Tetesi: Makamba hakurejesha fomu, alindwa

Tetesi: Makamba hakurejesha fomu, alindwa

Status
Not open for further replies.
Huyu ndo alikuwa kamati ya ufundi kuhakikisha Magu anaenda magogoni, Na hiyo kazi aliisimamia vyema Leo hii Magu amtose kirahisi rahisi tu, haiwezekani
 
Kuna tetesi nimetonywa kuwa Jan Makamba hakurejesha form zote mbili tume ya maadili.Hii ni kinyume na maagizo ya WM KMK.WM alitia mkwara kuwa kwa waziri ambaye hakurejesha mpaka sa 12 atakuwa amejifuta kazi.Aidha ktk vyombo vya habari January haonekani kutajwa wala kuonekana kurejesha form tofauti na wateule wengine
Yaani kumgusa mtoto wa kigogo ndani ya ccm ni mwiko na hiyo ndio imetoka hiyo
 
kwani ct scan ya muhimbili walitaja wamechukua dodoma hospital?si ilibuma badae?
Na baada ya kubuma walinywea na kuwa wadogo kama piriton hadi sasa hakuna kiongozi aliye waomba radhi watanzania kwa kuwaongopea
 
Tulia tulia; wacha mcheche! Fuatilia haya mambo kwa kituo wacha mihemuko na ushabiki mandazi; mwachie JPM na MKM wanajua wanachofanya; wape muda; wewe huna taarifa za kutosha; sikilizia l!
Kwa mwana ccm hayo ndio maneno yenu kila siku,eti wape muda?wakati siku zinaenda?kawaambie wajipange tena ndio waje na hiyo cd ya zilipendwa
 
Mkuu, umekula maharage ya wap? Unadhan ni serikali ya kulindana hii? Kulindana kungetokea tu kama angepita yule nywele nyeupe na si kwa jpm.
Mwaka huu hiyo 46 itawamaliza akili na kuwatoa kibiongo maana mnajitahidi kutetea kila uozo ndani ya ccm ili angalau msikike
1456542747979.jpg
 
Makamba ni mamluki as jk hafai kwenye serikali ya magufuli kweli masafara wa mamba kenge nao wamo
 
Kwa mwana ccm hayo ndio maneno yenu kila siku,eti wape muda?wakati siku zinaenda?kawaambie wajipange tena ndio waje na hiyo cd ya zilipendwa
Gari linasonga; Rome was not built overnight mind you!
 
Hizo fomu ni upuuzi mtupu sababu wala wananchi hawaonyeshwi,ni siri eti ya ofisi!

Kibaya zaidi wanapo ondoka wala hawataji wameongeza mali gani!Hata Chenge na Prof Kaju hawakutaja kama walipewa mabilion na Ruge

Upuuzi mtupu
magumashi matupu hiyo form haisaidii chochote, kibaya zaidi kila baada ya miaka Fulani hujazwa wengine hujaza vilevile ingawa wanajilikana wamevuna sana.
 
Kuna tetesi nimetonywa kuwa Jan Makamba hakurejesha form zote mbili tume ya maadili.Hii ni kinyume na maagizo ya WM KMK.WM alitia mkwara kuwa kwa waziri ambaye hakurejesha mpaka sa 12 atakuwa amejifuta kazi.Aidha ktk vyombo vya habari January haonekani kutajwa wala kuonekana kurejesha form tofauti na wateule wengine

Kwenye taarifa za habari amesema alituma mwakilishi azipeleke! Ila toka ndani ya chumba wanasema hazijafika ngoja tusubili
 
magumashi matupu hiyo form haisaidii chochote, kibaya zaidi kila baada ya miaka Fulani hujazwa wengine hujaza vilevile ingawa wanajilikana wamevuna sana.
Hata Magufuli HAWEZI taja analipwa bei gani na watz kwa mwezi!Ukimuuliza swali hilo legit kabisa anaweza akakutia mahabusu

TZ kila kitu mzaha mzaha tu!Obama si zaidi ya April 15 atawaita waandishi wa habari aseme kaingiza bei gani mwaka jana na alilipa taxes bei gani!

Magufuli wanao msgangilia leo watamzomea kesho!Huyu kaisha shindwa!

Chenge ndiye Rais wa Bunge letu ehehehe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom