Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , kumbe hili wewe ndio unalujua leo!.
Angalia tarehe ya bandiko hili na angalia nilisema nini kumhusu JJ Myika kwenye kadhia hii.
Ndani ya majina yale 19 ya wabunge wa viti maalum wa Chadema, walioapishwa, wabunge 5 ni 'vidumu' vya wajumbe wa CC ya Chadema ambao sio vile 'vidumu' vya 'mpango kando', no!, ni vidumu vya "lala amka", "pika pakua" yaani wanaishi wote kwa cohabitation, kwa dhana ya ndoa kama mke na mume, mnaishi nyumba moja, mnalala chumba kimoja, kitanda kimoja!, huku mkiishi katika dhana ya ndoa, na kila mtu anawatambua kama mke na mume!, haiwezekani mwenza wako, akaibukia kwenye majina ya viti maalum bila wewe kujua, kisha akaamkia Bungeni Dodoma kuapishwa bila wewe, kujua!, namhurumia sana KM. JJ. Nnyika ni mtu muadilifu sana, lakini hajui, the games people plays!.
Mungu Ibariki Chadema at least for once iweze kutenda haki, kuepuka adhabu ya karma, maana kiukweli Chadema hapo ilipo, ni almost dead kinachosubiri ni kukomelea tuu msumari wa mwisho kwenye naniliu la Chadema na kulishusha 6ft under!. The choice is theirs!
Sisi waandishi wa habari ni watu wa info nyingi za aina mbalimbali nyingine ni za kweli, nyingine za uongo na nyingine ni umbea tuu, mimi ningekuwa ni mwandishi wa makorokocho, ningekushushia hadi ubuyu wa wajumbe wa CC hii ya Chadema, mjumbe gani kapita wapi na wapi na wapi sasa amejiweka na katulia, na ningekumegea hadi baada ya hawa 19 kutimiwa Chadema, nani alimuita mtu wake nchi gani na hoteli gani na kumgharimia kila kitu!. Hayo yote masikini wa Mungu, JJ Mnyika ni was so innocent, alikuwa hajui kitu!.
Lakini nahisi baadae alikuja kujua ndio maana hakufanya any due process kutafuta kujua majina yale yalipekekwa NEC kwa baraka za nani!.
NB. Naomba kusisitiza hizi siasa is just a game, tunaweza kutofautiana misimamo katika jambo lolote na bado tukabaki wamoja katika jambo jingine.
Kwenye hii kadhia ya wabunge hawa 19 wa Viti Maalum Chadema, mimi nasimama nao kuwa watendewe haki, hata kama ni kufukuzwa Chadema, wafukuzwe kwa haki kwa mujibu wa katiba ya Chadema kwa sheria taratibu na kanuni za mamlaka za nidhamu zenye competent jurisdiction kuwasikiliza na kuwahukumu.
At the same time, kwenye lile jambo langu kule kwangu, nikihitaji support yenu hata wale tunaotofautiana kwenye hili.
Mifano ya Matendo ya Chadema, na Matokeo ya Karma Zake.
Chadema walipo establish a torture chamber pale makao makuu yake na kumshughulikia ipasavyo Mlinzi wa Dr. Slaa, Kagenzi, nilionya kuhusu karma. Kwa vile hii ilikuwa ni internal operation, na mimi sio inside man wa Chadema, naombeni ndugu zangu wa Chadema, jifanyieni tathmini, nani alifanya nini, the roles walizo play, then angalia kilichokuja kuwakuta the players, na sasa Kagenzi yuko wapi na ana hali gani!. Bodigadi wa zamani wa Dr. Slaa, Khalid Kagenzi akanusha kutaka kumuua Dr. Slaa, Ya mke wa Slaa na Mlinzi binafsi wa Dk. Slaa, Tena tazameni karma ilivyo, aliyetuhumiwa kumpa sumu Kagenzi ili amtilie Dr. Slaa, na yeye alikuja kutiliwa sumu na ikamwingia na kumdhuri, tena alikuwa ni almanusura!, asingewahishwa saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine!.
Chadema mlipokuwa kwenye kikao chenu cha ndani, CC Arusha, kukatokea mtu miongoni mwenu aliyekuwa akivujisha jf, kilichokuwa kinajadiliwa ndani, mlimuita msaliti, kwa kuvujisha info humu JF, jiulizeni ni nani alimdakua mtu huyo, na mlimfanya nini!, then jikumbumbusheni kilichompata huyo kamanda shupavu aliyemshughulikia msaliti!. Kinachoendelea CHADEMA Mitandaoni: Je, ni Ushujaa wa Mhe. Lema au ni Udhaifu wa "Kule Juu"?
