Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu

Katika miaka 15 Mdee hakutanguliza pesa alitanguliza uchadema kama angetaka kununuliwa ingekuwa kwenye ubunge wa majimbo sio viti maalum.
 
Uchaguzi ulikuwa wa huru na haki au haukuwa hivyo?

Hili ni swali la msingi kabisa.
 
Katika miaka 15 Mdee hakutanguliza pesa alitanguliza uchadema kama angetaka kununuliwa ingekuwa kwenye ubunge wa majimbo sio viti maalum.
Sasa nini kimempata kiasi cha kwenda kinyume kabisa na utaratibu wa chama ukizingatia yeye ni senior member??

Kanuni zipo wazi kabisa hata kama Mwenyekiti naye kashiriki atatupisha!! Chama ni mali ya wanachama na si mali ya watu wawili.
 
Kama Karma haijarudia CCM na watawala wake Kwa Hayo uliyoyataja!! Wapo Ambao karma inawashughulikia na sio CCM NA WATU WAKE
MUNGU HANA SHEMEJI
 
Umeandika haraka haraka sijui unakimbilia wapi au unatetemeka nini?

Naamini wembe uliowanyoa wengine ndio utawanyoa hao wa leo.
 
Sioni mtihani wowote uliopo, msikuze mambo.
 
Sasa nini kimempata kiasi cha kwenda kinyume kabisa na utaratibu wa chama ukizingatia yeye ni senior member??

Kanuni zipo wazi kabisa hata kama Mwenyekiti naye kashiriki atatupisha!! Chama ni mali ya wanachama na si mali ya watu wawili.
Aliyempigia simu kumpongeza kuteuliwa viti maalum ni Mwenyekiti wa Chadema.
Aliyempigia simu tena kuulizia matayarisho ya kuapishwa ni Mwenyekiti wa Chadema.
Aliyewapigia video conference dakika chache kabla ya kuapishwa ni Mwenyekiti wa Chadema.
Hapa inatakiwa busara sio lawama Chadema ina wenyewe Mkuu.
 
Peleka uduwanzi mbali, iwe Mbowe anajua ama hajui, leo ni kupiga chini hao wahuni. Unadhani utatupoteza kwenye utaratibu dhidi ya hawa wahuni wachache kurubuniwa na ccm?Hata Mbowe akizingua mwenyewe tunamzimia taa, itakuwa hao wahuni wachache?

X
Mkuu umeongea kwa kuniwahi, iwe Mbowe ama Mnyiika kahusika na upuuzi huu ni lazima nao wang'olewe na ikishindikana Tundu Lissu Aanzishe chama cha wafia inchi / chama kitakachofuata nyayo za ANC ile ya Mandela
 
Pasca hauoni kosa kughushi sio kosa. CCM wamemfukuza Sophia Simba, Bernard Membe na wengine wengi mbona hiyo karma hatukuiona. Mwandishi wa habari anakuwa na ethics moja wapo ni kuwa mkweii sana wewe ukweii wako upo wapi hapo huoni kosa kughushi. Chama chako kinavumiiia uovu siyo CDM. Covid 19 waondoewe wote.
 
Wakati Mwenyekiti anapigia Halima simu kumpa pongezi; Je ulikiwa na Halima?
 
Ni hivi, leo kikao ni kuwafukuza, ukishirikiana na shetani unapigwa chini, historia haina nafasi fullstop.
hakuna mwenye ubavu huo
wapiga kelele wa mitandaoni hamjui chochote kuhusu chadema,ni washabiki maandazi tu
 
Paschal uwezo wako wa kufikiri umefikia hatima?

Lowasa na heshima yake ndani ya ccm mlimtukana kuwa msaliti, mwenye tamaa ya madaraka,

Wewe na Lowasa ndani ya ccm nani ana nguvu, nani amekijenga chama?

Hivi ukiwa kada akili unaziweka store?
 
Kama wamenasishwa wakakubali, chadema inatakiwa ifanye busara ipi. Busara ni kuwafukuza wakatumike kule walikonasa kama hawawezi kujitoa. Na ni kwanini wanaccm ndio wameshikia bango hili suala? Afadhali ufe kwa kile unachokiamini kuliko kufa kwa kile wanachotaka ukiamini.
 
umemjibu vzr kabisa huyo mvizia teuzi, hongera sana.
 
Pascal siku hizi umekuwa kama mchawi kujipendekeza upate nafasi za uteuzi zina sababisha uvunje Heshima uliyoijenga kwa muda mrefu !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…