Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu

Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu

Pascal Mayalla, Mambo ya CHADEMA waachie Chadema wenyewe.
Pascal Mayalla, karma is myth. Chama chenu kimeua watu Unguja na Pemba, kimeumiza wengi wasio na hatia, je wamedhurika nini?
Mlimuua kwa kumchinja shingo Mawazo, mlimtwanga Tundu Lissu marisasi,
Karma imemuadhibu Nani?
Anzory na Ben Saanane wamepotezwa jumla, karma imefanya Nini?
Tangu enzi za Mwalimu, Karume na kupotezwa Abdullah Kassim Hanga, hadi leo, karma imewaadhibu Nini? Au karma ipo kuwaadhibu CHADEMA tu pale wanapowatimua wasaliti?
Karma , karma natabili kabla ya jua kuzama pasikali ateuliwa mjumbe wa nyumba kumi
 
Kuna options mbili tu za CHADEMA
1.Kutimua uanachama hao wabunge 19 na kujianza upya au
2.Kuwaachia uanachama ili chama kiishi kwa makundi mawili tofauti na kutokuaminiana tena..
 
Wanabodi,

Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "Karma", na nimekuwa nikikihubiri mara nyingi humu jukwaani. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani, haina Msalie Mtume, wala haujui nani ni nani!, kwenye huku ya karma, kila mtu anahukumiwa kwa matendo yake.

Leo kikao cha CCM ya Chadema, kinakaa as usual as a Kangaroo court, kama kilivyokuwa kinakaa huko nyuma na kutoa hukumu za ajabu, ambazo karma za huku hizo, zinakuja kuigharimu CHADEMA mbele ya safari, tatizo, wakati wa karma payback time unapofika, hakuna anayekumbuka kuwa ni huku ya matendo yake, tatizo la karma, unaweza kufanya kitu kidogo, tuu, kwako ukakiona ni insignificant, lakini when karma takes its toll, mapigo ya karma yanakushukia in three folds hadi huwezi kukumbuka ulifanya nini kustahili, kinachokupata!. Ila pia, anayehukumiwa pasipo haki, karma pia huwa ina m take care, na kumu elevate machoni pa watesi wake!.

Mifano ya Matendo ya Chadema, na Matokeo ya Karma Zake.
  1. Chadema walipo establish a torture chamber pale makao makuu yake na kumshughulikia ipasavyo Mlinzi wa Dr. Slaa, Kagenzi, nilionya kuhusu karma. Kwa vile hii ilikuwa ni internal operation, na mimi sio inside man, naombeni ndugu zangu wa Chadema, jifanyieni tathmini, nani alifanya nini, the roles walizo play, then angalia kilichokuja kuwakupa the players, na sasa Kagenzi yuko wapi na ana hali gani!.
  2. Chadema mlipokuwa kwenye kikao chenu cha CCM Arusha, kukatokea mtu miongoni mwenu milimuita msaliti, kwa kuvujisha info humu jf, jiulizeni ni nani alimdakua mtu huyo, na mlimfanya nini!, then jikumbumbusheni kilichompata huyo kamanda shupavu aliyemshughulikia msaliti!.
  3. Chadema mlipomtimua Juliana Shonza na masalia kwenye kangaroo court yenu, nililizungumzia hili, sasa leo angalieni waliomshughulikia Shonza, nini kiliwakuta, leo wako wapi, na mlinganishe na Juliana Shonza alipo!.
  4. Mlipowatimua kina Kitila kwa hoja ya ule Waraka wa Mabadiliko, ambao nyinyi mliuita ni waraka wa mapinduzi, mimi nikawaambie ule ni waraka wa kui transform Chadema kutoka Chama cha kirakati, kukigeuza Chama Tawala in waiting, hivyo waraka ule haukuwa wa mapinduzi, bali a "winning coalition" kuu revamp uongozi static na stagnant wa Chadema, na kuleta uongozi vibrant na dynamic, angalieni makamanda wa timua timua hiyo nini kiliwakuta, linganisha na mahali alipo Prof. Kitila, tena anakuwa Waziri kwenye key ministry!.
  5. Mlipomtimua Zitto kwa kutumia CC kangaruu, niliwauliza humu, CC ya Chadema, inapata wapi mamlaka ya kumuadhibu NKM wakati mamlaka yake ya nidhamu ni Baraza Kuu, hakuna aliyejibu, angalieni nini kiliwakuta waliomtimua Zitto, ana angalieni Zitto ni nani, tena anakwenda kuteuliwa mbunge wa kuteuliwa kwenye zile nafasi 10 za uteuzi za JPM, linganisha makamanda waliosimamia kutimuliwa kwa Zitto!.
Hiyo ni mifano ya dhambi ya dhana ya usaliti inavyoendelea kuitafuna Chadema ndani kwa, ndani, hapo sijamtaja Dr. Slaa, hadi watu kumuita Dr. Mihogo!, leo angalia waliombeza Dr. Slaa wako wapi, ulinganishe na mahali Dr. Slaa alipo!, haiwezekani watu na makamanda wameipigania Chadema kwa kuigharimikia kwa Machozi, Jasho na Damu, halafu leo uje uwaite wasaliti na kuwatimua kama mbwa!, kamwe Karma haiwezi kuacha salama Chadema!.