Mlipowatimua kina Kitila kwa hoja ya ule Waraka wa Mabadiliko, ambao nyinyi mliuita ni waraka wa mapinduzi, mimi nikawaambie ule ni waraka wa kui transform Chadema kutoka Chama cha kiharakati, kukigeuza Chama Tawala in waiting, hivyo waraka ule haukuwa wa mapinduzi, bali a "winning coalition" kuu revamp uongozi static na stagnant wa Chadema, na kuleta uongozi mpya vibrant na dynamic, angalieni makamanda wa timua timua hiyo nini kiliwakuta, linganisha na mahali alipo Prof. Kitila, tena anakuwa Waziri kwenye key ministry!. Ningekuwa CC ya CHADEMA ningemsamehe Kitila Mkumbo
Mlipomtimua Zitto kwa kutumia CC kangaroo, niliwauliza humu, CC ya Chadema, inapata wapi mamlaka ya kumuadhibu NKM wakati mamlaka yake ya nidhamu ni Baraza Kuu, hakuna aliyejibu, angalieni nini kiliwakuta waliomtimua Zitto, na angalieni Zitto ni nani, tena anakwenda kuteuliwa mbunge wa kuteuliwa kwenye zile nafasi 10 za uteuzi za JPM, linganisha makamanda waliosimamia kutimuliwa kwa Zitto!. https://www.jamiiforums.com/threads...ie-mkajisahau-jiandaeni-kwa-karma.822703/Hiyo ni mifano ya dhambi ya dhana ya usaliti inavyoendelea kuitafuna Chadema ndani kwa, ndani, hapo sijamtaja Dr. Slaa, hadi watu kumuita Dr. Mihogo!, leo angalia waliombeza Dr. Slaa wako wapi, ulinganishe na mahali Dr. Slaa alipo!, haiwezekani watu na makamanda wameipigania Chadema kwa kuigharimikia kwa Machozi, Jasho na Damu, halafu leo uje uwaite wasaliti na kuwatimua kama mbwa!, kamwe Karma haiwezi kuacha salama Chadema!.
Mkuu The Palm Beach, karma is the law of cause & effects kwa kuhukumiwa kwa matendo yako, ukitenda mema, unalipwa mema, na ukitenda uovu unaafhibiwa!.
The biggest toll ya karma ni kifo.
Kila binadamu kuna mazuri yake na mabaya yake, akitenda mema anabarikiwa, akitenda maovu analaaniwa. Kila kitu kinachomtokea binadamu hapa duniani ni matokeo ya matendo yake.
Kwa upande wa Chama, pia kuna karma za taasisi na karma za viongozi wa taasisi ambazo ndio watoa maamuzi. Taasisi inapotoa maamuzi ya dhulma, taasisi inaadhibiwa na watoa maamuzi nao wanaadhibiwa individually!, wakati wale wanao dhulumiwa karma ikiwafidia kwa kuwabariki.
Angalia baadhi ya viongozi wa Chedema waliofukuzwa bila kutendewa haki, baada ya kutimuliwa Chadema au kujitoa Chadema, angalia walikuja kuwa wapi?.
Angalia ma sterling wa matukio haya kilikuja kuwakuta nini?.
Angalia hali ya sasa ya Chadema kama Chama kikuu cha upinzani huku bara, amini nakuambia mwisho wa siku, Chadema itafanikiwa kuwatimua hawa makamanda mabinti 19 lakini machozi yao jasho na damu walioigharimikia Chadema, hayatapotea bure!, there is a price to pay and Chadema will pay dearly!.
Kwa vile Chadema inayo katiba yake na imeweka taratibu za haki kabisa kushughilikia nidhamu, zikiwemo mamlaka tofauti tofauti za nidhamu kwa viongozi tofauti tofauti, kwanini hazifuatwi?.
Mfano wakati wa kumtimua Zitto, Zitto alikuwa NKM, kwa mujibu wa katiba ya Chadema, mamlaka yake ya nidhamu ni Baraza Kuu na mamlaka yake ya rufaa ni Mkutano Mkuu, mamlaka ya CC ya Chadema ni kumsimamisha tuu na sio kusikiliza shauri lake!, sasa hiyo CC ya Chadema ilimtumua Zitto kwa mamlaka gani?. Angalia Zitto baada ya kutimuliwa alikuwaje na angalia yule sterling wa kutimuliwa Zitto nini kilikuja kumkuta?.
Angalia Kitila Mkumbo baada ya kutimuliwa Chadema alikuja kuwa nani?.
