Makamanda wenzangu mlipoanza kusifia kuwa mama anaupiga mwingi nikajua mnalitia tembo maji.

Makamanda wenzangu mlipoanza kusifia kuwa mama anaupiga mwingi nikajua mnalitia tembo maji.

Jeshini hakuna siasa ni nidhamu na utii wa sheria, kanuni na miongozi ya huko; ukaidi wa namna yoyote hushughulikiwa bila kupindisha popote kama wanasiasa kuogopa kuchafuka kisiasa

Si Kingai wala Mahita walioyaleta hayo mahakamani kama sehemu ya utetezi wao.

Zaidi sana basi, ilikuwa nini umuhimu wa Mh. Jaji kutaka kujiridhisha baada ya Adamoo kudai aliteswa?

Vipi Kingai na Mahita nao kufika kimanga?

Kama watuhumiwa waliteswa Mh. Jaji na atoe hukumu itakayotoa findisho kwa wote wenye tabia za kutesa watu.
 
Kwa kweli kama kuchenjiwa na serikali tumechenjiwa.

Maana haijawahi kutokea kwenye historia ya taifa letu Chadema na watanzania kupata harassment ya namna hii.

Tukiandamana tunapewa kibano, tukifanya makongamano tunapewa kibano, tukifanya jogging tunapewa kibano. Kwa namna hii tuna wakati mgumu kisiasa kuliko nyakati yoyote ya utawawala wa CCM.

My take; tulisifia mapema sana.
Wapi na lini Chadema walimsifia huyo mtu? Hizo ni drama zenu wenyewe huko CCM.
 
Si Kingai wala Mahita walioyaleta hayo mahakamani kama sehemu ya utetezi wao.

Zaidi sana basi, ilikuwa nini umuhimu wa Mh. Jaji kutaka kujiridhisha baada ya Adamoo kudai aliteswa?

Vipi Kingai na Mahita nao kufika kimanga?

Kama watuhumiwa waliteswa Mh. Jaji na atoe hukumu itakayotoa findisho kwa wote wenye tabia za kutesa watu.
Kutesa ni moja wapo ya sehemu ya njia za uchunguzi kupata taarifa saidizi na elekezi ya matendo yaliyotendeka au kuelekea kutendeka unaoweza kutumika na jeshi dhidi ya adui au polisi dhidi ya uharifu (arbitrary law enforcement)
 
Tukiandamana tunapewa kibano, tukifanya makongamano tunapewa kibano, tukifanya jogging tunapewa kibano. Kwa namna hii tuna wakati mgumu kisiasa kuliko nyakati yoyote ya utawawala wa CCM.
Hii ndiyo ile...ukikimbia chale; ukisimama chale; ukitikisika chale - jako jangu njomba
 
Back
Top Bottom