Huyu ana usongo na urais.Yeye hagombei tena?
Ww na nani? Au unamaanisha na familia Yako?Labda yeye ndio hamkubali ila sisi tumampenda sana
Ikiwa hutaki kusikia, utasikiaje!!Sijawahi kumsikia mtanzania yoyote akisema hamkubali Rais Samia 🐼
Amesharudi kutoka Korea?Sijawahi kumsikia mtanzania yoyote akisema hamkubali Rais Samia 🐼
January bado ana ndoto za kuwa Rais wa JMT
Kumbe January makamba ni mmoja ya wale ambao hawamkubali Samia,siyo mimi nimesema bali ni yeye mwenyewe.Waziri Januari Makamba amesema hata kama hatumkubali Samia ni wetu hivyo tunatakiwa kuacha siasa hasa kuhusu ziara zake nje ya nchi kwani zimeleta manufaa makubwa kwa nchi.
Waziri Makamba ameyasema hayo leo 6.6.2024 akizungumzia ziara ya Rais Samia nchini Korea
Zaidi sikiliza hii link mpaka mwisho
Ameeleza vizuri sana, tuache kukukuwa watu ambao haturidhiki hata kidogoWaziri Januari Makamba amesema hata kama hatumkubali Samia ni wetu hivyo tunatakiwa kuacha siasa hasa kuhusu ziara zake nje ya nchi kwani zimeleta manufaa makubwa kwa nchi.
Waziri Makamba ameyasema hayo leo 6.6.2024 akizungumzia ziara ya Rais Samia nchini Korea
Zaidi sikiliza hii link mpaka mwisho