Uchaguzi 2020 Makamanda wenzangu tutumie akili, NEC inasimamia uchaguzi ili Watanzania wapate maendeleo

Kazi ya tume ni kuhakikisha sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi zinafuatwa, sio kuamua wananchi wasikie nini. Waache wananchi wasikie, wao ndio wataamua.
 
Kusikia sera ambazo zitawaletea maendeleo wananchi. Sio kutoa tuhuma za kizushi. Kamanda tumia akili.
 
Nashangaa sana makamanda wenzangu mnamshambulia Wilson Mahera wa NEC kwa kitendo cha kumuita mgombea wetu kwa kamati ya madili ya taifa.

Je, hamjui kuwa NEC inasimamia uchaguzi ili watanzania wapate maendeleo? Hamjui aliposema watanzaia wanahitaji barabara, sekta ya afya iliyoimalika, sekta ya elimu iliyoimalika na miundo mbinu iliyoimalika. Haya ni maendeleo ya wananchi.

Sasa kama mgombea wetu akisimama jukwaani kazi yake ni kutoa tuhuma za JPM kutokuwa na cheti cha kuzaliwa,kupigwa risasi,ufisadi wa uwanja wa ndege Chato, ufisadi wa ununuzi ndege Atcl n.k. Je hizi ni sera za kuwaletea maendeleo wananchi?

Tuwe wakweli mgombea wetu anatakiwa ajirekebishe sana. Kama anataka urais aseme atatufanyia nini watanzania sio kutuhumu wagombea wenzake.

Je, hizi tuhuma anazozitoa ataweza kuzithibitisha?

Chama mboga mboga maji ya shingo hata waliotakiwa kufanya uchaguzi kuwa huru wameanza kuwa sehemu ya team ya kampeni ya chama mboga mboga baada ya kuona maji yashingo.je bado tutegeemeee hata Imani kidogo iliyobakia kwayo bado ipo kweli ama ndio tayari kuunga mkono juhudi.Wakumbukd amani ya taifa letu ipo mikononi mwao.Tume chonde chonde.Kuteleza sio kuanguka ,tafakari,chukua hatua.
 
Sheria hufuata mkondo kamanda.
 
Kusikia sera ambazo zitawaletea maendeleo wananchi. Sio kutoa tuhuma za kizushi. Kamanda tumia akili.
Sio kazi ya tume.... Tume ijikite kwenye kusimamia sheria na kanuni. Kama amevunja aitwe kujieleza. Swala la sera nzuri au mbaya, sio kazi yao, hilo ni jukumu la wananchi kupima. Wasitupangie
 
Kamanda tofautisha kati ya sera na tuhuma.
 
Nashangaa sana makamanda wenzangu mnamshambulia Wilson Mahera wa NEC kwa kitendo cha kumuita mgombea wetu kwa kamati ya madili ya taifa.

Je, hamjui kuwa NEC inasimamia uchaguzi ili watanzania wapate maendeleo? Hamjui aliposema watanzaia wanahitaji barabara, sekta ya afya iliyoimalika, sekta ya elimu iliyoimalika na miundo mbinu iliyoimalika. Haya ni maendeleo ya wananchi.

Sasa kama mgombea wetu akisimama jukwaani kazi yake ni kutoa tuhuma za JPM kutokuwa na cheti cha kuzaliwa,kupigwa risasi,ufisadi wa uwanja wa ndege Chato, ufisadi wa ununuzi ndege Atcl n.k. Je hizi ni sera za kuwaletea maendeleo wananchi?

Tuwe wakweli mgombea wetu anatakiwa ajirekebishe sana. Kama anataka urais aseme atatufanyia nini watanzania sio kutuhumu wagombea wenzake.

Je, hizi tuhuma anazozitoa ataweza kuzithibitisha?

Nyimbo za zuchu zimeshachuja???
 
Mkurugenzi ana wajibu wa kuvikumbusha vyama vyote kujikiti ktk masuala muhimu yanayo wahusu watanzania wote ni sio kuhamasisha uvunjifu wa amani kama anavyo fanya Mgombea au wagombea wa chadema. lazima awarudishe ktk mstari. kamwe hawezi kuwaachi wagombea wachache wafanye wanavyo jisikia kufanya....ni sawa sawa na hakuna tume
 
Kamanda Asiyechoka mpaka leo hujaelewa kwamba Lisu anasera gani?
Hujasikia juu ya bima?
Hujasikia juu ya sheria kandamizi?
Hujasikia juu ya Madini?
Hujasikia juu ya mazao kama tumbaku, KOROSHO nk?
Hujasikia juu ya nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa umma?
Huja.sikia juu ya kuboresha huduma za elimu?
Peleka ujuha mbele? Ulitaka aongelee tu barabara kama alivyofanya MAGUFULI? Mbona yye haongelei lolote kuhusu ustawi wa watu?
 
Nashangaa sana makamanda wenzangu mnamshambulia Wilson Mahera wa NEC kwa kitendo cha kumuita mgombea wetu kwa kamati ya madili ya taifa.

Je, hamjui kuwa NEC inasimamia uchaguzi ili watanzania wapate maendeleo? Hamjui aliposema watanzaia wanahitaji barabara, sekta ya afya iliyoimalika, sekta ya elimu iliyoimalika na miundo mbinu iliyoimalika. Haya ni maendeleo ya wananchi.

Sasa kama mgombea wetu akisimama jukwaani kazi yake ni kutoa tuhuma za JPM kutokuwa na cheti cha kuzaliwa,kupigwa risasi,ufisadi wa uwanja wa ndege Chato, ufisadi wa ununuzi ndege Atcl n.k. Je hizi ni sera za kuwaletea maendeleo wananchi?

Tuwe wakweli mgombea wetu anatakiwa ajirekebishe sana. Kama anataka urais aseme atatufanyia nini watanzania sio kutuhumu wagombea wenzake.

Je, hizi tuhuma anazozitoa ataweza kuzithibitisha?

Umeongea kwa busara Sana, jiandae kwa mawe kwa wale wasiopenda ukweli.
 
Kamanda wewe ndo kamanda mwenye akili ya kutafakari na kupambanua mambo sio haya manyumbu mengine ya kufata upepo.
Na sisi ambao tukichagua wabunge wa upinzani hatuletewi maendeleo hao NEC wanasemaje?
Wapinzani wana Serikali?. Kama unachagua jitu kazi yake kususa, kutoka bungeni, kupinga budget, kutukana unadhani usaidiweje?. Wewe chagua kisiasa na kishabiki ile kwako. Magu kanyaga twende. Watanzania wooooote tumekuelewa Sanaa.
 
Kama Ni hivyo kwa watumie hela ya wananchi kupitisha wagombea
 
Back
Top Bottom