Makamba apewe udaktari wa heshima!

Makamba apewe udaktari wa heshima!

Mganga wa Jadi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2008
Posts
280
Reaction score
51
Kutokana na kauli zake za hovyo na vitendo vyake visivyoendana na umri na cheo alicho nacho, nina mtunuku huyu bwana udaktari wa heshima, naye aheshimiwe na wapuuzi wenzake wanaovaa nguo na kofia za kijani, na kuongeza list ndefu ya ma daktari feki akimfuatia yule mkwere wa magogoni.
Hongera sana Dr Yusuf Makamba
 
mmmmmmh,hao wote wanaovaa kofia za kijani????wote wana degree za heshima na wanafanana na Makamba??
 
Hao wa kijani ndo wanao ushabikia na kuheshimu huo udaktari feki !!!

safari hii mtajibeba na hizo cheap generalization na arguments ( Sitta,Salim Ahmed Salim, Mwakyembe,Magufuli,Tibaijuka na hao wote wanachama milioni ngapi wanashobokea Doctorate feki????suala la Kikwete mfano kupewa Degree ya heshima linailetea vipi nchi shida,mtu kama hana uwezo na Makamba wake msiseme wanachama wa CCM,kwani sie ndo tulimpa,si alipewa na vyuo vikuu tena kingine cha nje ya nchi?????Tunaacha kujadili DOWANS,Katiba,ufisadi unaoendelea tunaleta thread za Degree za heshima? zinatulisha sisi au kutuletea pembejeo za kilimo na madawa hospitali,kujenga barabara??? NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK,many of the CCM members do not even know that he has that doctorate.
 
mmmmmmh,hao wote wanaovaa kofia za kijani????wote wana degree za heshima na wanafanana na Makamba??

Ndio wanaongozwa na kiranja wao mkuu JK! Kama anawakumbatia wale wenye degree feki na kuendelea kuwapa uwaziri kama Mary Nagu, Nchimbi na wengine, atashindwaje kushabikia degree za mezani? Mkwere ndio anayewafanya wafuasi na wanachama wake kuendekeza hayo! Mara leo kapewa degree ya heshima Mhimbili, mara UDOM kesho utasikia Mlimani-Engineering! Wacha tuvute subira!!
 
na mimi nampa u-dr. wa kuropoka an rasmi atakuwa anaitwa Dr. Dr. Yusuph Makamba.
 
nami namtunuku Degree ya Heshima atakuwa Dr Dr Dr Dr.......................Yusuph Makamba.
 
safari hii mtajibeba na hizo cheap generalization na arguments ( Sitta,Salim Ahmed Salim, Mwakyembe,Magufuli,Tibaijuka na hao wote wanachama milioni ngapi wanashobokea Doctorate feki????suala la Kikwete mfano kupewa Degree ya heshima linailetea vipi nchi shida,mtu kama hana uwezo na Makamba wake msiseme wanachama wa CCM,kwani sie ndo tulimpa,si alipewa na vyuo vikuu tena kingine cha nje ya nchi?????Tunaacha kujadili DOWANS,Katiba,ufisadi unaoendelea tunaleta thread za Degree za heshima? zinatulisha sisi au kutuletea pembejeo za kilimo na madawa hospitali,kujenga barabara??? NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK,many of the CCM members do not even know that he has that doctorate.
Michelle mtu aliye kwenye hali ya maombolezo kama ndugu zetu wa Arusha hauwezi kumwambia mambo ya DOWANS, akakuelewa kwa sasa na hali hii imesababishwa, na Dr Makamba, Dr Kikwete na wenzao kama Mwema et al.
 
Kutokana na kauli zake za hovyo na vitendo vyake visivyoendana na umri na cheo alicho nacho, nina mtunuku huyu bwana udaktari wa heshima, naye aheshimiwe na wapuuzi wenzake wanaovaa nguo na kofia za kijani, na kuongeza list ndefu ya ma daktari feki akimfuatia yule mkwere wa magogoni.
Hongera sana Dr Yusuf Makamba
waganga hu_award u_prof moja kwa moja kwsbb heshima yenu ipo juu, ndo maana majina yenu yanaanza kama vile prof. Maji marefu n.k_mpe nae u_prof mana mganga mwenzio yule wa Nkoogwe
 
nami namtunuku Degree ya Heshima atakuwa Dr Dr Dr Dr.......................Yusuph Makamba.

open ur eyes n c wat makamba z doin... Amekipoteza chama, anakipeleka kubaya,,, im nt too much into politix, but kwa kauli anazozitoa makamba, hapana!!!!!:...angalia jinsi gani ccm inazidi kushukuka
 
CCM kuna wafuga majini na waganga wa kienyeji wengi! Dr + Dr + Dr nk!
 
safari hii mtajibeba na hizo cheap generalization na arguments ( Sitta,Salim Ahmed Salim, Mwakyembe,Magufuli,Tibaijuka na hao wote wanachama milioni ngapi wanashobokea Doctorate feki????suala la Kikwete mfano kupewa Degree ya heshima linailetea vipi nchi shida,mtu kama hana uwezo na Makamba wake msiseme wanachama wa CCM,kwani sie ndo tulimpa,si alipewa na vyuo vikuu tena kingine cha nje ya nchi?????Tunaacha kujadili DOWANS,Katiba,ufisadi unaoendelea tunaleta thread za Degree za heshima? zinatulisha sisi au kutuletea pembejeo za kilimo na madawa hospitali,kujenga barabara??? NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK,many of the CCM members do not even know that he has that doctorate.

We Mdada nakuzimia? Nipe contact bana kama hujaolewa
 
Kwa spidi hii by 2022 viongozi wote wa ccm nwatakuwa na degree za heshima. Kwa mfano tutakuwa na Dr. Tambwe Hiza, Dr. Mary Chitanda, , Dr. Lowassa, Dr. Vicki Kamata, Dr. Saidi Mwema, Dr. Aden Rage, nk. Hii itaongeza saana hadhi ya chama.
 
safari hii mtajibeba na hizo cheap generalization na arguments ( Sitta,Salim Ahmed Salim, Mwakyembe,Magufuli,Tibaijuka na hao wote wanachama milioni ngapi wanashobokea Doctorate feki????suala la Kikwete mfano kupewa Degree ya heshima linailetea vipi nchi shida,mtu kama hana uwezo na Makamba wake msiseme wanachama wa CCM,kwani sie ndo tulimpa,si alipewa na vyuo vikuu tena kingine cha nje ya nchi?????Tunaacha kujadili DOWANS,Katiba,ufisadi unaoendelea tunaleta thread za Degree za heshima? zinatulisha sisi au kutuletea pembejeo za kilimo na madawa hospitali,kujenga barabara??? NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK,many of the CCM members do not even know that he has that doctorate.
Kumbe na wewe ni Dr michelle? mhhuuu? teh teh teh teh
 
profesa jk,mrisho......................hahahaahahaaaaaaaaaa.....kagundua
 
Back
Top Bottom