Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Ninyi toshekeni na mishahara yenu na muache kuiibia serikaliNa sisi TRA tusamehewe KODI ya mapato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninyi toshekeni na mishahara yenu na muache kuiibia serikaliNa sisi TRA tusamehewe KODI ya mapato
Kwani tanesco wananunua umeme kutoka kwa nani?Hii tarif 4 ambapo umeme unanunua unit 1 shilingi 100 ni hasara kwa shirika, kwani Bei ya umeme tanesco anauziwa 200 kwenda juu yeye anawapa watu kwa shilingi 100 kigezo ni umasikini na matumizi madogo. Matajiri na watu wenye uchumi juu ndo wanaongoza kwa kuwa tarrif hii, huku mikoa inayoongoza kwa wateja wanaonunua umeme kwa 100 , ikiwa ni Daresalaama,Arusha, Kilimanjaro, mbeya na mwanza, mikoa ambayo watu wanapesa kuliko, hii tarrif itaua shirika
Pia tarif 6 hii wanapewa wafanyakazi wa TANESCO , shirika linatumia zaidi ya Bilioni moja 1 kila Mwezi kuwapa wafanyakazi umeme wa ofa , shirika halitakaa likue
Wanauziwa na Songas, pia Gesi ya kuzalisha kinyerezi wanauziwa na wenye Gesi kupitia TpdcKwani tanesco wananunua umeme kutoka kwa nani?
Sina habari kama shirika lilishabinafsishwa
Kimekuuma nini? Ulikosa vigezo nini ndo povuHii tarif 4 ambapo umeme unanunua unit 1 shilingi 100 ni hasara kwa shirika, kwani Bei ya umeme tanesco anauziwa 200 kwenda juu yeye anawapa watu kwa shilingi 100 kigezo ni umasikini na matumizi madogo. Matajiri na watu wenye uchumi juu ndo wanaongoza kwa kuwa tarrif hii, huku mikoa inayoongoza kwa wateja wanaonunua umeme kwa 100 , ikiwa ni Daresalaama,Arusha, Kilimanjaro, mbeya na mwanza, mikoa ambayo watu wanapesa kuliko, hii tarrif itaua shirika
Pia tarif 6 hii wanapewa wafanyakazi wa TANESCO , shirika linatumia zaidi ya Bilioni moja 1 kila Mwezi kuwapa wafanyakazi umeme wa ofa , shirika halitakaa likue
Hii tarif 4 ambapo umeme unanunua unit 1 shilingi 100 ni hasara kwa shirika, kwani Bei ya umeme tanesco anauziwa 200 kwenda juu yeye anawapa watu kwa shilingi 100 kigezo ni umasikini na matumizi madogo. Matajiri na watu wenye uchumi juu ndo wanaongoza kwa kuwa tarrif hii, huku mikoa inayoongoza kwa wateja wanaonunua umeme kwa 100 , ikiwa ni Daresalaama,Arusha, Kilimanjaro, mbeya na mwanza, mikoa ambayo watu wanapesa kuliko, hii tarrif itaua shirika
Pia tarif 6 hii wanapewa wafanyakazi wa TANESCO , shirika linatumia zaidi ya Bilioni moja 1 kila Mwezi kuwapa wafanyakazi umeme wa ofa , shirika halitakaa likue
Kimekuuma nini? Ulikosa vigezo nini ndo povu
Wabongo bwana!! Badala ya kulia umeme wa majumbani ushushwe bei nyie mna taka bei zirnde juu ati Tanesco wana pata hadara. Jema kwenu nyie ni lipi??
Sijui unamaanisha nini unaposema wenye vipato; lakini kama kuna watu kwenye middle income bracket wanaotumia chini ya unit 75 kwa mwezi watakuwa watu wa ajabu sana.Ni kweli tariff hiyo ya sh 100 wanaoitumia wengi ni wenye vipato, ifutwe tu maana ni hasara kwa shirika,
Acha povu lisilo na mantiki, hiyo tariff imewekewa hiyo Kilimanjaro tu au ni sera ya shirika Kwa nchi nzima? Kama huko kwenu ni mbumbumbu hamjui kutumia fursa Kama hizo tulia.Tukisema mikoa ya kask hasa Kilimanjaro ilipendelewa sana na watu kula pakubwa kuliko mikoa mingine baadhi wanabisha, ukiacha hiyo mikoa ambayo ni majiji ni kwanini iwe Kilimanjaro? Upendeleo nchi hii ni afadhari twende kwenye serikali ya majimbo make kuna wanaokula vya wenzao sana
Nimemshangaa huyu jamaa mkuuWabongo bwana!! Badala ya kulia umeme wa majumbani ushushwe bei nyie mna taka bei zirnde juu ati Tanesco wana pata hadara. Jema kwenu nyie ni lipi??
Kiwango gani cha umeme unatoka kwenye gas?Ukiangalia kwa undani utagundua mabeberu bado ndo wanatuuzia Gesi kuendesha mitambo ya kuzalisha umeme kwahiyo kiufupi Bei ya umeme inapangwa na mabeberu ya Gesi songas na kinyerezi. Cc ni tuna kauli kwenye vubwawa tu hivo
Ina maana we ndo unajua sanaaaa Sana kuliko wahusika? Kwa mfano Mimi ninatumia Unit 20 kwa mwezi unataka nilipe mabilioni??????Sheria na kanuni za kijinga ndizo zinazosababisha wizi,rushwa na hujuma kila kona ya nchi.
