Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Hivi Leo mkuu wa kamandi ya kijeshi CENTCOM inayo operate katika maeneo ya mashariki ya Kati Gen .mike kurilla amekutana na viongozi wa kijeshi wa ngazi ya juu wa Israel katika kikao huko Tel Aviv ili kuisaidia Israel kupanga namna ya kulipa kisasi kwa Iran baada ya shambulio baya la Oktober 1 ambalo limeishtua Israel na ulimwengu kwa ujumla.
Inasemekana Israel kwa kushirikiana na marekani wanapanga kushambulia Iran wakati wowote baada ya jaribio la Jana kushindikana kwa ndege 4 za marekani F- 35 zilizoripotiwa kukaribia ghuba ya uajemi na taarifa hizo kuripotiwa na Urusi kwa Iran hatimae ndege hizo kugeuza na kurudi zilipotoka.
Iran kwa upande wake amerejea kauli yake kuwa anasubiri waje halafu baada ya hapo na yeye atalipa kisasi kwa nguvu zaidi.
Tuendelee kuomba amani Kuna uwezekano mashariki ya kati pakageuka uwanja wa vita ya Dunia ya 3.