Angalia Juliana Shonza baada ya kutumiwa Chadema alikuja kuwa nani
Hivyo kiukweli kabisa karma ipo and it acts upon us kwa matendo yetu!.
Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "Karma", na nimekuwa nikikihubiri mara nyingi humu jukwaani. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani, haina Msalie Mtume, wala haujui nani ni nani!, kwenye hukumu ya karma, kila mtu anahukumiwa kwa matendo yake.
Wanabodi, Sio mara moja au mbili, umewahi kusikia mtu akitendewa jambo baya, anasema "namwachia Mungu!", au neno "Malipo ni hapa hapa duniani!". likitokea jambo zuri lolote watu hufurahi na kumshukuru Mungu, au likitokea jambo baya lolote, watu hufarijiana kuwa kusema hiyo ni "kazi ya Mungu!'...
www.jamiiforums.com
Leo kikao cha CC ya Chadema, kinakaa as usual as a Kangaroo court, kama kilivyokuwa kinakaa huko nyuma na kutoa hukumu za ajabu ajabu ikiwemo timua timua, ambazo karma za hukumu hizo, zinakuja kuigharimu Chadema mbele ya safari, tatizo, wakati wa karma payback time unapofika, when karma strikes back, hakuna anayekumbuka kuwa ni hukumu ya matendo yake ya nyuma!. Tatizo la karma, unaweza kufanya kitu kidogo, tuu, kwako ukakiona ni kidogo, it's nothing and insignificant, lakini when karma takes its toll, mapigo ya karma yanayokushukia ni mapigo makubwa in three folds, kulinganisha na ulichotenda, hadi huwezi kukumbuka ulifanya nini kustahili, kinachokupata. Ila pia, anayehukumiwa pasipo haki, karma pia huwa ina mtake care, na kumu elevate machoni pa watesi wake!.
Mifano ya Matendo ya Chadema, na Matokeo ya Karma Zake.
Chadema walipo establish a torture chamber pale makao makuu yake na kumshughulikia ipasavyo Mlinzi wa Dr. Slaa, Kagenzi, nilionya kuhusu karma. Kwa vile hii ilikuwa ni internal operation, na mimi sio inside man wa Chadema, naombeni ndugu zangu wa Chadema, jifanyieni tathmini, nani alifanya nini, the roles walizo play, then angalia kilichokuja kuwakuta the players, na sasa Kagenzi yuko wapi na ana hali gani!. Bodigadi wa zamani wa Dr. Slaa, Khalid Kagenzi akanusha kutaka kumuua Dr. Slaa, Ya mke wa Slaa na Mlinzi binafsi wa Dk. Slaa, Tena tazameni karma ilivyo, aliyetuhumiwa kumpa sumu Kagenzi ili amtilie Dr. Slaa, na yeye alikuja kutiliwa sumu na ikamwingia na kumdhuri, tena alikuwa ni almanusura!, asingewahishwa saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine!.
Chadema mlipokuwa kwenye kikao chenu cha ndani, CC Arusha, kukatokea mtu miongoni mwenu aliyekuwa akivujisha jf, kilichokuwa kinajadiliwa ndani, mlimuita msaliti, kwa kuvujisha info humu JF, jiulizeni ni nani alimdakua mtu huyo, na mlimfanya nini!, then jikumbumbusheni kilichompata huyo kamanda shupavu aliyemshughulikia msaliti!. Kinachoendelea CHADEMA Mitandaoni: Je, ni Ushujaa wa Mhe. Lema au ni Udhaifu wa "Kule Juu"?
Mlipowatimua kina Kitila kwa hoja ya ule Waraka wa Mabadiliko, ambao nyinyi mliuita ni waraka wa mapinduzi, mimi nikawaambie ule ni waraka wa kui transform Chadema kutoka Chama cha kiharakati, kukigeuza Chama Tawala in waiting, hivyo waraka ule haukuwa wa mapinduzi, bali a "winning coalition" kuu revamp uongozi static na stagnant wa Chadema, na kuleta uongozi mpya vibrant na dynamic, angalieni makamanda wa timua timua hiyo nini kiliwakuta, linganisha na mahali alipo Prof. Kitila, tena anakuwa Waziri kwenye key ministry!. Ningekuwa CC ya CHADEMA ningemsamehe Kitila Mkumbo
Mlipomtimua Zitto kwa kutumia CC kangaroo, niliwauliza humu, CC ya Chadema, inapata wapi mamlaka ya kumuadhibu NKM wakati mamlaka yake ya nidhamu ni Baraza Kuu, hakuna aliyejibu, angalieni nini kiliwakuta waliomtimua Zitto, na angalieni Zitto ni nani, tena anakwenda kuteuliwa mbunge wa kuteuliwa kwenye zile nafasi 10 za uteuzi za JPM, linganisha makamanda waliosimamia kutimuliwa kwa Zitto!. https://www.jamiiforums.com/threads...ie-mkajisahau-jiandaeni-kwa-karma.822703/Hiyo ni mifano ya dhambi ya dhana ya usaliti inavyoendelea kuitafuna Chadema ndani kwa, ndani, hapo sijamtaja Dr. Slaa, hadi watu kumuita Dr. Mihogo!, leo angalia waliombeza Dr. Slaa wako wapi, ulinganishe na mahali Dr. Slaa alipo!, haiwezekani watu na makamanda wameipigania Chadema kwa kuigharimikia kwa Machozi, Jasho na Damu, halafu leo uje uwaite wasaliti na kuwatimua kama mbwa!, kamwe Karma haiwezi kuacha salama Chadema!.
