Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Kwa kweli kama kuchenjiwa na serikali tumechenjiwa.
Maana haijawahi kutokea kwenye historia ya taifa letu Chadema na watanzania kupata harassment ya namna hii.
Tukiandamana tunapewa kibano, tukifanya makongamano tunapewa kibano, tukifanya jogging tunapewa kibano. Kwa namna hii tuna wakati mgumu kisiasa kuliko nyakati yoyote ya utawawala wa CCM.
My take; tulisifia mapema sana.