Hivi kuna tatizo gani kwa bei ya umeme kuwa sawa kwa watumiaji wote.
Kama mtu ana matumizi makubwa atatumia zaidi na atanunua zaidi.
Mwenye matumizi madogo atatumia kidogo sio kupunguziwa bei tena kwa kufanya dili.
Yaani kwa bei hizo zinawafanya watu ndani ya Tanesco kupiga rushwa toka kwa wenye pesa ili wawekewe tarifu za chini kabisa wanunue umeme kwa bei ndogo.
Lakini Pia wafanyakazi wa Tanesco wanawaibia watanzania umeme.
Wafanyakazi wa Tanesco wengi hawanunui umeme wanapewa umeme mwingi sana kama bonas.
Sasa kwa wingi wao nadhani shirika ni lazima lipate hasara.
Hiyo ipo pia kwenye Mafuta ya Petroli ,diseli na mafuta ya taa.
Serikali inapata hadara kubwa sana kwa ujinga tu wa watu wabinafsi wasiojali maslahi ya taifa zaidi ya maslahi binafsi na siasa za kijinga.
Mafuta ya taa yanachanganywa sana na mafuta mengine kwa kuchakachua kwa sababu yana ushuru mdogo ukilinganisha na petrol. Sasa unajiuliza kwa nini kodi ya Mafuta ya taa isiwe juu ili kuondoa suala zima la kuchakachua na kuingiza taifa kwenye hasara ya kuwalipa wapiga dili ndani ya Ewura?
Simple ilikua umeme bei moja na Petrol ,diseli na mafuta ya taa yote bei moja 2300/- kwa mfano.
Mbona bando kwenye simu kila mmoja anapiga kwa gaharama inayotokana na matumizi ya na sio uwezo wa mtu eti ,kundi la kipato Fulani wakipiga simu au wakiweka bando bei iwe chini na wengine bei iwe juu.
Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
WhileNimemshangaa huyu jamaa mkuu
Tanesco wanaaccount humu wake Kujibu , wakisikia vitu vinawagusa wanakula kimyaKiwango gani cha umeme unatoka kwenye gas?
This is double standards. Nashauri wafanyakazi wa Tanesco waongezwe mishahara, ila kila mtu anunue umeme kwa bei moja, kama niliwahi kushauri kwenye kodi, viongozi ambao hawalipi kodi, waongezwe mishahara, walipe kodi, wote tulipe kodi.Hii tarif 4 ambapo umeme unanunua unit 1 shilingi 100 ni hasara kwa shirika, kwani Bei ya umeme tanesco anauziwa 200 kwenda juu yeye anawapa watu kwa shilingi 100 kigezo ni umasikini na matumizi madogo.
Matajiri na watu wenye uchumi juu ndo wanaongoza kwa kuwa tarrif hii, huku mikoa inayoongoza kwa wateja wanaonunua umeme kwa 100, ikiwa ni Daresalaama,Arusha, Kilimanjaro, mbeya na mwanza, mikoa ambayo watu wanapesa kuliko, hii tarrif itaua shirika
Pia tarif 6 hii wanapewa wafanyakazi wa TANESCO , shirika linatumia zaidi ya Bilioni moja 1 kila Mwezi kuwapa wafanyakazi umeme wa ofa , shirika halitakaa likue
Usitetee hii tarrif inaua shirika hata Kama inakunufaisha wewe binafsiTuache roho za umasikini na roho mbaya zisizo na sababu. Kila mtanzania anafursa ya kuwa kwenye hii Tarif. Mtoa mada anadanganya kuwa Matajiri ndo walioko kwenye hii tarif kitu ambacho ni uongo.
Kujibana kwa mtu mwenye nyumba kubwa pamoja na vifaa vya umeme kama pasi fridge na vingine ili kubakia kwenye hii tarifu ni ngumau sana. Ukweli watu wa kipato cha chini wanatumia umeme kidogo kwa ajili ya mwanga tv na matumizi madogo.
Tumia umeme kwa kujiongezea kipato. Usijaribu kubana shuhuli za uzalishaji ili kurudi tarif zero kwani utakuwa hautumii umeme kujiongezea kipato.
Uamuzi ni wako kuwa tarif zero. Kunahuduma nyingi tu ambazo unazipata kwa bei ya chini kwasababu tu serikali imeshaweka ufadhili wake. Hii ndo kazi ya serikali kusaidia wasio jiweza. Tusifanye kila kitu kiwe biashara.
Kaka Mayalla hii umeongea Bonge la point, win win situationThis is double standards. Nashauri wafanyakazi wa Tanesco waongezwe mishahara, ila kila mtu anunue umeme kwa bei moja, kama niliwahi kushauri kwenye kodi, viongozi ambao hawalipi kodi, waongezwe mishahara, Felipe kodi, wote tulipe kodi.
PKuepuka Double Standards ya Kodi, Nashauri Rais Uongezwe Mshahara, Ili Alipe Kodi, Wote Tulipe Kodi!
Wanabodi, Mafundisho yote ya dini yanafundisha kuwa "Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu", kwa lengo la kuwathibitishia waumini wote wa dini zote kuwa tawala zozote zilizo madarakani kwa mujibu wa sheria, zimeweza kuingia madarakani kwa baraka na ridhaa ya Mungu...www.jamiiforums.com