Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu

Acha kutishia watu karma Kila siku utadhani umezaliwa na hyo karma hvyo unaijua vzr; by the way ccm yako karma haiwahusu? Wanaobomoa upinzani nchi hii ndio hao ccm wako kwhy km Kuna karma itaanza na wao! Elewa hvyo.
 
Karma , karma natabili kabla ya jua kuzama pasikali ateuliwa mjumbe wa nyumba kumi
 
Kuna options mbili tu za CHADEMA
1.Kutimua uanachama hao wabunge 19 na kujianza upya au
2.Kuwaachia uanachama ili chama kiishi kwa makundi mawili tofauti na kutokuaminiana tena..
 
Uandishi wa Paskali..ni kama nae ni muumini wa usoshalist..ukimfuatilia sana ni mtu makini sana kweny kupanga sentensi za fitina!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Kwa mara ya kwanza naunga mkono hoja yako na ndio maana hata lowassa alikata ushindi ile mwaka 2015 Japo tuna amini ameshinda na wapongeza tiss,mtume Joshua wa Nigeria ,mashekh na ma askofu wetu na wadau wote wanaoitakia mema nchi yetu walimshauri vizuri cdm wangeuza nchi
 
Haya ni matokeo ya kusoma degree ukiwa mtu mzima kama mtoa mada. Mshenzi hivi mambo ya chadema unayaongeleaje? Mbona haongelei mangula kupewa sumu na MAGUFULI
 
Pascal Mayalla, kama hukulipwa umejituma kufanya uchochezi. Hata hivyo, hoja yako ni dhaifu kwa sababu chama ni impersonal, hakina hisia ila kina Katiba, miongozo, kanuni, imani, itikadi na utamaduni wa chama (governance software). Wanachama na viongozi wote wa chama huunganishwa na software hizo. Mtu yeyote mwenye ku-breach hizo governance software hulazimika kuwajibika yeye binafsi. Ni hicho ndicho kinachofanyika.
Paskali tumetoka mbali. Usipotoshe. Si unakumbuka enzi hizo tukiwa pamoja pale JKT na baadaye ukija kumtembelea girl friend wako pale UDSM wakati wewe ukiwa TSJ? Sitaki kusema yaliyokukuta, ila usipotoshe suala ya Wanawake 19 wa Chadema kukiuka maadili na miongozo ya Chama chao.
 
Ile njaa tuliyoambiwa siku zile Sasa imehamia kichwani.Kesho utatwambua uko jalalani.Huu Ni ule ule aliousema Rev. Mtikila( Late) yaani Apedomia.Ule ule unyani wa siku zileeee!
 
Huyu jamaa yuko JALALANI.
 
Unaweza kuhisi watu wana akili na wapenda haki kumbe ni mashetani tuna safari ndefu sana
 
Nape Nnauye alizunguka Tanzania nzima na mwenyeketi lakini bado alimtengua baada na akaipata fresh mpaka alivyoomba msamaha. Wamesaliti na usaliti wa kiwango cha juu kabisa.
 
Kwa hiyo unataka kutuambia kwamba ukiwa ni founder lets say wa organisation yoyote ile kumbe unaruhusiwa kwenda kinyume na Policies...bila kuchukuliwa hatua za kinidhamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…