Makamba: Itachukua misimu miwili ya mvua kujaza Bwawa la Nyerere

Makamba: Itachukua misimu miwili ya mvua kujaza Bwawa la Nyerere

Nitajie mali alizojimilikisha jiwe,
Mimi nikutajie mali walizojimilikisa Samia, Kikwete na Mkapa.
Ili tuchuje kati ya hao ni nani kapampania maslahi yake binafsi
Kwani hao si ni walewale. Ile 1.5tr ambayo mpaka leo hajulikani ilipo. Mpaka akamtoa CAG baada ya kuona kuwa ataumbuka,nyumba alizowapa watu wake na vingine vingi tu
 
Nitajie mali alizojimilikisha jiwe,
Mimi nikutajie mali walizojimilikisa Samia, Kikwete na Mkapa.
Ili tuchuje kati ya hao ni nani kapampania maslahi yake binafsi
Shirika la ndege hakutaka likaguliwe akalihamisha mpaka sasa bei ya hizo ndege ikabaki kuwa siri yake na washirika wake. Uwanja wa ndege tender ilitolewa kimya kimya kwa watu wake
 
Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema itachukua misimu miwili ya mvua kulijaza bwawa na kuanza kujaribu mitambo kwani Bwawa la Mwalimu Nyerere linahifadhi lita 33.2 bilioni za maji na kama zikitumika na mitambo yote itaweza kuendesha mitambo kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Waziri Makamba amesema hayo leo Disemba 18, 2022 wakati akizungumzia tukio la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgeni rasmi katika kushuhudia fungaji wa lango la handaki mchepuko (vaani diversion tunnel) ili kuruhusu maji yaanze kujaa katika bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere.
Kazi ipo
 
Back
Top Bottom