Leo Kangaroo court ya Chadema inakutana kumhukumu Halima na wenzake, ndani ya majina yale 19 ya wabunge wa viti maalum wa Chadema, walioapishwa, wabunge 5 ni 'vidumu' vya wajumbe wa CC ya Chadema ambao sio vile 'vidumu' vya 'mpango kando', no!, ni vidumu vya co habitation, mnaishi nyumba moja, mnalala chumba kimoja, kitanda kimoja!, huku mkiishi katika dhana ya ndoa, na kila mtu anawatambua kama mke na mume!, haiwezekani mwenza wako, akaibukia kwenye majina ya viti maalum bila wewe kujua, kilasha akaamkia bungeni dodoma kuapishwa bila wewe, kujua!, namhurumia sana KM. JJ. Nnyika ni mtu muadilifu sana, lakini hajui, the games people plays!.

Miaka mingi nyuma nililizungumzia Chadema kuwa na kirusi, CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind?
Sasa miaka mingi imepita nikajua sasa Chadema ni safi, kumbe bado!, na sio kuna kirusi, Chadema ina virusi!. Kikulacho...ki nguoni mwako!.

Naomba kuwa mtu wa kwanza kukujulisha kuwa JPM, anaweza kila kitu!, Japo Tanzania hatuna serikali ya mseto, kama aliweza kumteua Anna Mngwira na Prof. Kitila, wakiwa ACT, kwenye baraza lake la mawaziri, hawezi kushindwa kuwateua Mdee na Esta Bulaya, manaibu mawaziri katika serikali yake na sisi huku bara tukaunda serikali ya umoja wa kitaifa!.

Wish Halima and her team, all the best, kama wataandibiwa kwa kuukataa ujinga!, Karma itawashughulikia watesi wao, na kuwa elevate machoni pa watesi wao!.

Mungu Ibariki Chadema at least for once iweze kutenda haki, kuepuka adhabu ya karma, maana kiukweli Chadema hapo ilipo, ni almost dead kinachosubiri ni kukomelea tuu msumari wa mwisho kwenye naniliu la Chadema na kulishusha 6ft under!. The choice is theirs!

Mungu Ibariki Tanzania!.

Paskali
Uandishi wa Paskali..ni kama nae ni muumini wa usoshalist..ukimfuatilia sana ni mtu makini sana kweny kupanga sentensi za fitina!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Kwa mara ya kwanza naunga mkono hoja yako na ndio maana hata lowassa alikata ushindi ile mwaka 2015 Japo tuna amini ameshinda na wapongeza tiss,mtume Joshua wa Nigeria ,mashekh na ma askofu wetu na wadau wote wanaoitakia mema nchi yetu walimshauri vizuri cdm wangeuza nchi
 
Haya ni matokeo ya kusoma degree ukiwa mtu mzima kama mtoa mada. Mshenzi hivi mambo ya chadema unayaongeleaje? Mbona haongelei mangula kupewa sumu na MAGUFULI
 
Pascal Mayalla, kama hukulipwa umejituma kufanya uchochezi. Hata hivyo, hoja yako ni dhaifu kwa sababu chama ni impersonal, hakina hisia ila kina Katiba, miongozo, kanuni, imani, itikadi na utamaduni wa chama (governance software). Wanachama na viongozi wote wa chama huunganishwa na software hizo. Mtu yeyote mwenye ku-breach hizo governance software hulazimika kuwajibika yeye binafsi. Ni hicho ndicho kinachofanyika.
Paskali tumetoka mbali. Usipotoshe. Si unakumbuka enzi hizo tukiwa pamoja pale JKT na baadaye ukija kumtembelea girl friend wako pale UDSM wakati wewe ukiwa TSJ? Sitaki kusema yaliyokukuta, ila usipotoshe suala ya Wanawake 19 wa Chadema kukiuka maadili na miongozo ya Chama chao.
 
