Mganga wa Jadi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2008
- 280
- 51
mmmmmmh,hao wote wanaovaa kofia za kijani????wote wana degree za heshima na wanafanana na Makamba??
Hao wa kijani ndo wanao ushabikia na kuheshimu huo udaktari feki !!!
mmmmmmh,hao wote wanaovaa kofia za kijani????wote wana degree za heshima na wanafanana na Makamba??
Michelle mtu aliye kwenye hali ya maombolezo kama ndugu zetu wa Arusha hauwezi kumwambia mambo ya DOWANS, akakuelewa kwa sasa na hali hii imesababishwa, na Dr Makamba, Dr Kikwete na wenzao kama Mwema et al.safari hii mtajibeba na hizo cheap generalization na arguments ( Sitta,Salim Ahmed Salim, Mwakyembe,Magufuli,Tibaijuka na hao wote wanachama milioni ngapi wanashobokea Doctorate feki????suala la Kikwete mfano kupewa Degree ya heshima linailetea vipi nchi shida,mtu kama hana uwezo na Makamba wake msiseme wanachama wa CCM,kwani sie ndo tulimpa,si alipewa na vyuo vikuu tena kingine cha nje ya nchi?????Tunaacha kujadili DOWANS,Katiba,ufisadi unaoendelea tunaleta thread za Degree za heshima? zinatulisha sisi au kutuletea pembejeo za kilimo na madawa hospitali,kujenga barabara??? NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK,many of the CCM members do not even know that he has that doctorate.
waganga hu_award u_prof moja kwa moja kwsbb heshima yenu ipo juu, ndo maana majina yenu yanaanza kama vile prof. Maji marefu n.k_mpe nae u_prof mana mganga mwenzio yule wa NkoogweKutokana na kauli zake za hovyo na vitendo vyake visivyoendana na umri na cheo alicho nacho, nina mtunuku huyu bwana udaktari wa heshima, naye aheshimiwe na wapuuzi wenzake wanaovaa nguo na kofia za kijani, na kuongeza list ndefu ya ma daktari feki akimfuatia yule mkwere wa magogoni.
Hongera sana Dr Yusuf Makamba
nami namtunuku Degree ya Heshima atakuwa Dr Dr Dr Dr.......................Yusuph Makamba.
sasa unabisha???u among f em???mmmmmmh,hao wote wanaovaa kofia za kijani????wote wana degree za heshima na wanafanana na Makamba??
mmmmmmh,hao wote wanaovaa kofia za kijani????wote wana degree za heshima na wanafanana na Makamba??
nami namtunuku Degree ya Heshima atakuwa Dr Dr Dr Dr.......................Yusuph Makamba.
safari hii mtajibeba na hizo cheap generalization na arguments ( Sitta,Salim Ahmed Salim, Mwakyembe,Magufuli,Tibaijuka na hao wote wanachama milioni ngapi wanashobokea Doctorate feki????suala la Kikwete mfano kupewa Degree ya heshima linailetea vipi nchi shida,mtu kama hana uwezo na Makamba wake msiseme wanachama wa CCM,kwani sie ndo tulimpa,si alipewa na vyuo vikuu tena kingine cha nje ya nchi?????Tunaacha kujadili DOWANS,Katiba,ufisadi unaoendelea tunaleta thread za Degree za heshima? zinatulisha sisi au kutuletea pembejeo za kilimo na madawa hospitali,kujenga barabara??? NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK,many of the CCM members do not even know that he has that doctorate.
Kumbe na wewe ni Dr michelle? mhhuuu? teh teh teh tehsafari hii mtajibeba na hizo cheap generalization na arguments ( Sitta,Salim Ahmed Salim, Mwakyembe,Magufuli,Tibaijuka na hao wote wanachama milioni ngapi wanashobokea Doctorate feki????suala la Kikwete mfano kupewa Degree ya heshima linailetea vipi nchi shida,mtu kama hana uwezo na Makamba wake msiseme wanachama wa CCM,kwani sie ndo tulimpa,si alipewa na vyuo vikuu tena kingine cha nje ya nchi?????Tunaacha kujadili DOWANS,Katiba,ufisadi unaoendelea tunaleta thread za Degree za heshima? zinatulisha sisi au kutuletea pembejeo za kilimo na madawa hospitali,kujenga barabara??? NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK,many of the CCM members do not even know that he has that doctorate.