Tetesi: Makamba hakurejesha fomu, alindwa

Tetesi: Makamba hakurejesha fomu, alindwa

Status
Not open for further replies.
Makamba senior amechezesha znz hadi Karume junior na Maalim kwa kudra ya Mungu walijalia muafaka kisiwani . Inasikitisha like father like son.
 
Kwa hiyo una lipi la kufanya?? Ya serikali ya siaiemu waachie wao, wewe na wenzio mkajipange kujenga hoja zenye mashiko laa sivyo mtaendelea kupukutika.
 
Kuna tetesi nimetonywa kuwa Jan Makamba hakurejesha form zote mbili tume ya maadili.Hii ni kinyume na maagizo ya WM KMK.WM alitia mkwara kuwa kwa waziri ambaye hakurejesha mpaka sa 12 atakuwa amejifuta kazi.Aidha ktk vyombo vya habari January haonekani kutajwa wala kuonekana kurejesha form tofauti na wateule wengine
Bavicha mmezoea kutunga uongo!
Kama uliangalia ITV habari walisema kuwa kurugenzi ya habari ikulu imethibitisha mawaziri wote kujaza hizo fomu....
 
Mkuu, umekula maharage ya wap? Unadhan ni serikali ya kulindana hii? Kulindana kungetokea tu kama angepita yule nywele nyeupe na si kwa jpm

Kweli angewalinda FRIENDS OF LOWASSA!!!
 
Raisi anaweza kufanya au kutofanya na asiulizwe na mtu. Yeye ndiye boss wa utumishi.

...ndiyo, kwa taratibu zetu mbovu anaweza kufanya au kutofanya na asiulizwe na mtu, lakini ni vizuri aongoze kwa mfano (kama vile alivyoonyesha mfano siku ile ya kufanya usafi)
 
Kuna tetesi nimetonywa kuwa Jan Makamba hakurejesha form zote mbili tume ya maadili.Hii ni kinyume na maagizo ya WM KMK.WM alitia mkwara kuwa kwa waziri ambaye hakurejesha mpaka sa 12 atakuwa amejifuta kazi.Aidha ktk vyombo vya habari January haonekani kutajwa wala kuonekana kurejesha form tofauti na wateule wengine
Acha urongo weye kakutonya nani au huangaliagi taarifa za habari,ungeangalia taarifa ya habari ya saa mbili usiku ITV,wametangaza kuwa mawaziri wote wamerudisha form kabla ya saa 9 mchana.Endeleeni na ndoto za kuwapakazia watu kwa malengo yenu ya kishabiki.
 
Sasa hili zoezi litakuwa na faida gani kwa mwananchi ikiwa ataishia kusikia ni mtumishi gani wa umma aliyerudisha fomu, bila kuwekwa wazi ni mali gani mtumishi huyo ameziorodhesha anazimiliki.
hata angeweka wazi mali walizonazo, ingesaidia nini? Ni haramu kuwa na mali nyingi?
 
Magufuli keshataja mshahara na marupurupu yake?
 
Mkuu, umekula maharage ya wap? Unadhan ni serikali ya kulindana hii? Kulindana kungetokea tu kama angepita yule nywele nyeupe na si kwa jpm.
Kulindana ipo sana tu, mbona yule Afisa wa TRA wa Temeke Gasper Mhina ambaye ni Tajiri kuliko Masamaki amelindwa na katibu mkuu mpaka sasa hakuna wa kuthubutu kumsogelea, hata makontena yards za Kinana hazijaguswa, Escrow, kivuko kibovu na hata mabehewa mabovu Mwakyembe analindwa kuwabebesha Zigo wengine ambao hawahusiki kabsa, kubebana bado kupo sana tu.
 
Magufuli keshataja mshahara na marupurupu yake?
hata wataje vp wawe na mali nyingi kidogo hazina Tija kwa wananchi kwani kwa Tanganyika ni rahisi mtu kuficha mali zake kwa majina ya ndugu na marafiki.
 
sasa mbona hajarejesha fomu na kaachwa ?
January hata asipoirejesha form hakuna wa kumuuliza maana kwenye kampeni ya ccm aliwapiga billion 1.7 kwa visingizio feki hawakuthubutu kumuuliza Magufuli aliishia kulalamika chini chini tu, na hata baraza lake la mawaziri alimtenga lakini akapewa shinikizo toka makao makuu ya ccm ampe Uwaziri ili amsaidie kwenye Uchakachuaji Zanzibar ambapo sasa tayari kapewa Fungu kubwa la pesa kwa kazi ya kuvishawishi vyama Dhaifu vyenye njaa vishiriki Uchaguzi Zanzibar, hizo form hata ukijaza una nyumba kila wilaya hakuna wa kukuuliza hivyo hizo form hazina umuhimu wowote kwani wengi huficha mali zao.
 
