ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hao mara nyingi kama sio zote Huwa ni makamanda wa Twitter na keyboard warriors ,huwezi wakuta front 😂😂Najua Chadema kwa sasa harakati zenu zinatumia Maandamo kama njia ya kuishinikiza serikali
Fuatilieni kinachoendelea Kenya kuanzia muda huu mtajifunza mambo mbalimbali
Ahsanteni 🐼