Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
-
- #21
Sasa mbona muda wote anatoa tuhuma ambazo hata kuthibitisha ni ngumu?Wewe kweli ni kamanda uliyechoka..... wewe ni kiziwi mpaka sasa hujasikia Tundu Lissu amesema atatufanyia nini????
Kusikia sera ambazo zitawaletea maendeleo wananchi. Sio kutoa tuhuma za kizushi. Kamanda tumia akili.Kazi ya tume ni kuhakikisha sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi zinafuatwa, sio kuamua wananchi wasikie nini. Waache wananchi wasikie, wao ndio wataamua.
Chama mboga mboga maji ya shingo hata waliotakiwa kufanya uchaguzi kuwa huru wameanza kuwa sehemu ya team ya kampeni ya chama mboga mboga baada ya kuona maji yashingo.je bado tutegeemeee hata Imani kidogo iliyobakia kwayo bado ipo kweli ama ndio tayari kuunga mkono juhudi.Wakumbukd amani ya taifa letu ipo mikononi mwao.Tume chonde chonde.Kuteleza sio kuanguka ,tafakari,chukua hatua.Nashangaa sana makamanda wenzangu mnamshambulia Wilson Mahera wa NEC kwa kitendo cha kumuita mgombea wetu kwa kamati ya madili ya taifa.
Je, hamjui kuwa NEC inasimamia uchaguzi ili watanzania wapate maendeleo? Hamjui aliposema watanzaia wanahitaji barabara, sekta ya afya iliyoimalika, sekta ya elimu iliyoimalika na miundo mbinu iliyoimalika. Haya ni maendeleo ya wananchi.
Sasa kama mgombea wetu akisimama jukwaani kazi yake ni kutoa tuhuma za JPM kutokuwa na cheti cha kuzaliwa,kupigwa risasi,ufisadi wa uwanja wa ndege Chato, ufisadi wa ununuzi ndege Atcl n.k. Je hizi ni sera za kuwaletea maendeleo wananchi?
Tuwe wakweli mgombea wetu anatakiwa ajirekebishe sana. Kama anataka urais aseme atatufanyia nini watanzania sio kutuhumu wagombea wenzake.
Je, hizi tuhuma anazozitoa ataweza kuzithibitisha?
Sheria hufuata mkondo kamanda.Chama mboga mboga maji ya shingo hata waliotakiwa kufanya uchaguzi kuwa huru wameanza kuwa sehemu ya team ya kampeni ya chama mboga mboga baada ya kuona maji yashingo.je bado tutegeemeee hata Imani kidogo iliyobakia kwayo bado ipo kweli ama ndio tayari kuunga mkono juhudi.Wakumbukd amani ya taifa letu ipo mikononi mwao.Tume chonde chonde.Kuteleza sio kuanguka ,tafakari,chukua hatua.
Sheria za miswada ya hati za dharura kwa maslahi ya wazalendo maslahi,au wazalendo wasio halisii?Sheria hufuata mkondo kamanda.
Naona kama umekosa hoja.Sheria za miswada ya hati za dharura kwa maslahi ya wazalendo maslahi,au wazalendo wasio halisii?
Sio kazi ya tume.... Tume ijikite kwenye kusimamia sheria na kanuni. Kama amevunja aitwe kujieleza. Swala la sera nzuri au mbaya, sio kazi yao, hilo ni jukumu la wananchi kupima. WasitupangieKusikia sera ambazo zitawaletea maendeleo wananchi. Sio kutoa tuhuma za kizushi. Kamanda tumia akili.
Kamanda tofautisha kati ya sera na tuhuma.Sio kazi ya tume.... Tume ijikite kwenye kusimamia sheria na kanuni. Kama amevunja aitwe kujieleza. Swala la sera nzuri au mbaya, sio kazi yao, hilo ni jukumu la wananchi kupima. Wasitupangie
Vipi wanaokimbilia mbeleko badala ya kutafuta ushawishi was kukubalika kwa wapiga kura.Naona kama umekosa hoja.
Jikite kwenye mada.Vipi wanaokimbilia mbeleko badala ya kutafuta ushawishi was kukubalika kwa wapiga kura.
Mada ni vitisho vinavyo Anza kea baadhi ya wagombea au wewe umekuwa ukijibu hoja zipi?Jikite kwenye mada.
Nyimbo za zuchu zimeshachuja???Nashangaa sana makamanda wenzangu mnamshambulia Wilson Mahera wa NEC kwa kitendo cha kumuita mgombea wetu kwa kamati ya madili ya taifa.
Je, hamjui kuwa NEC inasimamia uchaguzi ili watanzania wapate maendeleo? Hamjui aliposema watanzaia wanahitaji barabara, sekta ya afya iliyoimalika, sekta ya elimu iliyoimalika na miundo mbinu iliyoimalika. Haya ni maendeleo ya wananchi.
Sasa kama mgombea wetu akisimama jukwaani kazi yake ni kutoa tuhuma za JPM kutokuwa na cheti cha kuzaliwa,kupigwa risasi,ufisadi wa uwanja wa ndege Chato, ufisadi wa ununuzi ndege Atcl n.k. Je hizi ni sera za kuwaletea maendeleo wananchi?
Tuwe wakweli mgombea wetu anatakiwa ajirekebishe sana. Kama anataka urais aseme atatufanyia nini watanzania sio kutuhumu wagombea wenzake.
Je, hizi tuhuma anazozitoa ataweza kuzithibitisha?
Umeandika nini?Mada ni vitisho vinavyo Anza kea baadhi ya wagombea au wewe umekuwa ukijibu hoja zipi?
Umeongea kwa busara Sana, jiandae kwa mawe kwa wale wasiopenda ukweli.Nashangaa sana makamanda wenzangu mnamshambulia Wilson Mahera wa NEC kwa kitendo cha kumuita mgombea wetu kwa kamati ya madili ya taifa.
Je, hamjui kuwa NEC inasimamia uchaguzi ili watanzania wapate maendeleo? Hamjui aliposema watanzaia wanahitaji barabara, sekta ya afya iliyoimalika, sekta ya elimu iliyoimalika na miundo mbinu iliyoimalika. Haya ni maendeleo ya wananchi.
Sasa kama mgombea wetu akisimama jukwaani kazi yake ni kutoa tuhuma za JPM kutokuwa na cheti cha kuzaliwa,kupigwa risasi,ufisadi wa uwanja wa ndege Chato, ufisadi wa ununuzi ndege Atcl n.k. Je hizi ni sera za kuwaletea maendeleo wananchi?
Tuwe wakweli mgombea wetu anatakiwa ajirekebishe sana. Kama anataka urais aseme atatufanyia nini watanzania sio kutuhumu wagombea wenzake.
Je, hizi tuhuma anazozitoa ataweza kuzithibitisha?
Kamanda wewe ndo kamanda mwenye akili ya kutafakari na kupambanua mambo sio haya manyumbu mengine ya kufata upepo.
Wapinzani wana Serikali?. Kama unachagua jitu kazi yake kususa, kutoka bungeni, kupinga budget, kutukana unadhani usaidiweje?. Wewe chagua kisiasa na kishabiki ile kwako. Magu kanyaga twende. Watanzania wooooote tumekuelewa Sanaa.Na sisi ambao tukichagua wabunge wa upinzani hatuletewi maendeleo hao NEC wanasemaje?
Kama amevunja sheria na kanuni aitwe akajibu. Lakini tume isipangie wagombea waseme nini, mradi wasivunje sheriaKamanda tofautisha kati ya sera na tuhuma.