Leo Kangaroo court ya Chadema inakutana kumhukumu Halima na wenzake, Halima Mdee ni Mwenyekiti wa Bawacha, mamlaka yake ya nidhamu sio CC ya Chadema, hii CC ya Chadema iliyokaa leo kumvua uanachama Mdee, imepata wapi mamlaka hayo?.
Ndani ya majina yale 19 ya wabunge wa viti maalum wa Chadema, walioapishwa, wabunge 5 ni 'vidumu' vya wajumbe wa CC ya Chadema ambao sio vile 'vidumu' vya 'mpango kando', no!, ni vidumu vya cohabitation, mnaishi nyumba moja, mnalala chumba kimoja, kitanda kimoja!, huku mkiishi katika dhana ya ndoa, na kila mtu anawatambua kama mke na mume!, haiwezekani mwenza wako, akaibukia kwenye majina ya viti maalum bila wewe kujua, kisha akaamkia Bungeni Dodoma kuapishwa bila wewe, kujua!, namhurumia sana KM. JJ. Nnyika ni mtu muadilifu sana, lakini hajui, the games people plays!.
Naomba kuwa mtu wa kwanza kukujulisha kuwa JPM, anaweza kila kitu!, Japo Tanzania hatuna serikali ya mseto, kama aliweza kumteua Anna Mngwira na Prof. Kitila, wakiwa ACT, kwenye baraza lake jipya la mawaziri, hawezi kushindwa kuwateua Mdee na Esta Bulaya, manaibu mawaziri katika serikali yake na sisi huku bara tukaunda serikali ya umoja wa kitaifa!.
I Wish Halima Mdee and her team, all the best, kama wataadhibiwa kwa kuukataa ujinga!, Karma itawashughulikia watesi wao, na wao kuwa elevate machoni pa watesi wao!.
Mungu Ibariki Chadema at least for once iweze kutenda haki, kuepuka adhabu ya karma, maana kiukweli Chadema hapo ilipo, ni almost dead kinachosubiri ni kukomelea tuu msumari wa mwisho kwenye naniliu la Chadema na kulishusha 6ft under!. The choice is theirs!
Sio wewe uliyeaga hapa JF ukisema hutaandika chochote tena humu? Nini ulichosahau mpaka umerudi? Tulishachoshwa na mada zako za kichochezi ujue!!!! Uteuzi bado kwani?

Chadema wameufuata ushauri wa bandiko hili, waneacha ujinga wa kujifanya hawayatambui matokeo ya uchaguzi wa 2020!, sasa wameacha kushupaza shingo, wameyatambua matokeo kimya kimya!, wamewasamehe mashujaa hawa kimya kimya msamaha ambao utatangazwa rasmi siku ya Jumatano tarehe 8 Machi na Mwenyekiti wa Chadema, mbele ya Rais Samia!.
Iliwa kusemwa kuwa hakuna mkate mgumu wowote mbele ya chai!, tayari Chadema imeisha anza kupokea ruzuku hivyo sasa ita survive!. Na ile kesi ya kina Halima Mdee na wale 19 iliyopo mahakamani itafutwa!.
Hongera sana Chadema, for doing the right thing!, mtabarikiwa, viongozi wenu watabarikiwa, chama chenu kitabarikiwa na Tanzania Itabarikiwa!.
Mungu ibariki Chadema
Mungu ibariki CCM kwa kukubali reconciliation
Mungu ibariki Tanzania
Paskali
Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "Karma", na nimekuwa nikikihubiri mara nyingi humu jukwaani. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani, haina Msalie Mtume, wala haujui nani ni nani!, kwenye hukumu ya karma, kila mtu anahukumiwa kwa matendo yake.
