Makamba futa tarif 4 na tarrif 6, ambapo Bei ya unit moja ni sh 100 na sh 12 ilihali TANESCO wanaonunua zaidi ya 200

Makamba futa tarif 4 na tarrif 6, ambapo Bei ya unit moja ni sh 100 na sh 12 ilihali TANESCO wanaonunua zaidi ya 200

Usitetee hii tarrif inaua shirika hata Kama inakunufaisha wewe binafsi
Sitetei wala me si mnufaika, kinachotakiwa ni kujikita kwenye kuzalisha umeme kwa bei nafuu zaidi na kuondoka kwenye mikataba kandamizi na si kuzidi kumumizi mwenye kipato cha chini.
 
Sitetei wala me si mnufaika, kinachotakiwa ni kujikita kwenye kuzalisha umeme kwa bei nafuu zaidi na kuondoka kwenye mikataba kandamizi na si kuzidi kumumizi mwenye kipato cha chini.
Good point
 
Mtoa post hakuna unachokijua. Ukitumia umeme zaidi ya unit 75 kushuka chini automatic umemem unaununua kwa 100 kwa kila unit. Kuanzia 76 ndo inakuwa 200kwa unit. Ukijua kucheza na vyombo vyako unit 75 ni nyingi sana. Kwangu mm nazitumia haziishi kwa mwezi
Kazi ninazofanya na umeme ni kupikia, kupasi nguo, fridge inawaka 24 hrs, na bado nabakiwa na umeme mwingi tu mwisho wa mwezi. Familia yangu tupo 6
 
We ni kihiyo, umeongea takataka
 
Hiyo tarrif 6 ya shilling 12 kwa unit kwa wafanyakazi wa tanesco ndio mbaya kabisa! Tarrif 4 sawa kabisa kwa maskini iendelee.
 
Watakuwa ni wajinga kama miaka yote hiyo hawana hata mitambo ya kwao wanategemea kununua umeme wenyewe
 
Mkumbuke asilimia kubwa ya watanzania Vijijini hawana umeme...umeme wanagawina watu wa mijini na sehemu kidogoooo za vijijini... Ubaguzi ni mkubwa sana
 
Nachukua sana shirika la TANESCO ila sina la kufanya basi ipo siku tu maana hata TTCL waliwahi kuwa wanaringa sana....leo wanabembeleza sana wateja japo wateja hawana muda na TTCL....hata vizazi vijavyo ipo siku TANESCO itakuwa useless kwenye jamii ya watanzania
 
Nani anamilikj gesi ya kinyerezi?
Wawekezaji/mabeberu, ambao wana visima mtwara na huwa wanaiuzia Gesi serikali kupitia Tpdc na Tpdc ndo wanaiuzia tanesco Ili kuzalishia umeme kinyerezi.
Gesi ya Songas wanachimba wenyewe mabeberu na kuzalisha umeme na kuwauzia tanesco ambapo tanesco wanaonunua umeme na kulipa kapasiti chaji
 
Hii tarif 4 ambapo umeme unanunua unit 1 shilingi 100 ni hasara kwa shirika, kwani Bei ya umeme tanesco anauziwa 200 kwenda juu yeye anawapa watu kwa shilingi 100 kigezo ni umasikini na matumizi madogo.

Matajiri na watu wenye uchumi juu ndo wanaongoza kwa kuwa tarrif hii, huku mikoa inayoongoza kwa wateja wanaonunua umeme kwa 100, ikiwa ni Daresalaama,Arusha, Kilimanjaro, mbeya na mwanza, mikoa ambayo watu wanapesa kuliko, hii tarrif itaua shirika

