Fake news. Tatizo lako unaokoteza video you tube afu unakuja kitulisha matango poriWanachama 14 wa IRGC waliuawa na wengine 2 walijeruhiwa katika mlipuko wakati wa kubomolewa kwa mabaki ya mashambulio ya Marekani na Israeli katika Mkoa wa Zanjan.
Mmoja wa waliouawa ni kamanda mkuu wa IRGC Ali Mousavi-Havaei.
Watetezi wa magaifi njooni mkanushe hii habari tuone kama mna ubavu huo!!!
Ni jambo jema.Wanachama 14 wa IRGC waliuawa na wengine 2 walijeruhiwa katika mlipuko wakati wa kubomolewa kwa mabaki ya mashambulio ya Marekani na Israeli katika Mkoa wa Zanjan.
Mmoja wa waliouawa ni kamanda mkuu wa IRGC Ali Mousavi-Havaei.
Watetezi wa magaifi njooni mkanushe hii habari tuone kama mna ubavu huo!!!
Mjinga wewe video ya youtube iko wapi hapo?Fake news. Tatizo lako unaokoteza video you tube afu unakuja kitulisha matango pori
Huo muda unaooketeza matango pori ni bora ungekua unafagia hata Barabara zetu mjini ungepata chochote kitu uponye njaaMjinga wewe video ya youtube iko wapi hapo?
Magaidi hao sasa ni mizoga Iran wenyewe walificha lakini walipoanza kuoza imebidi watangaze msiba!!
Sasa wewe Mwarabu-koko unatetea nini wakati Iran kuna msiba wa makamanda wao walioangamizwa? Acha uchawa wa kijinga!!