Makamanda wa Chadema fuatilieni yanayoendelea Kenya siku ya Leo kuanzia saa 6:00 mchana Maandamo yatakapoanza!

Makamanda wa Chadema fuatilieni yanayoendelea Kenya siku ya Leo kuanzia saa 6:00 mchana Maandamo yatakapoanza!

Najua Chadema kwa sasa harakati zenu zinatumia Maandamo kama njia ya kuishinikiza serikali

Fuatilieni kinachoendelea Kenya kuanzia muda huu mtajifunza mambo mbalimbali

Ahsanteni 🐼
Hao mara nyingi kama sio zote Huwa ni makamanda wa Twitter na keyboard warriors ,huwezi wakuta front 😂😂
 
Back
Top Bottom