Makamba: Itachukua misimu miwili ya mvua kujaza Bwawa la Nyerere

Mtumishiwetu

Senior Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
196
Reaction score
346
Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema itachukua misimu miwili ya mvua kulijaza bwawa na kuanza kujaribu mitambo kwani Bwawa la Mwalimu Nyerere linahifadhi lita 33.2 bilioni za maji na kama zikitumika na mitambo yote itaweza kuendesha mitambo kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Waziri Makamba amesema hayo leo Disemba 18, 2022 wakati akizungumzia tukio la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgeni rasmi katika kushuhudia fungaji wa lango la handaki mchepuko (vaani diversion tunnel) ili kuruhusu maji yaanze kujaa katika bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere.

PIA SOMA

TUHUMA ZA UFISADI NA HUJUMA


HISTORIA

 
amesema itachukua misimu miwili ya mvua kulijaza bwawa na kuanza kujaribu mitambo kwani Bwawa la Mwalimu Nyerere
Hii kauli ya kutuandaa physiological kwamba tatizo la umeme kukatika litakuwa endelevu, lakini pia anawahakikishia wapiga deal wenzie kuwa ameshatupanga....waendelee kuagiza mizigo ya generators and deal zingine lukuki.....Twafaaaa......
 
itachukua misimu miwili ya mvua kulijaza bwawa na kuanza kujaribu mitambo kwani Bwawa la Mwalimu Nyerere linahifadhi lita 33.2 bilioni za maji na kama zikitumika na mitambo yote itaweza kuendesha mitambo kwa kipindi cha mwaka mmoja.[emoji848][emoji2827]
 
CCM inawatangazia Wanachama Wapenzi na wafurukutwa wake kila mtu na ndoo kupeleka Maji ili kujaza BWAWA
 
Kama kawaida yake huyu mpiga dili mshenzi sana huyu makamba
 
Kwa yale mafuriko ya Kilombero tutegemee bwawa kufurika na hata kuvunjika mwezi April 2023!
 
Usishangae Rais kesho akisema itachukua misimu minne ya mvua kujaza bwawa.
 
Basi wangefanya recyicle ya maji ili yasipotelee baharini itakuwa tumepoteza mradi

Niliwahi kutoa hoja kama hii pia kwamba maji yanayotoka kwenye bwawa kuendesha mitambo kwanini yasifanyiwe recycling yakaendelea kujaa na kuendesha mitambo hiyo!!

Kuna haja gani ya kuyajaza then kuyaachia yaondoke tena. Ukishajaza fanya recycling!!
 
Mkuu uliona mbali
Niliwahi kutoa hoja kama hii pia kwamba maji yanayotoka kwemye bwawa kuendesha mitambo kwa nn yasifanyiwe recycling yakaendelea kujaa na kuendesha mitambo hiyo!!

Kuna haja gani ya kuyajaza then kuyaachia yaondoke tena. Ukishajaza fanya recycling!!
 
Haha huyu jamaa ni TP wa kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…