Wanabodi, Sio mara moja au mbili, umewahi kusikia mtu akitendewa jambo baya, anasema "namwachia Mungu!", au neno "Malipo ni hapa hapa duniani!". likitokea jambo zuri lolote watu hufurahi na kumshukuru Mungu, au likitokea jambo baya lolote, watu hufarijiana kuwa kusema hiyo ni "kazi ya Mungu!'...
www.jamiiforums.com
Leo kikao cha CC ya Chadema, kinakaa as usual as a Kangaroo court, kama kilivyokuwa kinakaa huko nyuma na kutoa hukumu za ajabu ajabu ikiwemo timua timua, ambazo karma za hukumu hizo, zinakuja kuigharimu Chadema mbele ya safari, tatizo, wakati wa karma payback time unapofika, when karma strikes back, hakuna anayekumbuka kuwa ni hukumu ya matendo yake ya nyuma!. Tatizo la karma, unaweza kufanya kitu kidogo, tuu, kwako ukakiona ni kidogo, it's nothing and insignificant, lakini when karma takes its toll, mapigo ya karma yanayokushukia ni mapigo makubwa in three folds, kulinganisha na ulichotenda, hadi huwezi kukumbuka ulifanya nini kustahili, kinachokupata. Ila pia, anayehukumiwa pasipo haki, karma pia huwa ina mtake care, na kumu elevate machoni pa watesi wake!.
Mifano ya Matendo ya Chadema, na Matokeo ya Karma Zake.
Chadema walipo establish a torture chamber pale makao makuu yake na kumshughulikia ipasavyo Mlinzi wa Dr. Slaa, Kagenzi, nilionya kuhusu karma. Kwa vile hii ilikuwa ni internal operation, na mimi sio inside man wa Chadema, naombeni ndugu zangu wa Chadema, jifanyieni tathmini, nani alifanya nini, the roles walizo play, then angalia kilichokuja kuwakuta the players, na sasa Kagenzi yuko wapi na ana hali gani!. Bodigadi wa zamani wa Dr. Slaa, Khalid Kagenzi akanusha kutaka kumuua Dr. Slaa, Ya mke wa Slaa na Mlinzi binafsi wa Dk. Slaa, Tena tazameni karma ilivyo, aliyetuhumiwa kumpa sumu Kagenzi ili amtilie Dr. Slaa, na yeye alikuja kutiliwa sumu na ikamwingia na kumdhuri, tena alikuwa ni almanusura!, asingewahishwa saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine!.
Chadema mlipokuwa kwenye kikao chenu cha ndani, CC Arusha, kukatokea mtu miongoni mwenu aliyekuwa akivujisha jf, kilichokuwa kinajadiliwa ndani, mlimuita msaliti, kwa kuvujisha info humu JF, jiulizeni ni nani alimdakua mtu huyo, na mlimfanya nini!, then jikumbumbusheni kilichompata huyo kamanda shupavu aliyemshughulikia msaliti!. Kinachoendelea CHADEMA Mitandaoni: Je, ni Ushujaa wa Mhe. Lema au ni Udhaifu wa "Kule Juu"?
Mlipowatimua kina Kitila kwa hoja ya ule Waraka wa Mabadiliko, ambao nyinyi mliuita ni waraka wa mapinduzi, mimi nikawaambie ule ni waraka wa kui transform Chadema kutoka Chama cha kiharakati, kukigeuza Chama Tawala in waiting, hivyo waraka ule haukuwa wa mapinduzi, bali a "winning coalition" kuu revamp uongozi static na stagnant wa Chadema, na kuleta uongozi mpya vibrant na dynamic, angalieni makamanda wa timua timua hiyo nini kiliwakuta, linganisha na mahali alipo Prof. Kitila, tena anakuwa Waziri kwenye key ministry!. Ningekuwa CC ya CHADEMA ningemsamehe Kitila Mkumbo
Mlipomtimua Zitto kwa kutumia CC kangaroo, niliwauliza humu, CC ya Chadema, inapata wapi mamlaka ya kumuadhibu NKM wakati mamlaka yake ya nidhamu ni Baraza Kuu, hakuna aliyejibu, angalieni nini kiliwakuta waliomtimua Zitto, na angalieni Zitto ni nani, tena anakwenda kuteuliwa mbunge wa kuteuliwa kwenye zile nafasi 10 za uteuzi za JPM, linganisha makamanda waliosimamia kutimuliwa kwa Zitto!. https://www.jamiiforums.com/threads...ie-mkajisahau-jiandaeni-kwa-karma.822703/Hiyo ni mifano ya dhambi ya dhana ya usaliti inavyoendelea kuitafuna Chadema ndani kwa, ndani, hapo sijamtaja Dr. Slaa, hadi watu kumuita Dr. Mihogo!, leo angalia waliombeza Dr. Slaa wako wapi, ulinganishe na mahali Dr. Slaa alipo!, haiwezekani watu na makamanda wameipigania Chadema kwa kuigharimikia kwa Machozi, Jasho na Damu, halafu leo uje uwaite wasaliti na kuwatimua kama mbwa!, kamwe Karma haiwezi kuacha salama Chadema!.
