Uchaguzi 2020 Makamanda wenzangu tutumie akili, NEC inasimamia uchaguzi ili Watanzania wapate maendeleo

Ndugu yangu kiukweli hata kama wewe ni Chadema au Chama chochote kile nakupongeza kwa kusema ukweli. Mgombea anatakiwa kusema yale yaliyo katika ilani ndio yapewe kipaumbele hata katika kusam,bazwa katika mitandao ya kijamii, kuliko shutuma. Leo unalalamika wanahabari hawakavi mikutano yako lakini kama kila siku wakija wanakutana na Mipasho na Vijembe, Kebehi, Dhihaka na kashfa na shutuma pasipo kueleza yaliyo katika ilani ya Chama chake itakavyofanya katika kuongoza wananchi basi anatakiwa arekebishwe.
WENYE UELEWA WAMEKUELEWA
 
Hakuna kamanda wa kweli halafu awe mjinga mjinga kama wewe!
Kazi ya kuchuja na kujua sera zipi zitatufaa wananchi ni ya wananchi wenyewe na uamuzi wao wataufanya siku ya kupiga kura!Hiyo siyo kazi ya NEC kutuamulia watanzania sera zipi ni bora kuliko zipi!

Wasalimu wapumbav wenzako hapo lumumba!
 
Spana zimekubali mnaanza kulialia!Hivi nyie kwa upuuzi wenu mnaelewa kampeni ni nini?Lazima mapungufu na mabovu ya mwenzako uyaanike ili pamoja na agenda zako,wananchi waweze kuona upande wa pili kuna nini!
JPM mbona anazungumza juu ya Lissu kwenye kampeni zake?Mmeshawahi kumwambia hili?Acheni ujinga!
 
Wapinzani wana Serikali?. Kama unachagua jitu kazi yake kususa, kutoka bungeni, kupinga budget, kutukana unadhani usaidiweje?. Wewe chagua kisiasa na kishabiki ile kwako. Magu kanyaga twende. Watanzania wooooote tumekuelewa Sanaa.
Unataka kusema vyama vya upinzani havipaswi kuwepo...?

Je katiba inavitambua au hamna..?

Kama katiba inatambua uwepo wa vyama vingi, JE wewe ni nani upangie watu wachague nani.

Hao majimbo ya upinzani hawalipi kodi.. Kama wanalipa inaenda wapi au kwa nani?

Kazi ya Kodi ni nini..?

Hayo maendeleo anampelekea mbunge au wanachi wote..?

(we ni mjinga hawapo)
 
Hao Ndio UVCCM
nendeni CUF na NCCR
Hapa wanafiki hamna
Kwa muda mrefu wataanza tulikua tunasema
We can't breathe
Lakini Sasa jiwe ndo linasema
I can't breathe
 
the verteller, shairi bora la miaka yote kutoka kwa huyu mwamba.
nyekundu sio nzur hekima, busara na haki vinahitajika ili isitufikie
 
Nend kasaidiane na NEC kumpigia kampeni mgombea wenu wa mabarabara maana kama nec imeamua kusema watanzania wanahitaji barabara ni maajabu

Wajibu wao mkuu wa kuhakikisha uchaguzi unakua huru na wa haki bila kupendelea upande wowote wameuacha pembeni badala yake wameanza nao kumpigia mgombea wenu kampeni, bila kusahau mgombea wenu amekua akivunja sheria nyingi lakini hachukuliwi hatua

Wewe kakojoe ulale, tuache na Lissu tena ukome kutumia logo ya chama chetu kwenye avatar yako, mods mtusidie maana huyu sidhani kama hata ana idhini ya chama kutumia hiyo logo hapo cc JJ mnyika
 
Lissu kumshambulia acting President ni sawa kuonyesha his weakness. Hata kina Trump unasikia wanashambuliwa kwa kutolipa kodi. Sasa sisi hapa Rais ni kama mungumutu fulani asiyetakiwa kuhojiwa.

Sisi bado sana
 
Leo Iringa Polepole katoa amri kama vile yeye ndo NEC eti asipofika nec tutamuonyesha.
 
Kakamanda ka kuchongeshwa kwa maboksi...kamdoli ka ccm.
 
makamanda humu hatuko kama wewe! huku tunajua kuchambua hoja, kujenga hoja na kuona mbele!
Huku hakuna maaluki wala watu dhaifu na wasiofikiri kama wewe! nenda kwenu!
 
Huyo mgombea wenu anayetishia na kufokea wapiga kura ndio sera hizo ?
 
We mahera komaaaa hustahili hiyo nafasi
 
Kweli kabisa hii ni tume huru ya uchaguzi[emoji16][emoji16][emoji16].
Your browser is not able to display this video.


Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…