Wanabodi,

Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "Karma", na nimekuwa nikikihubiri mara nyingi humu jukwaani. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani, haina Msalie Mtume, wala haujui nani ni nani!, kwenye hukumu ya karma, kila mtu anahukumiwa kwa matendo yake.

Leo kikao cha CCM ya CHADEMA, kinakaa as usual as a Kangaroo court, kama kilivyokuwa kinakaa huko nyuma na kutoa hukumu za ajabu, ambazo karma za huku hizo, zinakuja kuigharimu CHADEMA mbele ya safari, tatizo, wakati wa karma payback time unapofika, hakuna anayekumbuka kuwa ni hukumu ya matendo yake, tatizo la karma, unaweza kufanya kitu kidogo, tuu, kwako ukakiona ni insignificant, lakini when karma takes its toll, mapigo ya karma yanakushukia in three folds hadi huwezi kukumbuka ulifanya nini kustahili, kinachokupata!. Ila pia, anayehukumiwa pasipo haki, karma pia huwa ina m take care, na kumu elevate machoni pa watesi wake!.

Mifano ya Matendo ya CHADEMA, na Matokeo ya Karma Zake.
  1. CHADEMA walipo establish a torture chamber pale makao makuu yake na kumshughulikia ipasavyo Mlinzi wa Dr. Slaa, Kagenzi, nilionya kuhusu karma. Kwa vile hii ilikuwa ni internal operation, na mimi sio inside man, naombeni ndugu zangu wa CHADEMA, jifanyieni tathmini, nani alifanya nini, the roles walizo play, then angalia kilichokuja kuwakupa the players, na sasa Kagenzi yuko wapi na ana hali gani!.
  2. CHADEMA mlipokuwa kwenye kikao chenu cha CCM Arusha, kukatokea mtu miongoni mwenu mlimuita msaliti, kwa kuvujisha info humu jf, jiulizeni ni nani alimdakua mtu huyo, na mlimfanya nini!, then jikumbumbusheni kilichompata huyo kamanda shupavu aliyemshughulikia msaliti!.
  3. CHADEMA mlipomtimua Juliana Shonza na masalia kwenye kangaroo court yenu, nililizungumzia hili, sasa leo angalieni waliomshughulikia Shonza, nini kiliwakuta, leo wako wapi, na mlinganishe na Juliana Shonza alipo!.
  4. Mlipowatimua kina Kitila kwa hoja ya ule Waraka wa Mabadiliko, ambao nyinyi mliuita ni waraka wa mapinduzi, mimi nikawaambie ule ni waraka wa kui transform CHADEMA kutoka Chama cha kirakati, kukigeuza Chama Tawala in waiting, hivyo waraka ule haukuwa wa mapinduzi, bali a "winning coalition" kuu revamp uongozi static na stagnant wa CHADEMA, na kuleta uongozi vibrant na dynamic, angalieni makamanda wa timua timua hiyo nini kiliwakuta, linganisha na mahali alipo Prof. Kitila, tena anakuwa Waziri kwenye key ministry!.
  5. Mlipomtimua Zitto kwa kutumia CC kangaruu, niliwauliza humu, CC ya Chadema, inapata wapi mamlaka ya kumuadhibu NKM wakati mamlaka yake ya nidhamu ni Baraza Kuu, hakuna aliyejibu, angalieni nini kiliwakuta waliomtimua Zitto, ana angalieni Zitto ni nani, tena anakwenda kuteuliwa mbunge wa kuteuliwa kwenye zile nafasi 10 za uteuzi za JPM, linganisha makamanda waliosimamia kutimuliwa kwa Zitto!.
Hiyo ni mifano ya dhambi ya dhana ya usaliti inavyoendelea kuitafuna Chadema ndani kwa, ndani, hapo sijamtaja Dr. Slaa, hadi watu kumuita Dr. Mihogo!, leo angalia waliombeza Dr. Slaa wako wapi, ulinganishe na mahali Dr. Slaa alipo!, haiwezekani watu na makamanda wameipigania Chadema kwa kuigharimikia kwa Machozi, Jasho na Damu, halafu leo uje uwaite wasaliti na kuwatimua kama mbwa!, kamwe Karma haiwezi kuacha salama Chadema!.

