ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hao mara nyingi kama sio zote Huwa ni makamanda wa Twitter na keyboard warriors ,huwezi wakuta front ๐๐Najua Chadema kwa sasa harakati zenu zinatumia Maandamo kama njia ya kuishinikiza serikali
Fuatilieni kinachoendelea Kenya kuanzia muda huu mtajifunza mambo mbalimbali
Ahsanteni ๐ผ
CDM siyo maandamano Bali ni mazoezi ya kuweka mwili sawa.Najua Chadema kwa sasa harakati zenu zinatumia Maandamo kama njia ya kuishinikiza serikali
Fuatilieni kinachoendelea Kenya kuanzia muda huu mtajifunza mambo mbalimbali
Ahsanteni ๐ผ
Chawa waliokubuhu warapinga saana. Lakini ukweli ndio huoooHapa Tanzania Vijana wako wapi zaidi ya Bavicha?!
Shujaa Magufuli alikuwa anachukua Mawaziri Vijana Toka Chadema pekee
Tutusa wahed ๐๐
But why in Kenya it is televised; fake Gil Scott-Heron?Revolution will not be televised...
Wameshaishiwa hawana jipya waache wamalizane wenyewe kwa wenyeweNajua Chadema kwa sasa harakati zenu zinatumia Maandamo kama njia ya kuishinikiza serikali
Fuatilieni kinachoendelea Kenya kuanzia muda huu mtajifunza mambo mbalimbali
Ahsanteni ๐ผ
Mkuu ulijifunza somo la Comprehension(Ufahamu) ulipokuwa shule?But why in Kenya it is televised; fake Gil Scott-Heron?
Usitake kunifundisha mambo niliyoyajua miaka hamsini iliyopita๐Mkuu ulijifunza somo la Comprehension(Ufahamu) ulipokuwa shule?
Unaelewa nini kuhusu huo msemo wa "Revolution will not be Televised".
Jibu ulichoulizwa Mkuu.Usitake kunifundisha mambo niliyoyajua miaka hamsini iliyopita๐
Nimeshajibu. Of course I am a man๐...Be a Man.