Leo Kangaroo court ya Chadema inakutana kumhukumu Halima na wenzake, Halima Mdee ni Mwenyekiti wa Bawacha, mamlaka yake ya nidhamu sio CC ya Chadema, hii CC ya Chadema iliyokaa leo kumvua uanachama Mdee, imepata wapi mamlaka hayo?.
Ndani ya majina yale 19 ya wabunge wa viti maalum wa Chadema, walioapishwa, wabunge 5 ni 'vidumu' vya wajumbe wa CC ya Chadema ambao sio vile 'vidumu' vya 'mpango kando', no!, ni vidumu vya cohabitation, mnaishi nyumba moja, mnalala chumba kimoja, kitanda kimoja!, huku mkiishi katika dhana ya ndoa, na kila mtu anawatambua kama mke na mume!, haiwezekani mwenza wako, akaibukia kwenye majina ya viti maalum bila wewe kujua, kisha akaamkia Bungeni Dodoma kuapishwa bila wewe, kujua!, namhurumia sana KM. JJ. Nnyika ni mtu muadilifu sana, lakini hajui, the games people plays!.
Naomba kuwa mtu wa kwanza kukujulisha kuwa JPM, anaweza kila kitu!, Japo Tanzania hatuna serikali ya mseto, kama aliweza kumteua Anna Mngwira na Prof. Kitila, wakiwa ACT, kwenye baraza lake jipya la mawaziri, hawezi kushindwa kuwateua Mdee na Esta Bulaya, manaibu mawaziri katika serikali yake na sisi huku bara tukaunda serikali ya umoja wa kitaifa!.
I Wish Halima Mdee and her team, all the best, kama wataadhibiwa kwa kuukataa ujinga!, Karma itawashughulikia watesi wao, na wao kuwa elevate machoni pa watesi wao!.
Mungu Ibariki Chadema at least for once iweze kutenda haki, kuepuka adhabu ya karma, maana kiukweli Chadema hapo ilipo, ni almost dead kinachosubiri ni kukomelea tuu msumari wa mwisho kwenye naniliu la Chadema na kulishusha 6ft under!. The choice is theirs!
Nimeisoma hukumu, 1. Mahakama zetu zinarudia makosa yale yale ya ukosefu wa kutenda haki kwa sababu ya legal technicalities, kuwa Mahakama haiwezi kutoa uamuzi wa kitu ambacho hakikuombwa!.
2. Wabunge hawa 19 wa Chadema, walivuliwa uanachama wao kinyume cha katiba ya JMT na kinyume cha haki kwa kutokusikilizwa, kinyume cha katiba ya Chadema kwa kukiuka sheria, taratibu na kanuni!.
3. Kikao cha CCM ya Chadema, kilichowatimua kilikaa kama a kangaroo court na kutoa maamuzi ya kikangaroo!.
4. Katiba ya Chadema inasema mwanachama kabla hajafutwa uanachama, kwanza atatumiwa hati ya mashitaka kwa maandishi by despatch, kisha atapewa siku 14 za kujibu mashitaka. Chadema hawakuandaa hati zozote za mashitaka!. Hili Mahakama ilipaswa ilione!.
5. Baada ya watuhumiwa kupewa hati ya mashitaka, ndipo kikao cha CC kinaitishwa kama mamlaka ya nidhamu, kusoma majibu ya mashitaka, na ndipo kinawaita washikiwa na kuwasikiliza. Hili halikufanyika!.
6. Baada ya wabunge 19 wa Chadema kuapishwa, hapa Chadema waliposwa kufanya kitu kinachoitwa a due process ya nidhamu na sio zile Zimamoto za kikangaroo!. There was no emergency of whatsoever!. Mahakama ilipaswa ilione hili!.
7. Uthibitisho wa hakukuwa na any emergency ya kuitisha CC, ni the time taken, kuitisha kikao cha Baraza Kuu!.
8. Baada ya kuitishwa kikao cha Baraza Kuu, kitu cha kwanza kwa Baraza Kuu Chadema kuangalia ni uhalali wa kikao cha CC, pili jee katiba, sheria, taratibu na kanuni za mamlaka ya nidhamu ya Chadema zilifuatwa?.