Pia tarif 6 hii wanapewa wafanyakazi wa TANESCO , shirika linatumia zaidi ya Bilioni moja 1 kila Mwezi kuwapa wafanyakazi umeme wa ofa , shirika halitakaa likue
Povu limekutoka kumbe hata hujui ulichokiandika, ni tajiri gani anaweza kuwa na sifa ya kutumia tarrif 4??yaani tajiri huyo aweze kutumia units 75 tu kwa mwezi?wastani wa units 2.5 kwa siku haaaa??matumizi hayo ni ya mtu mnyonge sana, ambaye sana sana anatumia tv , taa, pasi hata friji hawezi kulitumia !!!huyo tajiri gani wa kutumia units 2.5 kwa siku??AC, tu hizo ni ndani ya masaa tu zimekwisha, sembuse nyumba nzima?Na huo mfumo ukizidisha tu matumizi unakutoa.
 
Tukisema mikoa ya kask hasa Kilimanjaro ilipendelewa sana na watu kula pakubwa kuliko mikoa mingine baadhi wanabisha, ukiacha hiyo mikoa ambayo ni majiji ni kwanini iwe Kilimanjaro? Upendeleo nchi hii ni afadhari twende kwenye serikali ya majimbo make kuna wanaokula vya wenzao sana
Ndio maana wakisikia muungano wa serikali tatu kule kisiwani wanakukata kichwa. Maana wanajua bila Bara hakuna pa kula.
 
Badala ya kujiuliza kwanini wauziwe kwa Tshs 200/= au wafanye nini kupunguza costs za uzalishaji au kumiliki uzalishaji kuliko kununua wewe unawaza waongeze bei ?

Au unataka watu warudi kutumia koroboi hence kuharibu mazingira na afya zao ? Kumbuka Tanesco haipo pale to make as much money as possible bali ni kutoa service as practically possible...
 
Basai wote tuuziwe sh 12 kwa unit
 
Kimekuuma nini? Ulikosa vigezo nini ndo povu

Hawa ndo wale wapiga deal, inaonekana ni mmojawapo wa wauza Unit kwa Tanesco so wanaangalia namna ya upigaji Mtanzania aumizwe tena kwa mara nyingine!

Nchi nyingine wanaangalia namna ya kufanya umeme uwe na nafuu mijitu mingine inapiga kampeni ya kuongeza bei ya umeme!!

Madalali wana matatizo makubwa sana. Mh Rais Samia usikubaliane na hili jambo kama Hayati Magufuli alivyopigania umeme nafuu kwa watanzania pita nyayo hizo hizo,

Naona kuna watu wanaanza kukuchonganisha kwa maslahi yao binafsi!!

Inabidi Nyerere Dam imelizike haraka haraka tuachane na hawa madalali!!
 
Badala ya kujiuliza kwanini wauziwe kwa Tshs 200/= au wafanye nini kupunguza costs za uzalishaji au kumiliki uzalishaji kuliko kununua wewe unawaza waongeze bei ?

Au unataka watu warudi kutumia koroboi hence kuharibu mazingira na afya zao ? Kumbuka Tanesco haipo pale to make as much money as possible bali ni kutoa service as practically possible...

Mkuu hizi akili za watu wengine za kipuuzi sana. Nahisi huyu ni dalali wa wauza Unit kwa Tanesco wanaangalia upigaji mpya!!

Nafikiri angesema tanesco wapunguziwe bei iwe chini zaidi kwa mtumiaji, yeye kang'ang'ana wapandishe bei!

Ngoja bwawa la Nyerere likamilike ndo mtajua hamjui!
 
Walimu wanapewa nini? Manake hata tuition ni marufuku
Unaye andika haya usha wahi kutafakari RISK walizo nazo fanyakazi wa Tanesco kwa
Aina ya kazi zao?

Acheni roho za kimasikini kila mfanyakazi ana bonus yake sehemu ya kazi. Sehemu nyingi za kazi wafanyakazi wana pewa BONUS ,TBL wana pewa bia kila mwisho wa Mwezi,Sigara wana pewa sigara kamo bonus,Kampuni za Simu wana pewa airtime,Saruji wana li
 
Back
Top Bottom