Wengi huwa hawatoi takwimu za Ukweli juu ya mali zao hivyo hizo form ni moja ya kipengere cha kuangaliwa upya kwenye katiba mpya ijayo, maana hiyo form haijawahi kulisaidia Taifa kuondokana na Ufisadi.
 
Kuna tetesi nimetonywa kuwa Jan Makamba hakurejesha form zote mbili tume ya maadili.Hii ni kinyume na maagizo ya WM KMK.WM alitia mkwara kuwa kwa waziri ambaye hakurejesha mpaka sa 12 atakuwa amejifuta kazi.Aidha ktk vyombo vya habari January haonekani kutajwa wala kuonekana kurejesha form tofauti na wateule wengine
January ni mjanja wao linapokuja suala la Uchakachuaji na maujanja janja yote na sasa yupo Zanzibar anawashawishi vyama dhaifu washiriki Uchaguzi Haramu ili apige pesa kupitia humo humo hivyo ni vigumu kumhukumu kwa lolote lile, hata akijaza Form akadai ana ghorofa 200 hakuna wa kuthubutu kuhoji maana keshapiga pesa nyingi tokea kitambo hivyo itaonekana ni mali za haki.
 
Nguvu ya mwezi Wa kwanza katika chama ni kubwa sana ndio tegemeo la chama lenye nguvu 2025 Na hakuna Wa kumpinga maana ndio mastermind wa ushindi Wa chama
Ni kweli mkuu ndiyo maana huwa anawapiga pesa na hawathubutu kuhoji chochote mfano aliwapiga billion 1.7 wakati kampeni ikiendelea hadi Magufuli akapagawa lakini akaja kutulia baada ya Serikali ya china kuokoa jahazi lakini nazo vilevile January alipata mgao, hata Magufuli alipogoma kumteua kuwa Waziri alishinikizwa na chama na sasa yupo Zanzibar anavuna Mapesa kwa visingizio vya kuwanunua vyama dhaifu pia kuwanunua wananchi waje kuzungumzia Uchaguzi na kusema ulikuwa huru na wa Haki, January kwa ccm hakuna wa kuthubutu kuhoji chochote juu yake hata hiyo form akijaza anamiliki boda boda mbili tu na nyumba ya nyasi hawataweza kuthubutu kuhoji.
 
Huyo Ndiye Mkuu Wa Timu Yake Ya Tehama, Ilivyokuwa Pale Mlimani City "Wakihesabu ", Kipindi Cha Uchaguzi Mkuu!! Hakuna Mtu Mwenye Uwezo Wa Kumfuta Kazi, Iwe Serikalini Au Ndani Ya CCM!!!!
Ndiyo maana yake mkuu hata Uwaziri aliupata kupitia shinikizo la ccm makao makuu kwani Magufuli alikuwa tayari kamtosa na sasa kapewa kazi ya kuchakachua Uchaguzi wa Zanzibar huko lazima anawapiga balaa.
 
Hizo fomu ni upuuzi mtupu sababu wala wananchi hawaonyeshwi,ni siri eti ya ofisi!

Kibaya zaidi wanapo ondoka wala hawataji wameongeza mali gani!Hata Chenge na Prof Kaju hawakutaja kama walipewa mabilion na Ruge

Upuuzi mtupu
 
Kuna tetesi nimetonywa kuwa Jan Makamba hakurejesha form zote mbili tume ya maadili.Hii ni kinyume na maagizo ya WM KMK.WM alitia mkwara kuwa kwa waziri ambaye hakurejesha mpaka sa 12 atakuwa amejifuta kazi.Aidha ktk vyombo vya habari January haonekani kutajwa wala kuonekana kurejesha form tofauti na wateule wengine
Boban, waota kabla ya Kulala!! Rais JPM wa Jamhuri hapendi longos na si MTU wa mashkara ht siku moja, akiagiza, kaagiza, acha uongo. Yy anafanya kazi kwa na intelejensia, na hizo fomu lazma ameagiza zote za baraza zima apelekewe ili akazitoe copy ziwe kumbu2 kwake kwa yule atakaye jipatia Mali haramu madarakani ndani ya 5 yrs.
Kwa hiyo tutafutie mitonyo mingine yenye sound bro, hiyo ya January, haina na nafasi.
Tehetehe......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom