Makamanda zaidi ya 14 waangamizwa huko Zanjan-Iran!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Wanachama 14 wa IRGC waliuawa na wengine 2 walijeruhiwa katika mlipuko wakati wa kubomolewa kwa mabaki ya mashambulio ya Marekani na Israeli katika Mkoa wa Zanjan.

Mmoja wa waliouawa ni kamanda mkuu wa IRGC Ali Mousavi-Havaei.

Watetezi wa magaidi njooni mkanushe hii habari tuone kama mna ubavu huo.

IMG_20260503_033746_199.jpg
 
Iran kamatieni hapo hapo mpaka kieleweke Hormuz watoe kiasi ama wapite angani
 
Wanachama 14 wa IRGC waliuawa na wengine 2 walijeruhiwa katika mlipuko wakati wa kubomolewa kwa mabaki ya mashambulio ya Marekani na Israeli katika Mkoa wa Zanjan.

Mmoja wa waliouawa ni kamanda mkuu wa IRGC Ali Mousavi-Havaei.

Watetezi wa magaifi njooni mkanushe hii habari tuone kama mna ubavu huo!!!
Fake news. Tatizo lako unaokoteza video you tube afu unakuja kitulisha matango pori
 
Ni jambo jema.
 
Fake news. Tatizo lako unaokoteza video you tube afu unakuja kitulisha matango pori
Mjinga wewe video ya youtube iko wapi hapo?

Magaidi hao sasa ni mizoga Iran wenyewe walificha lakini walipoanza kuoza imebidi watangaze msiba!!

Sasa wewe Mwarabu-koko unatetea nini wakati Iran kuna msiba wa makamanda wao walioangamizwa? Acha uchawa wa kijinga!!
 
Huo muda unaooketeza matango pori ni bora ungekua unafagia hata Barabara zetu mjini ungepata chochote kitu uponye njaa
 
Ndiyo shida ya kuwa Mfuga Midevu na Majini!!!
Unakuwa mjinga kupitiliza!!
 
Back
Top Bottom