Tetesi: Makamba hakurejesha fomu, alindwa

Status
Not open for further replies.
Huyo Ndiye Mkuu Wa Timu Yake Ya Tehama, Ilivyokuwa Pale Mlimani City "Wakihesabu ", Kipindi Cha Uchaguzi Mkuu!! Hakuna Mtu Mwenye Uwezo Wa Kumfuta Kazi, Iwe Serikalini Au Ndani Ya CCM!!!!
...teh teh teh..jidanganyeni tu!
 
Nguvu ya mwezi Wa kwanza katika chama ni kubwa sana ndio tegemeo la chama lenye nguvu 2025 Na hakuna Wa kumpinga maana ndio mastermind wa ushindi Wa chama
 
Huyo Ndiye Mkuu Wa Timu Yake Ya Tehama, Ilivyokuwa Pale Mlimani City "Wakihesabu ", Kipindi Cha Uchaguzi Mkuu!! Hakuna Mtu Mwenye Uwezo Wa Kumfuta Kazi, Iwe Serikalini Au Ndani Ya CCM!!!!
Again, unahitaji kumalizia Std III ili ujifunze matumizi sahihi ya herufi kubwa katika sentensi. Unatia kichefu chefu.
 
Tabia ya Makamba ni kama Lowassa hata namwona kama hana furaha na utawala wa Magufuli. Huyu jamaa ni very strategic na ana ndoto ya kuwa Rais ila nawasiwasi CCM watamhujumu baadae
 
Huyo Ndiye Mkuu Wa Timu Yake Ya Tehama, Ilivyokuwa Pale Mlimani City "Wakihesabu ", Kipindi Cha Uchaguzi Mkuu!! Hakuna Mtu Mwenye Uwezo Wa Kumfuta Kazi, Iwe Serikalini Au Ndani Ya CCM!!!!
Sasa mbona hakupewa wizara nyeti?
 
Unataka PM aaibike kwa kusema kuwa fulani hajaleta
 
Tabia ya Makamba ni kama Lowassa hata namwona kama hana furaha na utawala wa Magufuli. Huyu jamaa ni very strategic na ana ndoto ya kuwa Rais ila nawasiwasi CCM watamhujumu baadae
Hasa huyu majaliwa na hussein mwinyi.. Yaaaani February anatamani angekuwa anatokea visiwani
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…