8. CC ya Chadema ni mamlaka halali ya nidhamu ya wabunge wa Chadema, lakini CC ya Chadema sio mamlaka ya nidhamu ya Halima Mdee ambaye ni Mwenyekiti wa Bawacha!, Mamlaka yake ya nidhamu ni Baraza Kuu!, CC ya Chadema ilipata wapi mamlaka ya kumtimua Halima Mdee?!. Kikao cha Baraza Kuu kilipaswa hili kukuona!.
9. Japo kikao cha Baraza Kuu Chadema kiliitishwa kihalali kama mamlaka ya rufaa ya wabunge wa Chadema, lakini kitendo cha kikao hicho kubariki uamuzi wa CC kuwatimua bila kufanya mapitio yoyote, ni uthibitisho wa Chadema bado ni chama kichanga, mfano kingechukua nchi ile 2015!, it would have been disastrous!.
10. Kitendo cha Baraza Kuu kubariki maamuzi ya kikangaroo ya CC ya Chadema, kilifanya niyaite maamuzi yale pia ni ya kikangaroo, na kitendo cha Mahakama Kuu kuyabari maamuzi ya kikangaroo, Mahakama Kuu yetu nayo has joined the team!.
A Way Forward
1. Kwa vile Chadema imefanikiwa kuwatimua hao 19 sasa Chadema isikate tena rufaa, kupinga uamuzi huu, bali iitishe kikao cha Baraza Kuu , ASAP, kifanye a due process, hili la wabunge 19 liishe, wabunge hao 19 wavuliwe ubunge wao, Chadema wapeleke majina 19 mengine, wateuliwe waapishwe, tuwe na Bunge la vyama vingi!.
2. Chadema wakifanya tuu dillydalling kukaa rufaa, inakula kwao!. By the time rufaa inasikilizwa, ndipo kifuate kikao cha Baraza Kuu, I'm afraid the time left before the next election is too little too late, ikibaki muda wa chini ya miezi 12 kabla ya muda wa uhai wa Bunge kuisha, hakuna uchaguzi wowote wala uteuzi wowote wa wabunge wapya!.
3. Tena nashauri kikao hicho cha Baraza Kuu, pia sasa ndio kimtimue Halima Mdee, kikifuatiwa Mkutano Mkuu kuthibitisha. Hapa najua changamoto ni fedha!, kule kwenye kile chungu, zilikopatikana zile fedha za kugharimia Baraza Kuu lile, kile chungu bado kipo, kitagharimia vikao vyote viwili, na Chadema inaweza kupiga ndege wawili kwa jiwe moja kwa mtu kupumzishwa kwa heshima na dereva mpya kupatikana!.
Paskali.
Thread za kihuni tu hizi, wewe ni bogus na hauna maana kabisa. Unajifanya hujui ccm inavyotumia mahakama zao za kangaroo kudhulumu haki za watu ktk nchi hii, muda unakuja mtatafuta pa kuficha vichwa vyenu. Bure kabisa.

Pascal Mayalla, thread hii ni kati ya material zako bora kabisa ulizowahi kuandika humu kwenye jamvi. Najuwa wahafidhina wa CDM na wabaya wako hawawezi kukubali. Thread hii imeonyesha uwezo wako wa uchambuzi wa kisiasa, weledi wako wa sheria kisha ubobezi wako wa habari za kiuchunguzi.
Ulitoa thread hii mnamo Novemba 2020 baada ya hawa Halima Mdeee na wenzie kufukuzwa CDM, na umekuwa uki- update mara kwa mara kadri sakata lilivyokuwa linaendelea. Maamuzi ya Jaji aliyoyatoa jana yamepita humohumo kwenye maono/ ushauri wako.
Kama unatamani kuandika kitabu basi hii ni moja ya topic ambazo zinaweza kuwa bestseller kwako. Hongera sana.
Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "Karma", na nimekuwa nikikihubiri mara nyingi humu jukwaani. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani, haina Msalie Mtume, wala haujui nani ni nani!, kwenye hukumu ya karma, kila mtu anahukumiwa kwa matendo yake.https://www.jamiiforums.com/threads/the-power-of-karma-ndio-hukumu-pekee-ya-haki-kamili-hapa-duniani-unahukumiwa-kwa-matendo-yako.838459/
Mungu Ibariki Chadema,
Mungu Ibariki Tanzania!.
Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wq habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa.
Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?
Hiki alichokifanya Chairman Mbowe ndio highest standards of statesmanship, Halima ni born and breed Chadema, kaipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu, she is a human being anaweza kukosea, hivyo tofauti za kichama zisijenge uadui kwenye social events zozote za shida na raha, Halima ni yule yule aliyelelewa Chadema.
