Makamanda wenzangu acheni siasa za maji takataka. Byakanwa alisimamia sheria kuvunja shamba la Mbowe. Tuache kumchafua kisa tu kalamba teuzi

Makamanda wenzangu acheni siasa za maji takataka. Byakanwa alisimamia sheria kuvunja shamba la Mbowe. Tuache kumchafua kisa tu kalamba teuzi

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Someni kifungu cha 57(1) cha sheriya ya mazingira. Mbowe alivunja sheria nchi wala hakuonewa
Screenshot_20230522-171836.jpg
 
Mafisadi kwa makusudi kabisa ,wakisaidiwa na viongozi wa Ardhi wala rushwa ,wanajenga kule mikokoni karibu na daraja la Salender, matokeo yake wanaziba njia ya asili wa ule mkondo wa bahari, matokeo yake walalai hoi wa kuanzia kinondoni Moscow hadi kigogo ni mafuriko kila mwaka,sheria ipo wapi?,mkuu wa shule binafsi anajenga hekalu kwenye hifadhi ya bahari, maisha yanaendelea!,lini middle class wa kitanzania wataanza ku smell roses 🌹?
 
Mimi shida yangu sio byakanwa bali maridhiano ya kijinga anayoyalazimisha Mbowe.
 
Acheni ujinga huyo ni mdogo wake yule anaitwa Blasius ndio hivyo jina lake la mwanzo herufi ni B sio G
 
Back
Top Bottom