana miaka 10,, hawa wanasema Assad lazima ang'oke, Bush anasema lazina assad ang'oke, Tonny blair, etc,Yabidi kuwa angalau malaika kusema kwa utimilifu hivi. Wenye nchi wananchi.
Itunze post yako hii twaweza kumbushana panapo majaliwa.
Ukweli mchunguMakamanda wetu sisi ni wachumia tumbo tu, halafu wana njaakalihatari. Wakilambishwa kidogo tu asali, wanasahau maumivu yote waliyopitia.
😛😂😂😃😂the difference is clear and very visible, anyone can see it through your post. that's why "huna akili" reflect you so well.
Mkumbuke Police wa Kenya kikiwemo kikosi maalum kinachofanya multi tasks za kiusalama nchini Kenya cha GSU ni waungwana na wanajali utu na wana hofu ya Mungu kwa hilo .KwaniTanzania imejaa wapumbavu wengi ambao huambiwa na wapuuz kuwa bodaboda ni kaz nzuri na wao kuamin huku watoto wa hao wanaowambia hawajawahi hata kuendesha pikipiki na lema kasema watoto wao waendeshe bodaboda ndio ataamin kuwa ni kaz nzuri badala yake wajinga wanasema lema kawatukana kisa wamejazwa ujinga kichwani
NB, Watoto wa kitila Mkumbo na Madelu wanafanya kaz BOT na TPDC.
Mwenye nchi mwana nchi hukuwaona vibaka kwenye kujinusuru?😛😂😂😃😂
😌😌
Una posti pale Ufipa. Nyie chezeeni Dola Na Serikali muone....kama ndio Akili hizo.
Mimi sijui labda ni mbashiri, nakumbuka 2011 humuhumu ilupianza ishu ya arab spring syria, tulibishana miaka 10,, hawa wanasema Assad lazima ang'oke, Bush anasema lazina assad ang'oke, Tonny blair, etc,
Nilisema Assad haondoki yupo yupo sana, miaka 12 mbele assad hajang'oka,
Tukabishana miaka 7 kuhusu Lowasa, nikasema lowasa sio fisadi na kwamba Richmond scandal ni majungu ya kisiasa, tulibishana humu miaka 7,mwishowe hao hao waliodai lowasa fisadi wakamteua agombee urais.. 😅