Leo Kangaroo court ya CHADEMA inakutana kumhukumu Halima na wenzake, ndani ya majina yale 19 ya wabunge wa viti maalum wa Chadema, walioapishwa, wabunge 5 ni 'vidumu' vya wajumbe wa CC ya Chadema ambao sio vile 'vidumu' vya 'mpango kando', no!, ni vidumu vya co habitation, mnaishi nyumba moja, mnalala chumba kimoja, kitanda kimoja!, huku mkiishi katika dhana ya ndoa, na kila mtu anawatambua kama mke na mume!, haiwezekani mwenza wako, akaibukia kwenye majina ya viti maalum bila wewe kujua, kilasha akaamkia bungeni dodoma kuapishwa bila wewe, kujua!, namhurumia sana KM. JJ. Nnyika ni mtu muadilifu sana, lakini hajui, the games people plays!.

Miaka mingi nyuma nililizungumzia Chadema kuwa na kirusi, CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind?
Sasa miaka mingi imepita nikajua sasa Chadema ni safi, kumbe bado!, na sio kuna kirusi, Chadema ina virusi!. Kikulacho...ki nguoni mwako!.

Naomba kuwa mtu wa kwanza kukujulisha kuwa JPM, anaweza kila kitu!, Japo Tanzania hatuna serikali ya mseto, kama aliweza kumteua Anna Mngwira na Prof. Kitila, wakiwa ACT, kwenye baraza lake la mawaziri, hawezi kushindwa kuwateua Mdee na Esta Bulaya, manaibu mawaziri katika serikali yake na sisi huku bara tukaunda serikali ya umoja wa kitaifa!.

Wish Halima and her team, all the best, kama wataandibiwa kwa kuukataa ujinga!, Karma itawashughulikia watesi wao, na kuwa elevate machoni pa watesi wao!.

Mungu Ibariki Chadema at least for once iweze kutenda haki, kuepuka adhabu ya karma, maana kiukweli Chadema hapo ilipo, ni almost dead kinachosubiri ni kukomelea tuu msumari wa mwisho kwenye naniliu la Chadema na kulishusha 6ft under!. The choice is theirs!

Mungu Ibariki Tanzania!.

Paskali
Ile njaa tuliyoambiwa siku zile Sasa imehamia kichwani.Kesho utatwambua uko jalalani.Huu Ni ule ule aliousema Rev. Mtikila( Late) yaani Apedomia.Ule ule unyani wa siku zileeee!
 
Pascal Mayalla, Mambo ya CHADEMA waachie Chadema wenyewe.
Pascal Mayalla, karma is myth. Chama chenu kimeua watu Unguja na Pemba, kimeumiza wengi wasio na hatia, je wamedhurika nini?
Mlimuua kwa kumchinja shingo Mawazo, mlimtwanga Tundu Lissu marisasi,
Karma imemuadhibu Nani?
Anzory na Ben Saanane wamepotezwa jumla, karma imefanya Nini?
Tangu enzi za Mwalimu, Karume na kupotezwa Abdullah Kassim Hanga, hadi leo, karma imewaadhibu Nini? Au karma ipo kuwaadhibu CHADEMA tu pale wanapowatimua wasaliti?
Huyu jamaa yuko JALALANI.
 
Unaweza kuhisi watu wana akili na wapenda haki kumbe ni mashetani tuna safari ndefu sana
 
Wanabodi,

Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "Karma", na nimekuwa nikikihubiri mara nyingi humu jukwaani. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani, haina Msalie Mtume, wala haujui nani ni nani!, kwenye hukumu ya karma, kila mtu anahukumiwa kwa matendo yake.

Leo kikao cha CCM ya CHADEMA, kinakaa as usual as a Kangaroo court, kama kilivyokuwa kinakaa huko nyuma na kutoa hukumu za ajabu, ambazo karma za huku hizo, zinakuja kuigharimu CHADEMA mbele ya safari, tatizo, wakati wa karma payback time unapofika, hakuna anayekumbuka kuwa ni hukumu ya matendo yake, tatizo la karma, unaweza kufanya kitu kidogo, tuu, kwako ukakiona ni insignificant, lakini when karma takes its toll, mapigo ya karma yanakushukia in three folds hadi huwezi kukumbuka ulifanya nini kustahili, kinachokupata!. Ila pia, anayehukumiwa pasipo haki, karma pia huwa ina m take care, na kumu elevate machoni pa watesi wake!.
Nape Nnauye alizunguka Tanzania nzima na mwenyeketi lakini bado alimtengua baada na akaipata fresh mpaka alivyoomba msamaha. Wamesaliti na usaliti wa kiwango cha juu kabisa.
 
Kwa hiyo unataka kutuambia kwamba ukiwa ni founder lets say wa organisation yoyote ile kumbe unaruhusiwa kwenda kinyume na Policies...bila kuchukuliwa hatua za kinidhamu.
 
Back
Top Bottom