Anzory na Ben Saanane wamepotezwa jumla, karma imefanya Nini?
Tangu enzi za Mwalimu, Karume na kupotezwa Abdullah Kassim Hanga, hadi leo, karma imewaadhibu Nini? Au karma ipo kuwaadhibu CHADEMA tu pale wanapowatimua wasaliti?
Mkuu hata nape aliposema aliitumikia ccm kwa jasho na damu kuhakikisha inapata ushindi wakati ule kapata kasheshe lile, alijibiwa kuwa alikuwa anatimiza wajibu wake na alilipwa kwa kazi hiyo. Hao makada waliwajibika na walilipwa stahiki and theni wakaasi na kuitwa wasaliti kwa kwenda kinyume na chama chao. Hao wasaliti wanaweza kusamehewa where is necessary
Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "Karma", na nimekuwa nikikihubiri mara nyingi tuu humu jukwaani kuwa karma ndio the power pekee ambayo hutoa hukumu ya haki hapa duniani, kwenye karma, mtu unaadhibiwa au kuhukumiwa kwa mawazo, maneno na matendo yako, karma haina mswalie Mtume, wala haujui nani ni nani!, kwenye hukumu ya karma, inatembeza bakra za kutosha na adhabu kubwa ya mwisho ya karma huwa ni kula kichwa!. "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!
Mungu Ibariki Chadema at least for once iweze kutenda haki, kuepuka adhabu ya karma, maana kiukweli Chadema hapo ilipo, ni almost dead kinachosubiri ni kukomelea tuu msumari wa mwisho kwenye naniliu la Chadema na kulishusha 6ft under!. The choice is theirs!
Wanabodi,
Ndani ya majina yale 19 ya wabunge wa viti maalum wa Chadema, walioapishwa, wabunge 5 ni 'vidumu' vya wajumbe wa CC ya Chadema ambao sio vile 'vidumu' vya 'mpango kando', no!, ni vidumu vya cohabitation, mnaishi nyumba moja, mnalala chumba kimoja, kitanda kimoja!, huku mkiishi katika dhana ya ndoa, na kila mtu anawatambua kama mke na mume!, haiwezekani mwenza wako, akaibukia kwenye majina ya viti maalum bila wewe kujua, kisha akaamkia Bungeni Dodoma kuapishwa bila wewe, kujua!, namhurumia sana KM. JJ. Nnyika ni mtu muadilifu sana, lakini hajui, the games people plays!.
Mkuu Patriot missile , asate kwa utambulisho huu, kwenye bandiko hili nilisema wabunge 5 ni vidumu wa watu wa CC ya Chadema, haiwezekani mwenza wako wa pika pakua, mnalala kitanda kimoja, halafu mara ghafla kaibukia bungeni kuapishwaa halafu wewe ujifanye hujui!.
Tutajie na wale 4 waliobakia, nitakushukuru
Ila Chadema never ceases to suprise me!, nilikuwa najua Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, mke wake ni miongoni mwa wale 19, kumbe sio Naibu Katibu Mkuu wa Zanzibar pekee, kumbe hata Naibu Katibu Mkuu bara!.
Kiukweli nyie Chadema mna dhambi!, yaani mtu amejitoa kwako, akuhudumie huduma zile very personal, halafu unakuja kumfukuza kama mbwa!.
Katika chawa na wanafiki ambao hawawezi kusema kweli bali always ni against CHADEMA wakati CCM ndio adui mkubwa wa haki za raia nchini. Angalia chaguzi hii huyu mzee wa karma hawezi kuishushia hukumu ya karma CCM, ila wale wanaoihujumu CHADEMA wasaliti waliohongwa na CCM kuisaliti ndio wako sawa
Mkuu Patriot missile , asate kwa utambulisho huu, kwenye bandiko hili nilisema wabunge 5 ni vidumu wa watu wa CC ya Chadema, haiwezekani mwenza wako wa pika pakua, mnalala kitanda kimoja, halafu mara ghafla kaibukia bungeni kuapishwaa halafu wewe ujifanye hujui!.
Tutajie na wale 4 waliobakia, nitakushukuru
Ila Chadema never ceases to suprise me!, nilikuwa najua Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, mke wake ni miongoni mwa wale 19, kumbe sio Naibu Katibu Mkuu wa Zanzibar pekee, kumbe hata Naibu Katibu Mkuu bara!.
Kiukweli nyie Chadema mna dhambi!, yaani mtu amejitoa kwako, akuhudumie huduma zile very personal, halafu unakuja kumfukuza kama mbwa!.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.