Pre GE2025 Makamba: Hata kama hatumkubali Rais Samia, ni wetu

Pre GE2025 Makamba: Hata kama hatumkubali Rais Samia, ni wetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Stuka

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
282
Reaction score
906
Waziri Januari Makamba amesema hata kama hatumkubali Samia ni wetu hivyo tunatakiwa kuacha siasa hasa kuhusu ziara zake nje ya nchi kwani zimeleta manufaa makubwa kwa nchi.

Waziri Makamba ameyasema hayo leo 6.6.2024 akizungumzia ziara ya Rais Samia nchini Korea

Zaidi sikiliza hii link mpaka mwisho

Kama MoU aina legal obligation, mbona serikali iliwalipa ‘Symbion Power’ zaidi ya billion tsh 350 mara tu baada ya Samia kuingia madarakani.

Tena ile MoU ya Symbion na serikali ilikuwa option tu na rahisi kuvunja wameshindwa kesi (ambayo awakwenda kujitetea), hawaku-challenge, wakawalipa Symbion na kuwapa kibali cha kuendelea kuzalisha umeme juu.

Sio kila MoU uwezi shitakiwa wasikariri mambo.

Halafu wanajiaminisha vitu vichwani mwao wanadhani wote kweli tunaamini Magufuli aliharibu uhusiano wa kimataifa kisa alikuwa aendi kwenye mialiłko tu. Hizo fikra zinaishi kwenye vichwa vyao tu, sio kila mtu wa kuamini every nonsense running in their heads.
 
Waziri Januari Makamba amesema hata kama hatumkubali Samia ni wetu hivyo tunatakiwa kuacha siasa hasa kuhusu ziara zake nje ya nchi kwani zimeleta manufaa makubwa kwa nchi.

Waziri Makamba ameyasema hayo leo 6.6.2024 akizungumzia ziara ya Rais Samia nchini Korea

Zaidi sikiliza hii link mpaka mwisho

Kumbe January makamba ni mmoja ya wale ambao hawamkubali Samia,siyo mimi nimesema bali ni yeye mwenyewe.
 
Waziri Januari Makamba amesema hata kama hatumkubali Samia ni wetu hivyo tunatakiwa kuacha siasa hasa kuhusu ziara zake nje ya nchi kwani zimeleta manufaa makubwa kwa nchi.

Waziri Makamba ameyasema hayo leo 6.6.2024 akizungumzia ziara ya Rais Samia nchini Korea

Zaidi sikiliza hii link mpaka mwisho

Ameeleza vizuri sana, tuache kukukuwa watu ambao haturidhiki hata kidogo
 
Back
Top Bottom