Sitetei wala me si mnufaika, kinachotakiwa ni kujikita kwenye kuzalisha umeme kwa bei nafuu zaidi na kuondoka kwenye mikataba kandamizi na si kuzidi kumumizi mwenye kipato cha chini.Usitetee hii tarrif inaua shirika hata Kama inakunufaisha wewe binafsi
Good pointSitetei wala me si mnufaika, kinachotakiwa ni kujikita kwenye kuzalisha umeme kwa bei nafuu zaidi na kuondoka kwenye mikataba kandamizi na si kuzidi kumumizi mwenye kipato cha chini.
We ni kihiyo, umeongea takatakaMtoa post hakuna unachokijua. Ukitumia umeme zaidi ya unit 75 kushuka chini automatic umemem unaununua kwa 100 kwa kila unit. Kuanzia 76 ndo inakuwa 200kwa unit. Ukijua kucheza na vyombo vyako unit 75 ni nyingi sana. Kwangu mm nazitumia haziishi kwa mwezi
Kazi ninazofanya na umeme ni kupikia, kupasi nguo, fridge inawaka 24 hrs, na bado nabakiwa na umeme mwingi tu mwisho wa mwezi. Familia yangu tupo 6
Wawekezaji/mabeberu, ambao wana visima mtwara na huwa wanaiuzia Gesi serikali kupitia Tpdc na Tpdc ndo wanaiuzia tanesco Ili kuzalishia umeme kinyerezi.Nani anamilikj gesi ya kinyerezi?
Povu limekutoka kumbe hata hujui ulichokiandika, ni tajiri gani anaweza kuwa na sifa ya kutumia tarrif 4??yaani tajiri huyo aweze kutumia units 75 tu kwa mwezi?wastani wa units 2.5 kwa siku haaaa??matumizi hayo ni ya mtu mnyonge sana, ambaye sana sana anatumia tv , taa, pasi hata friji hawezi kulitumia !!!huyo tajiri gani wa kutumia units 2.5 kwa siku??AC, tu hizo ni ndani ya masaa tu zimekwisha, sembuse nyumba nzima?Na huo mfumo ukizidisha tu matumizi unakutoa.Hii tarif 4 ambapo umeme unanunua unit 1 shilingi 100 ni hasara kwa shirika, kwani Bei ya umeme tanesco anauziwa 200 kwenda juu yeye anawapa watu kwa shilingi 100 kigezo ni umasikini na matumizi madogo.
Matajiri na watu wenye uchumi juu ndo wanaongoza kwa kuwa tarrif hii, huku mikoa inayoongoza kwa wateja wanaonunua umeme kwa 100, ikiwa ni Daresalaama,Arusha, Kilimanjaro, mbeya na mwanza, mikoa ambayo watu wanapesa kuliko, hii tarrif itaua shirika
Pia tarif 6 hii wanapewa wafanyakazi wa TANESCO , shirika linatumia zaidi ya Bilioni moja 1 kila Mwezi kuwapa wafanyakazi umeme wa ofa , shirika halitakaa likue
Ndio maana wakisikia muungano wa serikali tatu kule kisiwani wanakukata kichwa. Maana wanajua bila Bara hakuna pa kula.Tukisema mikoa ya kask hasa Kilimanjaro ilipendelewa sana na watu kula pakubwa kuliko mikoa mingine baadhi wanabisha, ukiacha hiyo mikoa ambayo ni majiji ni kwanini iwe Kilimanjaro? Upendeleo nchi hii ni afadhari twende kwenye serikali ya majimbo make kuna wanaokula vya wenzao sana
Basai wote tuuziwe sh 12 kwa unitBadala ya kujiuliza kwanini wauziwe kwa Tshs 200/= au wafanye nini kupunguza costs za uzalishaji au kumiliki uzalishaji kuliko kununua wewe unawaza waongeze bei ?
Au unataka watu warudi kutumia koroboi hence kuharibu mazingira na afya zao ? Kumbuka Tanesco haipo pale to make as much money as possible bali ni kutoa service as practically possible...
Kimekuuma nini? Ulikosa vigezo nini ndo povu
Pan African EnergyWanauziwa na Songas, pia Gesi ya kuzalisha kinyerezi wanauziwa na wenye Gesi kupitia Tpdc
Badala ya kujiuliza kwanini wauziwe kwa Tshs 200/= au wafanye nini kupunguza costs za uzalishaji au kumiliki uzalishaji kuliko kununua wewe unawaza waongeze bei ?
Au unataka watu warudi kutumia koroboi hence kuharibu mazingira na afya zao ? Kumbuka Tanesco haipo pale to make as much money as possible bali ni kutoa service as practically possible...
Unaye andika haya usha wahi kutafakari RISK walizo nazo fanyakazi wa Tanesco kwa
Aina ya kazi zao?
Acheni roho za kimasikini kila mfanyakazi ana bonus yake sehemu ya kazi. Sehemu nyingi za kazi wafanyakazi wana pewa BONUS ,TBL wana pewa bia kila mwisho wa Mwezi,Sigara wana pewa sigara kamo bonus,Kampuni za Simu wana pewa airtime,Saruji wana li