Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Hahahahahahahaha....Kwa kweli kama kuchenjiwa na serikali tumechenjiwa.
Maana haijawahi kutokea kwenye historia ya taifa letu Chadema na watanzania kupata harassment ya namna hii.
Tukiandamana tunapewa kibano, tukifanya makongamano tunapewa kibano, tukifanya jogging tunapewa kibano. Kwa namna hii tuna wakati mgumu kisiasa kuliko nyakati yoyote ya utawawala wa CCM.
My take; tulisifia mapema sana.
Kwa kweli kama kuchenjiwa na serikali tumechenjiwa.
Maana haijawahi kutokea kwenye historia ya taifa letu Chadema na watanzania kupata harassment ya namna hii.
Tukiandamana tunapewa kibano, tukifanya makongamano tunapewa kibano, tukifanya jogging tunapewa kibano. Kwa namna hii tuna wakati mgumu kisiasa kuliko nyakati yoyote ya utawawala wa CCM.
My take; tulisifia mapema sana.
Heshima kitu cha bure.Njiwa ulifikisha salamu?
View attachment 1960403
Ni wazi kuwa, kwa mwendo huu:
Utesaji wa Dola - Agenda kubwa Uchaguzi ujao
2025 anaisoma.
Heshima kitu cha bure.
Vibano vimezidi sana.Tatizo la hao chadema hawana mbinu za kufanya siasa zinazoendana na wakati. Kisiasa ukiona watu wanasikitika sikitika nao, lakini wao walishangilia watu wengine waliposikitika. Waliwaumiza watu kihisia. Sasa hivi usitegemee raia wasikitikie hivyo vibano wanavyokumbana nanyo.
Ukienda kuweka dhamana na wewe unaunganishwa kwenye kesiKwa kweli kama kuchenjiwa na serikali tumechenjiwa.
Maana haijawahi kutokea kwenye historia ya taifa letu Chadema na watanzania kupata harassment ya namna hii.
Tukiandamana tunapewa kibano, tukifanya makongamano tunapewa kibano, tukifanya jogging tunapewa kibano. Kwa namna hii tuna wakati mgumu kisiasa kuliko nyakati yoyote ya utawawala wa CCM.
My take; tulisifia mapema sana.
Tunaonewa sana.Ukienda kuweka dhamana na wewe unaunganishwa kwenye kesi
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Tatizo la hao chadema hawana mbinu za kufanya siasa zinazoendana na wakati. Kisiasa ukiona watu wanasikitika sikitika nao, lakini wao walishangilia watu wengine waliposikitika. Waliwaumiza watu kihisia. Sasa hivi usitegemee raia wasikitikie hivyo vibano wanavyokumbana nanyo.
Unamaanisha nini?Ujumbe wa kufikisha unajulikana:
View attachment 1960410
Wewe ni huyu:
View attachment 1960414
Baadhi ya wenzako wako hapa CM 1774858, CHIEF MASALAKULANGWA
View attachment 1960411
View attachment 1960412
Kwa mawazo sare sare maua asiyejua kuchagua kabila lake msukuma.
Unamaanisha nini?
Kama ulivyofanya hapo kuhoji alipo Moses ndiyo ubinadamu. Binadamu yeyote mwenye hofu ya Mungu hawezi kufurahia kifo cha mtu yeyote haijalishi mhusika ni muuaji kiasi gani. Kumbuka Kaini alimuua Abel, lakini Mungu alimpa ulinzi asiuawe. Achana na hoja mfu za ukabila, tetea uhai wa kila binadamu.Ujumbe wa kufikisha unajulikana:
View attachment 1960410
Wewe ni huyu:
View attachment 1960414
Baadhi ya wenzako wako hapa CM 1774858, CHIEF MASALAKULANGWA
View attachment 1960411
Kwa mawazo sare sare maua asiyejua kuchagua kabila lake msukuma.
Utesaji utapamba moto kwa kivuli cha sheria za jeshi zinarushus lakini panawezekana kuwepo majaribio ya siri ya kubadili utawala kwa hamaki na ghadhabu za kudhalilishwa.Njiwa ulifikisha salamu?
View attachment 1960403
Ni wazi kuwa, kwa mwendo huu:
Utesaji wa Dola - Agenda kubwa Uchaguzi ujao
2025 anaisoma.
Kama ulivyofanya hapo kuhoji alipo Moses ndiyo ubinadamu. Binadamu yeyote mwenye hofu ya Mungu hawezi kufurahia kifo cha mtu yeyote haijalishi mhusika ni muuaji kiasi gani. Kumbuka Kaini alimuua Abel, lakini Mungu alimpa ulinzi asiuawe. Achana na hoja mfu za ukabila, tetea uhai wa kila binadamu.
Utesaji utapamba moto kwa kivuli cha sheria za jeshi zinarushus lakini panawezekana kuwepo majaribio ya siri ya kubadili utawala kwa hamaki na ghadhabu za kudhalilishwa.
Kawaulize Wamarekani walichofanya Quantanamol.